Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

Nashindwa Kuelewa....Yupo Mwanangu M1 2liomba Nae Iyo Kazi Jana Naye Kaitwa....Au NDo Utaratibu Wao,Ngoja 2subiri 2one! Na Kwann Wasitoe Majina Ktk Media Kama Tacc Zingine? 2subiri Bana Mana Ata Me Nliomba!

Hii lugha tupa kule facebook, sawa?
 
Mwenye device yenye uwezo c mbaya ukiattach hayo majina hapa wengne tupo safarini vijijin
 
Kulingana na ufinyu wa budget
Jeshi la Zimamoto na uokoaji
wameamua kupunguza idadi
iliyokuwa ikitakiwa, majina 160
Kati ya 190 ya Sergeant
yameshatoka!
Na majina 437 Kati ya 570 nayo
yametoka leo!!!
Sergeant wanatakiwa kuripoti
Ukonga Magereza tar 15/6/2014
na Constable wanatakiwa kuripoti
Kiwira tar 29/6/2014.....
Majina yametoka kwenye
magazeti ya Mwananchi, Uhuru na
mengineyo!!!!!
 
Kulingana na ufinyu wa budget
Jeshi la Zimamoto na uokoaji
wameamua kupunguza idadi
iliyokuwa ikitakiwa, majina 160
Kati ya 190 ya Sergeant
yameshatoka!
Na majina 437 Kati ya 570 nayo
yametoka leo!!!
Sergeant wanatakiwa kuripoti
Ukonga Magereza tar 15/6/2014
na Constable wanatakiwa kuripoti
Kiwira tar 29/6/2014.....
Majina yametoka kwenye
magazeti ya Mwananchi, Uhuru na
mengineyo!!!!!

so hao waliokatwa wataitw ten au ndio bac tena?
 
Back
Top Bottom