Kujifunza programming bila kwenda chuo

Rog chimera

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
347
546
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana

Ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia. NO wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.

Ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya DS na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya CS zimejaaa mtandaoni, ni ngumu mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor na uwepo wa supporting community kama inayopatikana chuo.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)

MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented na sio IT oriented).

Sidhani kama Open University na RUCU wako
 
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor na uwepo wa supporting community kama inayopatikana chuo.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE/CS/CE, DIT CE (Sijui kama wana CS.),
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS, na SUA informatics.( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS/ CE oriented na sio IT oriented. )
NB:Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco ,CBE etc utapoteza muda!
 
I’m a big proponent of people kusoma programming bila chuo. Ingawa nakubaliana na wewe kuwa kuna watu wanakosa foundations za CS, sidhani kwenda chuo ni solution. People can still learn those things on their own kama wakielekezwa, na most people pick those things on their own on the fly. In my personal experience algo and DS gets you to pass an interview but in day to day you pick up a lot more by doing that remembering what algorithm does what, use of correct data structures comes naturally with experience, and anyone doing programming will learn best pracrtices from forums, shared code etc.
So in my opinion kama unaenda chuo just to learn foundations of CS it is a waste of time and money, people who are into programming will learn those things one way or another. Kama unaenda chuo kupata degree sawa, it’s still an expensive piece of paper that we can do without.
 
Ndivyo mnavyojipa moyo lakn mjue tu ukweli kwamba you guys are at the bottom of the hierarchy, endeleeni na kazi zenu za front end web dev, bcoz u cant move past that.
 
Naona unahamisha topic, rudi kwenye topic, you don't need kwenda chuo to learn foundations of CS.

Name me one thing that you can't learn bila kwenda chuo and that you actively use? I always say barrier to programming is extremely low, and companies are realising this. Google, Apple etc don't need a university degree to hire a person. We are moving from degree world to what's your portfolio. Whether you like or not the people you call "bottom of the hierarchy" potentially hold bigger portfolios. Your degree gets to tick a requirement in a job listing, and your algo and DS you crammed for an interview you'll leave it at the door, most of it.

So, you don't need to go to university to learn foundations of programming.
 
nakubaliana na wewe kwa 100%, uko mavyuoni unapewa ABC na basics tu ( na cheti uchwara ) , kuwa guru aka proficient ni wewe mwenyewe na jitihada/mda/nk zako
 
Naona unahamisha topic, rudi kwenye topic, you don't need kwenda chuo to learn foundations of CS.

Name me one thing that you can't learn bila kwenda chuo and that you actively use? I always say barrier to programming is extremely low, and companies are realising this. Google, Apple etc don't need a university degree to hire a person. We are moving from degree world to what's your portfolio. Whether you like or not the people you call "bottom of the hierarchy" potentially hold bigger portfolios. Your degree gets to tick a requirement in a job listing, and your algo and DS you crammed for an interview you'll leave it at the door, most of it.

So, you don't need to go to university to learn foundations of programming.
Mkuu icho unachokisema in theory kinawezekana lakn ki uhalisia wanaoweza kufanya hivyo hawapo, na programming ni sehemu tu ya kuextend ideas za CS sio kwamba ndio kila kitu kwenye CS.Sasa iv subdiscipline nyingine ya CS inaitwa Data Science imeshamiri ,inahitaji foundation kwenye CS na statistics na yenyewe mkadandie kwa mbele kwa sababu mmekariri syntax za python.
Nionyeshe hao watu waliokaa wakajifunza wenyewe discrete mathematics ,comp architecture,computational complexity, ds & algorithms, calculus, linear algebra, numerical analysis, na topics nyingine nyingi ambazzo siwez kuzitaja (ambazo ndo msingi wa CS) wakazielewa ,na walijipima vp kwamba wamezielewa? Tuache utani mtu unaandika vi markup vya html na kujifunza android kidogo tu unajiita engineer, wee!!!
Nendeni chuo mkatengenezewe computational thinking ,mkajifunze misingi ya vifaa mnavyotumia acheni utani!
 
Mkuu icho unachokisema in theory kinawezekana lakn ki uhalisia wanaoweza kufanya hivyo hawapo,
Nionyeshe hao watu walikaa wakajifunza wenyewe discrete mathematics ,comp architecture,computational complexity, ds & algorithms, calculus, linear algebra, numerical analysis, na topics nyingine nyingi ambazzo siwez kuzitaja (ambazo ndo msingi wa CS) wajazielewa na walijipima vp kwamba wamezielewa. Tuache utani mtu unaandika vi markup vya html na kujifunza android kidogo tu unajiita engineer, wee!!!
Nendeni chuo, mkajifunze misingi ya vifaa mnavyotumia acheni utani!

And how many of those things do you use every day? If you have a degree in CS chances are you started coding before you even went chuoni, people who take their time to learn something on their own have an interest in it and will learn and improve over time. It’s the same thing with mechanics, electricians etc Nothing beats learning by doing (What a noble idea).
Yes, they may lack ability to drop names kama wewe, discrete mathematics, architecture etc but all those are not used day to day. If you know your big Os and your data structures you are good for the most part to get started. Extras are good but not knowing them doesn’t make you any less a programmer
 
Brother,jaribu kutafakari vizuri point yangu,kwanzo ujue foundation kubwa ya CS ni hisabati. Na lengo la hizi kozi ni ku impart mathematical/ logical thinking/mindset kwa programmer.
Pili, tofauti na hesabu hayo masomo mengine kama comp organization &architecture etc yanakupa ujuzi namna comp ilivyo,inavyofanya kaz na effects zake katika programs utakazo develop.usiniambie hivi vitu havina umuhimu mkuu hautakuwa serious na hii Discipline .

Kuna mambo ambayo mtu "kidogo " anaweza kujifunza mwenyewe na kwa experience ni yale ya best practices ndo maana ikaibuka discipline ya Software engineering inayotilia mkazo mambo ya software life cycle na namna ya kumanage software projects.

Otherwise utabaki kufanya front end web dev ambayo pia inazidi kuwa complex , kuna subdiscipline ya CS ina adress hili inaitwa Human computer interaction. Mambo ya UI,UX yana principles zake sio kufanya ilimradi tu

Huko tunakoenda na kasi hii ya tech asee wasiokuwa na msingi ya CS/CE/SE. Watakuwa wanapoteza muda tu kung'ang'ania mambo ya programming.

NB: ukiona mtu ana degree ya CS ,CE, au SE na hayuko deep sana kwenye mambo ya programming usijidanganye eti hajui au chuo hakifai, wengi wa namna hii wanakua hawako interested sana na programming au hii field ki ujumla na pengine waliisoma kutokana na hype tu mtaani, kwa kulenga kupata ajira au kwa kuwa walishinikizwa na mtu au sababu nyingine yyt lakini wana msingi mzuri kiasi kwamba wakiamua kukaa chini kujifunza programming language yoyote haiwachukui muda .

Na ukiwaweka kwenye kazi inayohotaji deep technical expertise na hawa wa kukariri tu programming languages utaona tofauti kubwa sana, kwa sababu graduates wa CE,CS, na SE ndo wanaozitengeneza hizi lugha za computer na kuzi standardize, hawa wengine wakija wanazikariri tu.
 
Brother,jaribu kutafakari vizuri point yangu,kwanzo ujue foundation kubwa ya CS ni hisabati. Na lengo la hizi kozi ni ku impart mathematical/ logical thinking/mindset kwa programmer.
Pili, tofauti na hesabu hayo masomo mengine kama comp organization &architecture etc yanakupa ujuzi namna comp ilivyo,inavyofanya kaz na effects zake katika programs utakazo develop.usiniambie hivi vitu havina umuhimu mkuu hautakuwa serious na hii Discipline .

Kuna mambo ambayo mtu "kidogo " anaweza kujifunza mwenyewe na kwa experience ni yale ya best practices ndo maana ikaibuka discipline ya Software engineering inayotilia mkazo mambo ya software life cycle na namna ya kumanage software projects.

Otherwise utabaki kufanya front end web dev ambayo pia inazidi kuwa complex , kuna subdiscipline ya CS ina adress hili inaitwa Human computer interaction. Mambo ya UI,UX yana principles zake sio kufanya ilimradi tu

Huko tunakoenda na kasi hii ya tech asee wasiokuwa na msingi ya CS/CE/SE. Watakuwa wanapoteza muda tu kung'ang'ania mambo ya programming.

NB: ukiona mtu ana degree ya CS ,CE, au SE na hayuko deep sana kwenye mambo ya programming usijidanganye eti hajui au chuo hakifai, wengi wa namna hii wanakua hawako interested sana na programming au hii field ki ujumla na pengine waliisoma kutokana na hype tu mtaani, kwa kulenga kupata ajira au kwa kuwa walishinikizwa na mtu au sababu nyingine yyt lakini wana msingi mzuri kiasi kwamba wakiamua kukaa chini kujifunza programming language yoyote haiwachukui muda .

Na ukiwaweka kwenye kazi inayohotaji deep technical expertise na hawa wa kukariri tu programming languages utaona tofauti kubwa sana, kwa sababu graduates wa CE,CS, na SE ndo wanaozitengeneza hizi lugha za computer na kuzi standardize, hawa wengine wakija wanazikariri tu,

Swali langu ni moja, engineer anayebuni na kutengeneza gari na fundi makanika anaerekebisha gari na kubadili spare nani ana uwezo wa kuamua hatma ya industry ya magari????
1. Classic case of correlation and causation. I’ll argue ni the other way around kuwa it just happens kuwa people who are good at CS/SE are most times good at Mathematics too. This is because there’s a similar logical thinking involved. That doesn’t translate the other way round. It can be taught, you don’t need kujua hesubu to understand flow of control, or complexities etc.

2. You said I’m being theoretical, but this is another gatekeeping stuff people fall into. Yes it’s good to know but not knowing doesn’t affect your day to day programming, in fact most runtimes and programming languages abstract this from you. Now if you are doing C or RT/Embedded systems you need to understand this, but again if someone is in that niche then they must have done their due dilligence to know that. You’ll spend a semester learning all the artchitectures while the real world is on a single architecture. It is useless in day to day, you can’t use your knowledge of architectures and discrete math etc to optimize your code to be any faster than someone who didn’t learn those. Using the correct data structure has a far more impact than knowing all this stuff.

3. Best practices. These are subjective, and are learned and adopted, some languages are very opinionated about code structure e.g Golang won’t compile if you declared a varibale you don’t use. IDEs are very opinionated in how you write code and all this is to enforce good practices. Good this about this is we eventually have the same practices whether we have a degree or not, because it’s forced on us by the languages, frameworks, and tools we all use.

4. I’ve said this before and I’ll say it again, programmer are horrible UI/UX people, you don’t have to look any further than open source applications in Linux. Let’s leave that to UX people, it is a field of its own and it should be treated as such.

5. if someone has a CS/SE degree they can be shallow pia. It’s just a certification, most professionals do one thing and one thing only like backend dev, embedded systems, frontend, security etc. You are good at one you are decent at others and you are horrible at some. You can learn and extend your skills, but having a degree doesn’t mean you are all around a good developer.

Your question is irrelevant and not applicable in our discussion, but because you asked, to fix something you have to understand it, and someone who fixes things has a far valuable input to designers. They both work on different conditions, a designer has to cut costs, meet regulatory requirements etc, a mechanic is all about practicality and getting the best out of something. Kuna million cases of flawed designs and great cars born out garages. I don’t see where you were going with this but there is your answer
 
And how many of those things do you use every day? If you have a degree in CS chances are you started coding before you even went chuoni, people who take their time to learn something on their own have an interest in it and will learn and improve over time. It’s the same thing with mechanics, electricians etc Nothing beats learning by doing (What a noble idea).
Yes, they may lack ability to drop names kama wewe, discrete mathematics, architecture etc but all those are not used day to day. If you know your big Os and your data structures you are good for the most part to get started. Extras are good but not knowing them doesn’t make you any less a programmer
Unabishana mtu unapoteza muda wako kaa kimya watu hao wanaamni ukikaa darasani Zaid unakuwa guru kumbe hawajui practical Zaid inakufanya unakuwa guru hatar mana unakutana na changamoto Zaid na unajifunza kwa undani Zaid
 
Br
1. Classic case of correlation and causation. I’ll argue ni the other way around kuwa it just happens kuwa people who are good at CS/SE are most times good at Mathematics too. This is because there’s a similar logical thinking involved. That doesn’t translate the other way round. It can be taught, you don’t need kujua hesubu to understand flow of control, or complexities etc.

2. You said I’m being theoretical, but this is another gatekeeping stuff people fall into. Yes it’s good to know but not knowing doesn’t affect your day to day programming, in fact most runtimes and programming languages abstract this from you. Now if you are doing C or RT/Embedded systems you need to understand this, but again if someone is in that niche then they must have done their due dilligence to know that. You’ll spend a semester learning all the artchitectures while the real world is on a single architecture. It is useless in day to day, you can’t use your knowledge of architectures and discrete math etc to optimize your code to be any faster than someone who didn’t learn those. Using the correct data structure has a far more impact than knowing all this stuff.

3. Best practices. These are subjective, and are learned and adopted, some languages are very opinionated about code structure e.g Golang won’t compile if you declared a varibale you don’t use. IDEs are very opinionated in how you write code and all this is to enforce good practices. Good this about this is we eventually have the same practices whether we have a degree or not, because it’s forced on us by the languages, frameworks, and tools we all use.

4. I’ve said this before and I’ll say it again, programmer are horrible UI/UX people, you don’t have to look any further than open source applications in Linux. Let’s leave that to UX people, it is a field of its own and it should be treated as such.

5. if someone has a CS/SE degree they can be shallow pia. It’s just a certification, most professionals do one thing and one thing only like backend dev, embedded systems, frontend, security etc. You are good at one you are decent at others and you are horrible at some. You can learn and extend your skills, but having a degree doesn’t mean you are all around a good developer.

Your question is irrelevant and not applicable in our discussion, but because you asked, to fix something you have to understand it, and someone who fixes things has a far valuable input to designers. They both work on different conditions, a designer has to cut costs, meet regulatory requirements etc, a mechanic is all about practicality and getting the best out of something. Kuna million cases of flawed designs and great cars born out garages. I don’t see where you were going with this but there is your answer
Najua sitaweza kushindana na nyie watu wa syntax kwenye hii mada na mtacopy na ku paste sana defense kutoka mtandaoni zilizoandaliwa na self taught gurus wenzenu, but deep down your heart ukweli unawachoma, na itabaki kuwa hivyo.fortunately watu wanaoielewa vzr sector ya IT wanafahamu hili na hawawezi kuwaweka kwenye project yyt inayoitaji expertise, no wonder wengi wenu mnaishiaga kuwa freelance devs, and its simply kwa sababu hamuwezi kujumuika na wenzenu kwenye projects za maaana,mtabaki kuuliza maswali tu badala ya kuchangia mawazo!
 
It's okay, you can feel good about your CS degree, but don't invalidate others just because they didn't sit in class for 3-4yrs kupata approval kuwa ni developers. You are entitled to your opinion but presenting them as facts without backing them up is not how to do it. You still haven't mentioned one thing that someone can't learn on their own.

I have a degree too and it's useless, I've worked with people with and without degrees, and my opinions and views come from those experiences. If people choose to do frontend then there's a market for it driving that demand, not because it's easy etc(which are also opinions). Next few years kutakuwa na another wave of technologies, and self-taught people will jump into it and be good at it while you'll still be patting yourself in the back that you have a degree so your foundations are worth more.

Your degree doesn't mean you have any expertise. People have expertise in Security, Data science, Machine learning etc and their PhD. Those are areas where barrier to entry isn't as low as programming, and even those are changing with courses taught on Coursera or Udacity by experts from Google, Facebook etc at very low costs of $1000-$2000 na kuna scholarships, compare that to 10yrs ago where you needed way more money than that to even get a foot into these fields, hapo bado adding getting real works assistance and examples from tech giants. I'll take someone who taught themselves that and have done projects they can show off than your certificate showing you have a degree. You best believe these resources will get cheaper and cheaper until they are free, and you'll have even more self-taught data scientists, security engineers(which already is a thing, most hackers are self-taught) etc wakati unabaki na "but they don't have degrees"

And let's assume we think like you kuwa you need degree, how do you value it? Degree ya UD is better than ya UDOM? And who is a better programmer hapo au because they all have degrees they are all experts?
 
Software discipline is about passion and talent otherwise the road is very hard. Whether you're a degree holder or self taught.

Software engineering/development areas
>Application development
>System development
>Web development
>Embedded systems development

If you're a self learning expert (taking account, passion and talent) chances are you'll have a limited scope in stuffs, some stuffs are difficult and need time to master and apply and that time can be in a college or whatever. But in the very end you might master them and time won't be in your side.

Learners who at least attended some courses have a wide scope to cover and understand stuffs and even expand their skills to other more diverse area in a matter of time.

But I don't see any reason if you can learn your selft java, python, c and c++ for 1.6 years, why can't you enroll to any short course providers to reduce time and difficult?

But we differs in understanding, one can learn one language after another

Some are able to learn randomly even 2-3 languages at once.

Also, software discipline is little diverse, learning web is not like learning embedded and so on.
Web is of the likes frontend and backend, your only investment is time, energy, brain, Computer, power, tables and chairs, internet access

Embedded systems development requires you have an understanding of both hardware (electronics) and software (assembly, c/c++, python) because different chip vendors, different requirements and microprocessor Architecture. Also some people claim to develop embedded systems product without electronics background but I never see anyone in real life. Your investment here are electronics hardwares+PC, time, energy, more brain, one room is enough, internet access , power, the list goes on.

To name a few, things are like that.

Good luck,

Regards,
Engineer.
 
Hello Guys I'm an online student too, i was to go get my business degree but i followed what i loved "the "IDEA" of programming and virtual reality, game dev and all that" so i started online programs which it was like the beginning of this yea to admit it was hard to change information to knowledge to fundamentals so i started finding books and videos racking up the best books which are perfect for fundamentals. so i'm gonna describe a group of online websites.

COMPUTER SCIENCE
PROGRAMMER (software engineer)
CODER
LIVE RECORDING "KAMA UPO CHUO"
DATA SCIENCE
More and i have a literal of 40+ sites

In short i went through a lot of sites and ended up with multiple choices but i got "ADDICTED" to "Psets" and fully agree (learn by doing is the best) and i've went from confused to data analytics and automation and ckeshi kutafuta resources I HAVE AN APP FOR THAT

DIFFERENT PITFALLS
  1. Online i get updated with recent updates and knowledge info
  2. and online I ONLY MISS THE peer study group of the same knowledge but web like meetups solve that(but its a struggle)
MATH IS NOT THAT OF A BIG DEAL BCZ LIKE ON APP DEV EITHER ANDROID OR ITS JUST SIMPLE CALCULATION, STATISTICS LIKE DEVICE ROTATION
 
Software discipline is about passion and talent otherwise the road is very hard. Whether you're a degree holder or self taught.

Software engineering/development areas
>Application development
>System development
>Web development
>Embedded systems development

If you're a self learning expert (taking account, passion and talent) chances are you'll have a limited scope in stuffs, some stuffs are difficult and need time to master and apply and that time can be in a college or whatever. But in the very end you might them and time won't be in your side.

Learners who at least attended some courses have a wide scope to cover and understand stuffs and even expand their skills to other more diverse area in a matter of time.

But I don't see any reason if you can learn your selft java, python, c and c++ for 1.6 years, why can't you enroll to any short course providers to reduce time and difficult?

But we differs in understanding, one can learn one after another

Some are able to learn randomly even 2-3 languages at once.

Good luck,

Regards,
Engineer.

Mleta mada, this is how you present a case. Sio kuita watu "bottom of the hierarchy".

I agree with you, but development is a game of specialities, you can be a jack of all trades(good for landing a job and interviews) but you need to be good at something. And here is where self-taught developers shine, they will corner some area of development and be good at it.

By self-taught I meant all those things, online, short courses etc. Anything that is not formal training or certification.

But bottom line as you said we all learn and understand vitu tofauti, my problem with mleta mada is alienating a whole group of people as not good enough because they didn't follow the route that he or she did
 
Bro hiyo statement ni ya hiring manager wa google sio yangu. anakwambia most of the tyme haangaiki ata kuangilia cv zao, its not kwamba they are totally unfit,no,its that they have to work extremely hard and get lots of experince ndo waweze ku achieve ile wide scope ya understanding waliyonayo devs trained in formal institution.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom