figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
musije mkaanza kusema eti wanamkameruni.
kuna kipindi tulipata wageni kutoka marekani. Yule mama wakati anasoma risala akaachia mshuzi wa maana baada ya hapo akasema sorry.kuna waliochekea shavuni lakini sisi tulikuwa tumekaa nyuma tulicheka sana.kujamba ni njia ya kutoa hewa tumboni.kuna wengine wanaingiza chupi matakoni ile itoke ile ya fyuuu...!!, harufu ndo itawafanya mjue kuna mtu kajamba.kama kujamba ni kosa kila mtu analitenda.mia