Kujing'ata midomo na ulimi imekua mazoe kwangu

mtungu

JF-Expert Member
Dec 15, 2021
247
400
Tangu naanza kukua nimekua na tatizo la kung'ata ulimi kwenye vile vijipeele vyake mpaka natoa damu, Yani mpaka ulimi wote unakua na vidonda na midomo ivyoivyo hasa ya chini.

Watu wananisema sana ila kuacha nimeshindwa hata sijui ni ugonjwa gani huu?
 
Tangu naanza kukua nimekua na tatizo la kung'ata ulimi kwenye vile vijipeele vyake mpaka natoa damu Yani mpaka ulimi wote unakua na vidonda na midomo ivyoivyo hasa ya chini watu wananisema Sana ila kuacha nimeshindwa hata sijui ni ugonjwa gani huu
Pepo toka kwa jina la mwenye mamlaka.
 
Back
Top Bottom