Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 402
- 167
njoo na vyeti vyako vyote halisi, jina la mjumbe muhimu pamoja na mtaa. USISAHAU KITU KIDOGO CHA KUWAPOZEA ILI UPATE NAFASI MAANA MPO WENGI. MIKOANI HUKO VIPI?

tehh kuhusu mwandiko hlo neno maana wengine miandiko yao!!!!!!!!! imepinda c mchezoHiyo ni kwa wale ambao hawana ajira.
Kinondoni waliojiandikisha ni 500,
Waliopita ni 200,
Usaili umefanyika leo na baadhi yao wamekosa,wamebaki kama 100 na kitu.
Ila kigezo kikuu ni Mwandiko
PENYE UZIA....
Mbona temeke majina hayajatoka we upo kata gan?