Kujifunza programming bila kwenda chuo

Katika ulimwengu wa IT wewe umefanya nn
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
 
Teknolojia imerahisishwa sana nowdays si lazima kwenda chuo, ila kwa sababu ya cheti inalazimu uende chuo ili kukidhi dhana yetu ya Africa without certificate you're not educated..!!.

Kikubwa ufuate misingi ya tektohama kuingia kila muda ili uapdate kile unachojifunza.
 
Teknolojia imerahisishwa sana nowdays si lazima kwenda chuo, ila kwa sababu ya cheti inalazimu uende chuo ili kukidhi dhana yetu ya Africa without certificate you're not educated..!!.
Hii requirements iko dunia nzima hata marekani first world cheti kinapewa heshima.waliouweka utaratibu huu hawakua wajinga.
 
Mleta mada, this is how you present a case. Sio kuita watu "bottom of the hierarchy".

I agree with you, but development is a game of specialities, you can be a jack of all trades(good for landing a job and interviews) but you need to be good at something. And here is where self-taught developers shine, they will corner some area of development and be good at it.

By self-taught I meant all those things, online, short courses etc. Anything that is not formal training or certification.

But bottom line as you said we all learn and understand vitu tofauti, my problem with mleta mada is alienating a whole group of people as not good enough because they didn't follow the route that he or she did
Yes!! So many self taught experts i have seen. You can't learn everything at once. Even CS bachelor holders doesn't apply everything in a job but with time and experience. Always there are some weak areas and interests. Example, if you're a a python web developer and later on interested in data science or machine learning you'll learn some stuffs to reach there, it only matter what you're doing and interests.
 
Haswaa tuanzie hapo af ndio utupe ushauri?
Sina kikubwa nilichofanya , mimi ni software engineer andela, kumshauri mtu hakuhitaji uwe umefanya kitu kikuuubwa! Ukiwa tu na ujuzi wa kutosha na uzoefu inatosha.
 
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Open university na Ruco kumbe ni vyuo vya mbuzi ok sawa
 
Wale ma hacker dedly wanakaaga ndani tu wao na keyboard hata hawaendi chuo,

Chuoni unapata vitu viwili elimu na cheti hapa hauongei sana wewe ni nani unaonyesha tu cheti,

wakati mtaani wanapata hiyohiyo elimu tofauti hawapati cheti, hapa ili upate kazi lazima uonyeshe ujuzi wa hali ya juu kazi inapigwa mpaka wenye vyeti wanatubu.
 
Bro hiyo statement ni ya hiring manager wa google sio yangu. anakwambia most of the tyme haangaiki ata kuangilia cv zao, its not kwamba they are totally unfit,no,its that they have to work extremely hard and get lots of experince ndo waweze ku achieve ile wide scope ya understanding waliyonayo devs trained in formal institution.

Going by logic ya quote, na mimi nimesema pia Google doesn’t need someone to have a degree to work at Google. Apple, IBM and others pia don’t need degrees, so both sides of the coin are equally reasonable. But we can agree to disagree at this point. At the end of the day training is there,either from online courses, self-study etc, it doesn’t have to be from a degree, especially for fundamentals.

Cheers.
 
Hii ni story yangu ya ukweli. Baada ya kumaliza chuo na kuwa na degree ambayo sikuona kazi yake, nikaamua nijikite kwenye kujifunza Programming kwa kutumia internet resources like Udemy, YouTube, Freecodecamp etc. Pia nikapata na mentors wa nchi mbali mbali kupitia Twitter na hao pia wengi wao hawana CS degree. Mwaka huu mwezi wa 3 nikaitwa interview ya Software developer position kwenye kampuni moja kubwa hapa mjini Dar. Nikaenda. Nilikutana na wanafunzi wenye CS Degree tena wengi wao wamemaliza mwaka jana so bado vitu wanavifahamu. Ila baada ya matokeo kutoka, I made it to the top 5 na wale 30+ wote hawakupita. Tena swali lenyewe nakumbuka lilikuwa ni kutengeneza a CRUD Web application system, kitu ambacho nafanya ndani ya 30-40 mins. Na vyote hivyo nimejifunza kwenye mtandao. Na kuhusu backend mbona napiga vizuri pia, tena natumia Node.js, Php and kwenye front-end naweza kutumia mpaka REACT ukiachana na hizi basic HTML, CSS na JavaScript. Kwahiyo point yako kwamba CS degree ni lazima, hapo umefeli bro. Degree hizi ni makaratasi tu. Watu wanaangalia una nini kichwani, what can you offer? Na kwa vyuo vyetu hivi, Bora mtu usisome kabisa hiyo CS degree maana vitu kibao hawagusii mfano kufanya Test Driven Development, masuala ya Versioning control, ishu za Caching etc. au hata code best practices za kutumia linters nk. Jiongeze bro, hiyo degree means nothing kama kichwani umemeza madesa tu. Happy coding!
 
1. Classic case of correlation and causation. I’ll argue ni the other way around kuwa it just happens kuwa people who are good at CS/SE are most times good at Mathematics too. This is because there’s a similar logical thinking involved. That doesn’t translate the other way round. It can be taught, you don’t need kujua hesubu to understand flow of control, or complexities etc.

2. You said I’m being theoretical, but this is another gatekeeping stuff people fall into. Yes it’s good to know but not knowing doesn’t affect your day to day programming, in fact most runtimes and programming languages abstract this from you. Now if you are doing C or RT/Embedded systems you need to understand this, but again if someone is in that niche then they must have done their due dilligence to know that. You’ll spend a semester learning all the artchitectures while the real world is on a single architecture. It is useless in day to day, you can’t use your knowledge of architectures and discrete math etc to optimize your code to be any faster than someone who didn’t learn those. Using the correct data structure has a far more impact than knowing all this stuff.

3. Best practices. These are subjective, and are learned and adopted, some languages are very opinionated about code structure e.g Golang won’t compile if you declared a varibale you don’t use. IDEs are very opinionated in how you write code and all this is to enforce good practices. Good this about this is we eventually have the same practices whether we have a degree or not, because it’s forced on us by the languages, frameworks, and tools we all use.

4. I’ve said this before and I’ll say it again, programmer are horrible UI/UX people, you don’t have to look any further than open source applications in Linux. Let’s leave that to UX people, it is a field of its own and it should be treated as such.

5. if someone has a CS/SE degree they can be shallow pia. It’s just a certification, most professionals do one thing and one thing only like backend dev, embedded systems, frontend, security etc. You are good at one you are decent at others and you are horrible at some. You can learn and extend your skills, but having a degree doesn’t mean you are all around a good developer.

Your question is irrelevant and not applicable in our discussion, but because you asked, to fix something you have to understand it, and someone who fixes things has a far valuable input to designers. They both work on different conditions, a designer has to cut costs, meet regulatory requirements etc, a mechanic is all about practicality and getting the best out of something. Kuna million cases of flawed designs and great cars born out garages. I don’t see where you were going with this but there is your answer
Bro, you have said it all.
 
Hii ni story yangu ya ukweli. Baada ya kumaliza chuo na kuwa na degree ambayo sikuona kazi yake, nikaamua nijikite kwenye kujifunza Programming kwa kutumia internet resources like Udemy, YouTube, Freecodecamp etc. Pia nikapata na mentors wa nchi mbali mbali kupitia Twitter na hao pia wengi wao hawana CS degree. Mwaka huu mwezi wa 3 nikaitwa interview ya Software developer position kwenye kampuni moja kubwa hapa mjini Dar. Nikaenda. Nilikutana na wanafunzi wenye CS Degree tena wengi wao wamemaliza mwaka jana so bado vitu wanavifahamu. Ila baada ya matokeo kutoka, I made it to the top 5 na wale 30+ wote hawakupita. Tena swali lenyewe nakumbuka lilikuwa ni kutengeneza a CRUD Web application system, kitu ambacho nafanya ndani ya 30-40 mins. Na vyote hivyo nimejifunza kwenye mtandao. Na kuhusu backend mbona napiga vizuri pia, tena natumia Node.js, Php and kwenye front-end naweza kutumia mpaka REACT ukiachana na hizi basic HTML, CSS na JavaScript. Kwahiyo point yako kwamba CS degree ni lazima, hapo umefeli bro. Degree hizi ni makaratasi tu. Watu wanaangalia una nini kichwani, what can you offer? Na kwa vyuo vyetu hivi, Bora mtu usisome kabisa hiyo CS degree maana vitu kibao hawagusii mfano kufanya Test Driven Development, masuala ya Versioning control, ishu za Caching etc. au hata code best practices za kutumia linters nk. Jiongeze bro, hiyo degree means nothing kama kichwani umemeza madesa tu. Happy coding!
And by the way, I GOT THAT JOB. I'm currently working there, the pay is quite good as well. If I would've spent my time telling myself that I need a CS degree to know programming, I'm pretty sure I'd have been doing a data collection work by now hoping for a miracle Job offer to come by.
 
Naona unahamisha topic, rudi kwenye topic, you don't need kwenda chuo to learn foundations of CS.

Name me one thing that you can't learn bila kwenda chuo and that you actively use? I always say barrier to programming is extremely low, and companies are realising this. Google, Apple etc don't need a university degree to hire a person. We are moving from degree world to what's your portfolio. Whether you like or not the people you call "bottom of the hierarchy" potentially hold bigger portfolios. Your degree gets to tick a requirement in a job listing, and your algo and DS you crammed for an interview you'll leave it at the door, most of it.

So, you don't need to go to university to learn foundations of programming.

Indeed
 
Br
Najua sitaweza kushindana na nyie watu wa syntax kwenye hii mada na mtacopy na ku paste sana defense kutoka mtandaoni zilizoandaliwa na self taught gurus wenzenu, but deep down your heart ukweli unawachoma, na itabaki kuwa hivyo.fortunately watu wanaoielewa vzr sector ya IT wanafahamu hili na hawawezi kuwaweka kwenye project yyt inayoitaji expertise, no wonder wengi wenu mnaishiaga kuwa freelance devs, and its simply kwa sababu hamuwezi kujumuika na wenzenu kwenye projects za maaana,mtabaki kuuliza maswali tu badala ya kuchangia mawazo!

Mzee unaumia sana kwamba kuna watu mtaa huku wanajua unachojua kwa mda mfupi tu ndo maisha lakini waache vijana wajifunze since knowledge inapatikana mitandaoni wacha watu wajue kuwakatisha watu tamaa ni dalili ya kuwa utakuja kuwa mchawu uzeeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom