okyo
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,003
- 1,504
Binadamu hatufanani mkuu kama wewe unaona kuna ugumu kwenye jambo fulani ni wewe usidhani wote tunapita kwenye njia moja kila mtu ananjia yake na ugumu wako kwa mwingine unaweza kuwa ndo utelezi
Sawa sikatai, pia inategemea kazi za aina gani anazofanya huko ,sidhani kama anafanya kitu kikubwa sana zaidi ya web development. Maana wengi ndio hua kazi zao. Wapo wachache ambao wanakiweza wanafanya zaidi, na wengi wanakua na elimu kwenye technical field nyingine hasa mathematics na engineering.