salosalo
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 596
- 278
- Thread starter
- #21
Tatizo PSSR inamakucha ya undugu mfano hu hapa..Afisa Tawala wa Ofisi ya Rais Sekritalieti ya Ajira Doroth Ndabi ni ndugu na Kijana Fransi Ndabi....
ataacha kumpa kazi...
Wewe sijui nikusidieje? Ila tambua kuwa, Kila mtu anahaki ya kupa kazi mahala popote nchini alimradi anavigezo na ameweza ushindani. Mtu hapewi kazi kwasababu ni ndugu ya fulani, ila pia mtu hanyimwi kazi kwasababu ni ndugu ya fulani. We ulitaka anyimwe haki yake eti tu kwa sababu anaundugu na mojawapo ya maofisa wa ofisi hiyo? Ndio maana imeanzishwa PSRS ili kuondoa utata kama huo.