Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Tujiachie jamani,hii mambo ya kusubiria mpaka usiku ukiwa usingizini sio nzuri,mnawatesa wenzenu kwani mchanganyiko unakuwa mkubwa sana na harufu inakuwa sio ya kawaida,ukichukulia madirisha yenyewe ya ki sikuhizi ya Aluminium,tutakuja kuumizana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom