eyamango
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 463
- 372
Wanajamvi naomba kuelimishwa kwa maada hii kwani inaweza ikawa na msaada wa kitabibu kwa jamii.Imekuwa ni kawaida kusikia baadhi ya binti zetu wajawazito wanapozaa (kujifungua)wanafanyiwa operation,na idadi inaongezeka tofauti na dada/binti zetu wa miaka ya sabini.je,hii ni kwa sababu ya life style ya siku hizi ambazo ni very sophisticated au ni mabadiliko ya dunia na kimaumbile?GT naomba kuelimishwa,hii itasaidia wadau wengine pia kuelimika na kusaidia kutoa ushauri kwa jamii pana zaidi.
Naomba kuwasilisha
NB.TUELIMISHANE BILA MATUSI WADAU ITAPENDEZA SANA.:cheer2:
Naomba kuwasilisha
NB.TUELIMISHANE BILA MATUSI WADAU ITAPENDEZA SANA.:cheer2: