Kuitwa kazini - psrs( usaili wa december 2012)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by salosalo, Jan 4, 2013.

 1. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba kwa kila alipata nafasi ya kazi apokee pongezi zake nyingi sana. Kwa wale ambao hawakufanikiwa msikate tamaa kwani maisha ni foleni kila siku inasogea polepole, hatimaye na nyie mtafikiwa.

  Angalia kiambatanishi hapo ili ujue kilichojili
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2013
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahahahah nimepata thanx lord lol....
   
 3. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah, hongera saaana kwa kutoboa ozone namna hiyo maana si kazi rahisi. Ukiacha uwezo wa mtu bahati pia inanafasi yake huku ikiambatana na sara. Hongera sana once again na kila lakheri katika safari hii mpya
   
 4. M

  Mama Jolene Member

  #4
  Jan 4, 2013
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 1
  Tunaotumia simu tunaomben msaada wenu tafadhal
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2013
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanx meeennnnnnnnnnn kweli MUNGU mkubwaaaaaaaaaaa.......hapa napiga kitu dompo kusherehekea hilo lol....
   
 6. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tehe teheeeeeeeeeee Congra sana. Ngoja namimi nisherehekee kukusindikiza kwa kusikiliza wimbo wa R-Kelly "Storm is over" na wimbo wa Kara jeremiah "Dear God". Best of luck
   
 7. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah pole sana ila nadhani ukiwekewa hapa haitafaa maana faili lina kurasa 28. Ni vizuri uende net ukaangalie
   
 8. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 6,390
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  Hongera ningekuwa karibu ningekuongezea na Saint Ann
   
 9. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2013
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante sana...leo nagawa pombe bureeee...karibuni tule wkend....
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2013
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  karibu sana yani am so happyyyyyyyyyyyyyyy.......thanx psrs kwa kuniona lol....
   
 11. M

  Mama Jolene Member

  #11
  Jan 4, 2013
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 1
  Tuliofanya afisa tarafa mbona hatukumbukwi jaman? Aagrrr
   
 12. M

  Mama Jolene Member

  #12
  Jan 4, 2013
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 1
  Mwenzenu napata wivu nataman ningekuwa mi ndo nimepata
   
 13. k

  kelvinkipeta JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2013
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks god.......
   
 14. b

  bushagara Senior Member

  #14
  Jan 5, 2013
  Joined: Dec 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kinachoangaliwa ni sifa. Kama ana sifa kuwa na ndugu serikalini si kosa kwani wote waliopata ndugu zao ni maafisa serikalini. Tusiwanyime watu haki zao jamani
   
 15. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2013
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,829
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Naamini waliopata wanastahili, wala hamna haja ya kukatishana tamaa.
   
 16. U

  Uyole12 JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2013
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 533
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Hongereni mliopata mie nilifanya Uchumi nimekosa lakini nakubali matokeo tu. Written niligonga 90% nadhani oral ikaniangusha hongera sekretariat ya Ajira mungu awabaliki.
   
 17. D

  DR. MWAKABANJE JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2013
  Joined: Nov 7, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Waliobahati hongera zao, ila tu wakatende na kusema yale taifa letu linahitaji, haina maana hata kidogo ukiwa huna unapiga kelele na kutoa michango ya maana tu, ukipata nawe watumia kikombe kilekile, tuwe wazalendo na nchi hii, ni yetu, na watotot wetu, na watoto wao................nk, hamna haja ya ukipata post ukanunue kreti za bia ukasherekea bila ya kutafakari majukumu na mzigo unaokwenda kukabidhiwa ili kuleta maendeleo ya nchi hii!

  Congratulations once again!
   
 18. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Congrats sana Ciello.. Mkalitumikie taifa.. Usifanye ufisadi wa ardhi..

  Hopin umebaki mjini
   
 19. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wengene tunatumia cm, tunaomba mtuwekee .
   
 20. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wengine tunatumia cm, tuwekee majina humu
   
 21. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #21
  Jan 5, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe sijui nikusidieje? Ila tambua kuwa, Kila mtu anahaki ya kupa kazi mahala popote nchini alimradi anavigezo na ameweza ushindani. Mtu hapewi kazi kwasababu ni ndugu ya fulani, ila pia mtu hanyimwi kazi kwasababu ni ndugu ya fulani. We ulitaka anyimwe haki yake eti tu kwa sababu anaundugu na mojawapo ya maofisa wa ofisi hiyo? Ndio maana imeanzishwa PSRS ili kuondoa utata kama huo.
   
 22. w

  winner forever JF-Expert Member

  #22
  Jan 5, 2013
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 1,087
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Hongera mliopata kazi,sasa ni kuchapa kazi tu,
   
 23. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #23
  Jan 5, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hisani ya Muarubaini na wengine wanaotumia simu. matokeo haya hapa


  1
  SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
  Kumb. Na. EA.7/96/01/D/05 4 Januari, 2013
  KUITWA KAZINI
  Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi
  wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili ulioanzia tarehe 6 hadi 7, 12 hadi 14 na 19
  hadi 21 Desemba 2012 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na
  wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili. Aidha,
  wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya katika muda ambao umeainishwa katika
  barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals) vya masomo
  kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya
  ajira.
  Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao. Aidha, wale
  ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao
  hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.
  NB: Tangazo hili linapatikana katika tovuti zifuatazo:
  PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS, Public Service Management na www.pmolarg.go.tz
  NA. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI

  1. OFISI YA MAKAMU
  WA RAIS
  AFISA HABARI DARAJA
  LA II
  1. MONICA SAPANJO
  MCHUMI DARAJA LA II 1. JAMES LIKANGALA
  2. ALFRED KESS

  AFISA SHERIA DARAJA
  LA II
  1. UPENDO MMBAGA
  2. SULEIMAN JUMA MGERWA
  AFISA TAWALA DARAJA
  LA II
  3. LADISLAUS V. NGOLE
  4. SABRINA MTONDOO
  AFISA USTAWI WA JAMII
  DARAJA LA II
  1. FRANCIS NDABI
  2
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. STEPHEN PADSON BIDUDA
  MKUTUBI DARAJA LA II
  1. HILDA A. LEKULE
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME)
  1. JAMES M. KABASSA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MACHENICAL)
  1. BAKARI KIBIKI
  2.
  KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. CHACHA MARCO
  AFISA TAWALA DARAJA LA II
  1. LEAH H. KIBASSA
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. SHADRACK JOHN KITEVE
  2. PASCAL D. VYAGUSA
  3. JACOB YAMUNGU JACKSON
  4. ELILANGA KAAYA
  5. BEVELLE ISSAYA
  6. EWALD PETER BONIFACE
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. JOACHIM ZAHARAN
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II
  1. ERADIUS SIMON
  MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II
  1. JAWABU IBRAHIM SAID
  3.
  KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA
  AFISA USAFIRI DARAJA LA II
  1. LADISLAUS LAURENTI BILAMATA
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. NEEMA ROBERT
  MHAKIKIMALI DARAJA LA II
  1. DOTTO ALLY
  2. YESE THOMAS SHAYO
  3. FIDELIS P. MWANANDENJE
  4. ROLGERS ERNEZA MADEGHE
  5. TIMOTH ASILIA MWANYINGILI
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. MATHIAS M. KADEGE
  2. TUSILILE IGOGO
  3. FLAVIANA PILOTY NYASEBWA
  4. ANETHE S. MSUYA
  3
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  4.
  KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
  MKAGUZI HESABU WA NDANI DARAJA LA II
  1. FELISTER G. GULE
  5.
  KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. ELIABU ERNEST LWABIAGO
  2. ARON EDWARD MBAPA
  3. EUNICE LUGINA
  MHANDISI DARAJA LA II (VIWANDA)
  1. FRANCIS D. SINKAMBA
  2. KAMARA GOMBE
  3. MEKSESIUS KALINGA
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. FREDDY AARON KAWUA
  2. JACKLINE CHRISTOPHER
  3. ATUPYANIE KAYOMBO
  4. FESTO DAUDI KAPELA
  5. HUSSEIN K. MAKAME
  MSAIDIZI WA HESABU
  1. DEOGRATIAS JOB
  6.
  KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI
  MHAIDROLOJIA DARAJA LA II
  1. JAMILA TUWA
  2. JOHN R. KAVISHE
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  1. ATHUMAN HASSAN SHARIF
  2. DENNIS HENRY KIILU
  3. REHEMA A. OMARI
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. JUMANNE BENEDICT
  2. MAGRETH KILAWE
  MKAGUZI WA HESABU ZA NDANI DARAJA LA II
  1. ESTER REVENUS
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. MISHI SALIM KOMBO
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. ALEX G. KIKARUGAA
  OPERETA WA KOMPYUTA DARAJA LA II
  1. MAGDALENA C. NUNDO
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. HOPENESS LIUNDI
  2. MUSALIKA MASATU
  7.
  KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. SUZAN M. SILA
  2. NEEMA BALTEZARY
  3. DOUGLAS JAILES
  KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III
  1. EVASTER EUSTACE
  2. ELIETH RWABUKAMBWE
  4
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  3. ASIMWE KAMUGISHA
  8.
  KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO
  AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II
  1. KEMILIMBE ANATORY
  2. PETER SIMON
  3. BONIFACE LAZARO
  AFISA MICHEZO DARAJA LA II
  1. MAHONA L. MLINDE
  2. GORDON NSAJIGWA
  3. ALADIN A. HOKA
  4. EPIFANIA MUGANGA
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  5. GENOTEVA MATEMU
  6. FRANK JOHN
  7. HUSSEIN K. MAKAME
  8. JOHARY A. KACHWAMBA
  9. FATUMA S. SALUM
  10. HASSAN SILAYO
  11. FRANK SHIJA
  12. LORIETHA LAURENCE
  13. BERNARD LUGONGO
  14. BENEDICT LIWENGA
  15. GEORGINA ADDO MISAMA
  16. IMMAKULATA MAKILIKA
  17. ELETERI EMANUEL MANGI
  9.
  KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. BERIOUS B. NYASEBWA
  2. YUSTA MSOKA
  10.
  KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. DAUD MAJINGE
  AFISA USAFIRI DARAJA LA II
  1. HEZRON M. MKANGI
  MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II
  1. BIBIANA PATRICE
  2. AYOUB OMARY
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. SUBIRA ADAM
  2. CRETUS MPIGA
  3. GODFREY ANORLD
  4. GWABI KAHISHA
  MSAIDIZI WA HESABU
  1. VENANCE KADAMA
  2. MWAJUMA THABITI
  3. BERNARD MALAKASUKA
  5
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  4. CONSOLATA UDAMBE
  5. MARYGRETH PETER
  6. ARAFA A. SILIM
  7. OCTAVIAN COSBERT
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. ZABRON YETROM
  2. JULIANA L. MASARO
  3. PETRO SIMON
  4. RERNAD WILSON KAZOBA
  11.
  KATIBU MKUU, WIZARA YA NISHATI NA MADINI
  MHAIDROLOJIA
  DARAJA LA II
  1. ALPHONCE KILOVELE
  MJIOLOJIA
  DARAJA LA II
  1. ASIMWE KAFRIKA
  2. JOSEPH ANDREW
  3. MASAI GABRIEL
  MHANDISI MCHENJUAJI MADINI MKUFUNZI DARAJA LA II
  1. FRANK E. PAUL
  2. JOSEPH M. MTUI
  MPIMA ARDHI
  DARAJA LA II
  1. NICKSON MWAKIBASI
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MADINI)
  1. MBARUKU RAJAB MAUNDU
  2. REVOCATUS W. RUSHEMEZA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MAABARA MADINI)
  1. ANGANILE O. MWINUKA
  12.
  KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA JAMDARAJA LA II, JINSIA NA WATOTO
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. MUSSA M. CHUMA
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. NYAMARWA MFUTAKAMBA
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. BERIUS BERNARD NYASEBWA
  AFISA TAWALA DARAJA LA II
  1. ROSE SALOME MATTEE
  2. GOODLUCK MLINGA
  3.
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. GETRUDE MAKABENGA
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. ADVENTINA KATO
  2. GRANT LUCAS
  3. EDWARD HANS BYAMPANJU
  6
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  13.
  KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
  AFISA USAFIRI
  1. BELINA KESSY
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. THUAIBU ABDALLAH
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1.RAYMOND RAYMOND
  2.GODFREY MFALAMAGOHA
  3. BENEDICT T. NSAJI
  4. KISA PETER MWAMBAMBALE
  5. ELIA KAMIHANDA
  AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
  1.RAPHAEL MENIS
  2.GABRIEL LUVANDA
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1.NASRA KASSIM IDURY
  AFISA TAWALA DARAJA LA II
  1.JOYCE CHRISTOPHER
  2.AMIE LUPONDO
  AFISA SHERIA
  1. LIZE KIBADA
  2. NICOLAUS STEPHEN
  3.ANGELA H. MWAGENI
  4.ALICIA JOHN
  5.TENDAI EVELYN CHINOLO
  6. ALPHA H. MASSAWE
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1.ADAM G. KAYAGAMBE
  MSAJILI MSAIDIZI WA HATI
  1.MAGRETH MAPUNDA
  2.YUSUPH SENETE
  3.GETRUDE K. MKOMA
  4.EMILY H. MASUGA
  5. PRUDENCE MWESIGWA
  14.
  KATIBU MKUU,
  WIZARA YA MAMBO YA NJE NA
  USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. ELIZABETH KOMBA
  15.
  KATIBU
  TUME YA UTUMISHI WA UMMA
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. FABIAN PROCHES
  2. FANUEL MWAKIBETA
  3. EMMANUEL BERNARD
  4. CHRISTOPHER JONAS NYAMBAZA
  MSAIDIZI WA
  1. TABU SOSPETER
  7
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  KUMBUKUMBU
  2. HAFRA MWINYI
  KATIBU MAHUSUSI
  1. LEAH ROGATUS
  16.
  KATIBU
  TUME YA MIPANGO
  MKUTUBI DARAJA LA II
  1. UPENDO E. KAVALAMBI
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. ANNA JACKLINE MUHUGA
  17.
  KATIBU SEKRETATIETI YA AJIRA
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. NEEMA KIVUGO
  2. MICHAEL LAURENT
  3. ALLY MOHAMED
  4. NASIBU KOKO
  5. AUGUSTINO SIKOKI
  6. EDGAR MBILINYI
  7. BENJAMIN B. NSANU
  AFISA TAWALA DARAJA LA II
  1. SOMWANA SALUMU
  2. REVOCATUS A. PANGAH
  3. MARWA WEREMA MWITA
  4. JOY NYONDO
  5. SELEMAN S. CHIHEMBE
  6. ISA PAUL
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  1. KASSIM S. NYAKI
  18.
  MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA
  TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. STEPHEN EPHRAHIM
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. BWIRE MUNUBI
  19.
  MKEMIA MKUU WA SERIKALI
  WAKALA WA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. DAUD MAJINGE
  20.
  MKURUGENZI MKUU
  MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. SAUDY MWAKANUSYA
  8
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  21.
  MTENDAJI MKUU
  TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBA)
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. DANIEL AWAKI
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. BENJAMINI MAHIMBALI
  22.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI TAASISI YA UTAFITI WA CHAI
  AFISA UTAFITI
  1. LAMECK MISANGO MALEBA
  FUNDI SANIFU MAABARA
  1. MWINSHAHA ATHUMAN
  23.
  MKUU WA CHUO CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
  SENIOR SUPPLIES OFFICE
  1. DEMITRIDA SOSPETER
  OFFICE MANAGEMENT SECRETARY I
  1. ANITA A. SHEWERE
  24.
  MKURUGENZI
  MKUU MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  1. ELIPHACE F. MARWA
  25.
  OFISI YA MKUU WA MKOA
  DAR ES SALAAM
  AFISA MISITU DARAJA LA II
  1. MARIAM MOHAMED KITULA
  26.
  KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA DODOMA
  AFISAUSHIRIKA DARAJA LA II
  1. LAWI DAUDI MAGOKA
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. HADIJA MILULU
  MHANDISI DARAJA LA II (MAJI)
  1. FIKIRI SAMADI
  27.
  KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA MWANZA
  MSAIDIZI WA HESABU
  1. RENALD MUTABUKO
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. DENNIS MBUCHI
  28.
  KATIBU TAWALA (M)
  OFISI YA MKUU WA MKUO WA IRINGA
  AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. FAUSTINE CHRISPHINE MAJUTO
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. AMIN CAPTAIN KASILILIKA
  9
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  29.
  KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA WA TABORA
  AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
  1. IBRAHIM A. BUTTA
  KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III
  1. DANIELA JOHN
  2. CHRISPINA CHRISTIAN
  30.
  KATIBU TAWALA MKOA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MARA
  AFISA MICHEZO DARAJA LA II
  1. EVANS SANGAWE
  AFISA MAENDELEO YA VIJANA DARAJA LA II
  1. FIDEL ZAKARIA BALAGAYE
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. FURAHA K. MWAKYUSA
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. ELIZABETH MAHINYA
  AFISA UTAWALA DARAJA LA II
  1. HEAVEN E. KOMBE
  MTHAMINI DARAJA LA II
  1. BULUMBA LUTEJA
  31.
  KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA
  MHANDISI WA MAJI DARAJA LA II
  1. GAMA N.KIMOTO
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME)
  1. MUSSA NDUMBALO
  32.
  KATIBU TAWALA (M), OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUVUMA
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. JACQUILINE KALAZA
  MTAKWIMU DARAJA LA II
  1. MERYVIENA ZACHARIA
  33.
  KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA GEITA
  AFISA TAWALA DARAJA LA II
  1. ALLY RAJAB
  2. NG'AMBU MANYONYI
  3. PAULO SAMWEL YOSEPH
  4. REGINA SUBIRA
  5. SELEMANI S TAJIRI
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. CARLOS MBIRO
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  1. MAGESA JUMAPILI
  MSAIDIZI WA HESABU
  1. EMILIUS A. MBOGAI
  2. FALVIAS JULIUS MWANICHETA
  3. FROWN A. HILLU
  4. FRED SHAYO
  10
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  5. VIOLETH E. MWANGA
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. FAITHMARY LUKINDO
  MKAGUZI WA HESABU WA NDANI DARAJA LA II
  1. FORTUNATA R SWAI
  2. WILSON D. MANYANGU
  MKAGUZI WA HESABU WA NDANI MSAIDIZI DARAJA LA II
  1. MARK PETER
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. BAKARI MSANGI
  AFISA UGAVI MSAIDIZI DARAJA LA II
  1. JEREMIA CHARLES MASHENENHE
  2. SALOME H. MUSANGILE
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. DEOGRATIUS KAPINGA
  2. EMANUEL P MAO
  3. FRANK FRANCIS MASHAURI
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. LAST LINGSTON
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. BENEDICT STEPHEN
  AFISA MISITU DARAJA LA II
  1. NASSORO JUMA SHELUKINDO
  AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. ANGELAMERY BALTAZARY
  MHANDISI DARAJA LA II -UJENZI
  1. FRANK J. CHONJO
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. KOMBA OTMARY GEROLD
  AFISA MICHEZO DARAJA LA II
  1. CALOL BENARD STEVEN
  AFISA MAENDELEO YA VIJANA DARAJA LA II
  1. BENEDICT NDULA BUDEBA
  AFISA SERIKALI ZA MITAA DARAJA LA II
  1. UPENDO DANDA ELIA
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. MERCY NGOWI
  AFISA USIMAMIZI WA FEDHA DARAJA LA II
  1. MACHA MUNGUATOSHA M.
  11
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  34.
  KATIBU TAWALA OFISI YA MKUU WA MKOA WA LINDI
  AFISA TAWALA DARAJA LA II
  1. GRACE MLOKA
  2. MAGOLONGA MASALU
  MTAKWIMU DARAJA LA II
  1. JOSEPHAT SANINGA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. SALEHE BAYAN
  AFISA MICHEZO DARAJA LA II
  1. GRANT MWAIJENGO
  AFISA MAENDELEO YA VIJANA DARAJA LA II
  1. SAIDA JAMPION
  35.
  KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA TANGA
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  1. MONICA LAURENT
  AFISA MISITU DARAJA LA II
  1. PETER NGUYEJE
  AFISA USIMAMIZI WA FEDHA DARAJA LA II
  1. SARAH AUGUSTINE
  AFISA VIJANA DARAJA LA II
  1. IRENE KIATA
  36.
  KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA SHINYANGA
  AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
  1. HILDA KIGOLA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. TEDSON J. NGWALE
  AFISA USIMAMIZI WA FEDHA DARAJA LA II
  1. NURU ARON
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. ELISHA JAMES
  37.
  KATIBU TAWALA OFISI YA MKUU WA MKOA WA PWANI
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. OSCAR JK ZENGO
  AFISA TAWALA DARAJA LA II
  1. BURTON RUTTA
  2. VENANCE NDOSSI
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. SELEMANI HIJJA
  AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. DAVIS JOHN KABUKA
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. PETER Z. MOSHA
  AFISA MICHEZO
  1. GRACE R. BURETA
  AFISA USTAWI WA JAMDARAJA LA II
  1. BRIAN ISHABAKIKI
  12
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  38.
  MKURUGENZI WA JIJI
  HALMASHAURI YA JIJI LA
  DAR ES SALAAM
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. JULIANA WILLIAM
  39.
  MKURUGENZI WA MANISPAA
  HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE
  DAR ES SALAAM
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II - UJENZI
  1. FIKIRI KATINGA
  40.
  MKURUGENZI WA MANISPAA
  HALMASHAURI YA MANISPAA DODOMA
  POLISI MSAIDIZI
  1. JOHANES TRASEAS MGALULA
  2. DANIEL MGOGO
  3. CYMPROSA RAYMOND
  4. MOHAMED SALUM MCHORO
  5. HILDA CHILONWA
  6. AZIZ IDDI DIWANI
  7. OSCAR MWINUKA
  8. STELLAH M. MKUMBWA
  9. GODFREY J. GARAHENGA
  41.
  MKURUGENZI WA MANISPAA
  HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO
  AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
  1. GODWIN D. MSHANA
  AFISA MAENDELO YA JAMII DARAJA LA II
  1. LEAH GEORGE
  2. KWEJI KASULUNDE
  MKAGUZI WA HESABU ZA NDANI DARAJA LA II
  1. FELIX EUSTACHU
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. JOANITHA MASHASI
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. JUMA HASSAN
  42.
  MKURUGENZI WA MANISPAA
  HALMASHAURI YA MANISPAA YA MTWARA MIKINDANI
  MTWARA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. DAUDI NCHAMBI
  AFISA MIPANGO MJI DARAJA LA II
  1. MWESIGA MWIJAGE ILETA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. SUPUKU L. LOSIRU
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. YAHYA H. SOKONI
  13
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  43.
  MKURUGENZI WA MANISPAA MOSHI
  HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. DIANA DOMINICEAN
  2. GODFREY MAPUNDA
  3. KALIKULE PELISIUS
  4. ANNOLD E. NKONGOKI
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. LUCAS BONIFACE
  MSAIDIZI WAMTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA II
  1. GODWIN E. MYANGE
  44.
  MKURUGENZI WA MANISPAA
  HALMASHAURI YA MANISPAA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. KALOKULE PERISIUS
  MTHAMINI DARAJA LA II
  1. AMANI MAJENGWA
  AFISA MISITU DARAJA LA II
  1. JEREMIA GUMADI
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. HAPPY KYASI
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. JEREMIAH T. MESSO
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. BENSON SAYAYA
  MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II
  1. MARTIN ABIAH
  MSANIFU MAJENGO DARAJA LA III
  1. BUBERWA TIBESIGWA
  AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
  1. COLMAN S. RIZIKI
  MTAKWIMU DARAJA LA II
  1. RUGUMBA JOSEPHAT
  45.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. STANLEY M. YUNGU
  MSAIDIZI WA HESABU
  1. OSCAR ROBERTY MGOWOLE
  2. MIRAJI RASHIDI
  MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II
  1. VICTOR MARO KENYUNKO
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. STELLA MUSHI
  14
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  46.
  MKURUGENZI WA MANISPAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. NICHOLAUS STEPHEN
  2. JEROME JAMES KYANDO
  AFISA MIPANGO MIJI
  1. LILIAN MSASI
  FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA II
  1. FELIX HENRY
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. SELESTINE MASAWE
  MHANDISI DARAJA LA II UJENZI
  1. KARISYO MLIGO
  AFISA MISITU DARAJA LA II
  1. LUFUNYO LULANDALA
  AFISA MICHEZO DARAJA LA II
  1. SAMWEL ISRAEL MWAIKENDA
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. DARLIN HASSAN
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. DESMOND MUNA
  AFISA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II
  1. GAUDENCE KAZYOBA
  47.
  MKURUGENZI WA MANISPAA,
  HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. STELLA MASHIKU
  2. EMMANUEL WILBERT
  AFISA ARDHI
  1. LEILA A. CHIPANYANGA
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. STEPHEN MANYANGU
  48.
  MKURUGENZI MANISPAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. DEODATUS TULINAWE
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II -UJENZI
  1. CHRISTINA F. LUHWAGO
  2. JEREMIAH A. MSAGIKA
  3. ZAID SULTAN
  4. DOTTO MAGESSE
  MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II
  1. STEVEN YUNUS LYAYOGA
  AFISA USHIRIKA
  1. RAYMOND IDENYA RAPHAEL
  2. JASMINI HAMIS
  49.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W),
  HALMASHAURI YA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. LETARE SINDA SHOO
  15
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  WILAYA YA CHAMWINO
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. LUCAS M. KAOMBWE
  50.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI
  AFISA USAFIRI DARAJA LA II
  1. HEBRON MAKALULA YONA
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. GETRUDE CHARLES TOPHER
  MHANDISI DARAJA LA II - UJENZI
  1. FRANK BERNARD
  51.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA
  DEREVA DARAJA LA II
  1. STANLEY S. JOHN
  52.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. JOSEPH MURASI
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. LAILAJILEJI M. DAUDI
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. THERESIA P. SIMON
  53.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA TABORA
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. RASHIDI YASINI MPUYA
  AFISA MAENDELEO YA VIJANA DARAJA LA II
  1. JOHARI GUMBA
  MKAGUZI WA HESABU WA NDANI MSAIDIZI
  1. MWABEZA PETER LAUDEN
  54.
  MKURUGENZI WA MJI
  HALMASHAURI YA MJI NJOMBE
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. HAPPYNESS KIKOWE
  2. VERONICA MUYANGO
  3. HOSEA YUSTO
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. SIA MINJA
  55.
  MKURUGENZI MTENDAJI
  HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO
  AFISA MIPANGO MJI DARAJA LA II
  1. ANDREA BIADHARA
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. ALLEN S. SAM
  16
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. FRANK B. SALUM
  MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. EMMANUEL CHARLES
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. ISSA H. KIRUWA
  MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II
  1. AMINA HAMIDU MGAYA
  56.
  MKURUGENZI WA MJI,
  HALMASHAURI YA MJI KIBAHA
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. ISMAILI MOHAMED
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. BAHATI S. NJAKACHAI
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. LUCIA MICHAEL
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. KHADIJA SHABAN TEKKA
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  1. INNOCENT J. BYARUGABA
  AFISA MICHEZO DARAJA LA II
  1. BURUAN TILUSU
  AFISA MAENDELEO YA VIJANA DARAJA LA II
  1. JOHN ELIEZERI
  MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II
  1. FORTUNATUS NDIBALEMA
  MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II
  1. BENEDICTO BARTAZARY
  57.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. ASHER M. KUSSAGA
  58.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUFIJI
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. VERYNICE DAVID
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. MERCY KOMBA
  17
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  MTAKWIMU DARAJA LA II
  1. ANATORIA FANUELI
  AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
  1. HAJI ABDALLA LUSONGE
  59.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAFIA
  AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
  1. GLORIA KILENDI
  60.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. HOBOKELA J. LUKASA
  2. ARISTIDES L. ZAWADI
  MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1.NDOTA MARO WAMBURA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. JOSEPH MOSHA
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. DORESTA SEVERINE
  2.FOIBE SAMWELI
  3. JONATHAN BISEKO
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  1. GLADNES MALIMI
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (BARARABARA)
  1. JACOB MWASHIUYA
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. DENIS MBUGHI
  2. DIANA F. SENYONI
  MTAKWIMU DARAJA LA II
  1 LAMECK RWALALAZA
  61.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI
  AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
  1. DEBORAH M. NGOLLE
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. GODFREY SAGA
  AFISA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II
  1. CHIFUNO JEMBE
  FUNDI SANIFU UJENZI
  1. FLORA V. TARIMBA
  MUHANDISI UJENZI
  1. GEORGE PASCHAL
  AFISA MISITU
  1. JOHN RUBEN
  18
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  62.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. KOMBA O. GERALD
  AFISA MIPANGOMIJI DARAJA LA II
  1. MACKIE ROJAS
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. GLORIA NKULILA
  AFISA USAFIRI DARAJA LA II
  1. ELINA KESSY
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. CAROLINE KIRINGO
  2. BRIAN JOHN
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. MAHADHI ALLY MAHADHI
  MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II
  1. TILYA HUMPHREY
  2. GODFREY MTWENA CHEGERE
  AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II
  1. KEMILEMBE ANATORY
  MHIFADHI MAMBO YA KALE DARAJA LA II
  1. NINA KISANDO
  MSAIDIZI WA HESABU
  1. SILUS JACOB
  2. JUSTINE MICHAEL
  3. ADELISA ANAEL
  MSAIDIZI WA HESABU
  4. JOHN D. KISIWA
  5. ABED Z. NSOGELIJA
  6. DAMAS DUWANGE
  MTHAMINI DARAJA LA II
  1. ONESMOR P. MANSELA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UPIMAJI ARDHI)
  1. CUTHBERT ERNEST
  AFISA ARDHI MSAIDIZI
  1. RIDHIWANI RAJABU
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (RAMANI)
  1. JONTHAN MGONJA
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. EUGEN GALLET
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. JUMA OMAR HUMBE
  AFISA USHUIRIKA DARAJA LA II
  2. SALIM KIHERO
  19
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  63.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. FILBERT MWINUKA
  2. AZIZA SUED MJUNGU
  MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. JOSHUA OLEMBARIO
  POLISI MSAIDIZI
  1. BWELE MSIBA
  2. MAKUMBUSHO A. NDITI
  MPIMA ARDHI DARAJA LA II
  1. WILLIAM MPELI
  MHANDISI DARAJA LA II (MAJI)
  1. LEONARD WATOSHA
  FUNDISANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  1. RICHARD KE LVIN GAMA
  64.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. FIKIRI M. MVUMA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. PETER MLELA
  MLINZI
  1. SUBIRA K. KAZI
  AFISA USTAWI WA JAMDARAJA LA II
  1. SOSTHEN MTEMA
  2. DORICE SHAYO
  3. JOSEPHINE MWAIPOPO
  4. SUZAN MDESA KIPUYO
  5. JULIANA THEODORY
  65.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA
  AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II
  1. ELIAKIM ELISA
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. ROY JOHNSON AROM
  66.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA NKASI
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. PASIAN LEORNALD
  2. GAUDENCE SANZES
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. GETRUDE MWAKASEGE
  2. DANIEL S. SIKWA
  MVUVI MSAIDIZI
  1. FRANK A. MWIJAMBO
  2. DOROTH DEOGRATIAS
  3. TORAN J. HONGO
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  1. FRANK J. KAPESA
  20
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. HAMIDA NYAGAWA
  2. MAWAZO ANYOSISYE
  3. DAVID MWASUMBI
  67.
  MKURUGENZI MTENDAJI,
  HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. LEONARD ROBERT NYAMGENDA
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. GODFREY N. RIWA
  68.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI
  AFISA WANYAMAPORI
  1. CATHERINE MAEMBE
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. MATUBA CHARLES M.
  2. MICHAEL EDES URASSA
  69.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W),
  HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO
  AFISA MISITU DARAJA LA II
  1. PETER KIBONA
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. FELISTER KIBAMBO
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. MOSES BARNABAS
  70.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  MKAGUZI WA HESABU ZA NDANI DARAJA LA II
  1. RENATUS P. MJEBHA
  MCHAPA HATI DARAJA LA III
  1. JULIANA D. KIBUNGI
  MTHAMINI DARAJA LA II
  1. RAPHAEL RAFIKI
  71.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA KITETO
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (BARABARA)
  1. BARAKA SHADRACK
  2. TOGE KUSEKELWA
  72.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. PAULO MESIKI
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  2. SALVATORY EMMANUEL RUGINA
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. PATRICK SHAABAN
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (ARDHI)
  1. IDDI RULAMIE
  2. JOHNS STAMBULI SHAFURI
  MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. SAMWELI DAUDI BAYO
  2. GODFREY AUGUSTINO KIMATHI
  21
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  FUNDI SANIFU DRJ. DARAJA LA II UJENZI
  1. NEEMA M.T. NYANGAKA
  2. MATHEW V. JAMES
  AFISA MISITU DARAJA LA II
  1. ALEX B. BASUBIZANE
  73.
  MKURUGENZI WA MJI,
  HALMASHAURI YA MJI
  BABATI
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. ADAM SEMBE
  2. ANTHONY MOSES
  3. LEONARD MWAMILUNGA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. PAULO MESIKI
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. HADIJA MUWANGO
  2. HALID MAHENGA
  MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II
  1. LEVIS LUSITO
  FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA II
  1. MUHUDI AWADHI
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. ANTHONSON MICHAEL MKAKATE
  74.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. KWAMBIWA N. NACHANJE
  MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. VICTOR GODARD
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. ERICK SHADRACK
  2. LYDIA SIMON
  3. DONALD MPELO
  75.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. JOHN BALTAZARY
  AFISA MICHEZO DARAJA LA II
  1. SAMWELI SINGO PASTORY
  76.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
  MHAIDROLOJIA DARAJA LA II
  1. ALPHONCE KILOVERE
  77.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. MASUMBUKO SHABAN
  2. SINA JEROME MWAKIFUNA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UPIMAJI ARDHI)
  1. ABDALLAH MOHAMED MSENGA
  22
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. LAZARO DANIEL
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. MUSA MIRAJI
  MHAIDROLOJIA
  DARAJA LA II
  1. GAMA KIMOTO
  78.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. JOVITHA KAHAMBA
  2. MISHI SALIM KOMBO
  MKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II
  1. KABIRE MWITA
  AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II
  1. ELISHA AMOS
  AFISA NYUKI DARAJA LA II
  1. STEVEN KANAN
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. DORICE SHAYO
  2. ELIZABETH MUHERE
  AFISA MICHEZO
  1. ROBERT MFUGALE
  79.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI
  AFISA USHIRIKA
  1. MADARAKA CHAMSHAMA
  MHUDUMU WA AFYA
  1. HILDA MAYEMBA
  2. HAMZA HUDU
  3. RESTUTA FORTUNATUS
  4. JUSTER SALVATORY
  80.
  MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. ELIZABETH MDEMBE
  2. IMENI D. MBELEMBE
  3. EMMANUEL NATHANIEL
  4. JOHN MAOMBE
  5. YAHAYA HALID
  6. DOREEN TEFURUKWA
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. VIVO CHUTTO
  2. KAWAWA F. KAWAWA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  1. DIANICE CHAMBU
  2. CHARLES VICTOR
  3. PASTORY MAKUMBI MADOSHI
  4. SAIDI AKIDA
  81.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. JEROME JAMES KYANDO
  AFISA HABARI DARAJA LA II
  1. JOINA NZAH
  23
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  MTHAMINI DARAJA LA II
  1. MKULA S. RAYMOND
  2. ISAYA NTONDOKOSO
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. BAKARI ALLI KINGAZI
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. HAPINESS G. NKWAMA
  2. ABUBAKAR KIGUA
  MHANDISI MAJI DARAJA LA II
  1. MWAJUMA JUMA
  2. ALOYCE NOMBO
  82.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA
  NANYUMBU
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. FANUEL MACHUMU
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. THERESIA MROPE
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. HUSSEIN MURSHID
  83.
  MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. JOHN ELIEZARI
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. LAZARO MATOKE
  MSAIDIZI UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II
  1. EMMANUEL F. JOHN
  2. ELIBARIKI LOSERIAN
  MUHUDUMU WA AFYA
  1. HAWA HUDU
  CONCHESTA WILSON
  2. AMINA FASHINGABO
  AFISA MISITU DARAJA LA II
  1. MFAUME RASHID
  84.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. KELVIN VITUS KIPEKA
  MTAKWIMU DARAJA LA II
  1. LUCY KALINGA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. FLORA BARAKANA
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. ESTHER R. SANGA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  1. BENJAMIN G. MACHA
  2. CHARLES S. NGETABULA
  3. DEO CHARLES
  4. ELISONGUO E. MALISA
  24
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  5. MOSHI RAMADHANI
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. WINFRIDA MUGUBIKA
  MHANDISI DARAJA LA II UJENZI
  1. VICTOR MAGESSA
  85.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (KOMPYUTA)
  1. DAVID MAPUNDA
  86.
  MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA
  MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. WAKURU D. KUSHOKA
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. FRANK NDELEMBA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. MOSSES E. BUJA
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. ANDREA KAPI
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. TANOGA LUKANYAGA
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. METHOD ABEL
  MKAGUZI WA NDANI
  1. GODSON G. MUPAPI
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  1. GRACE BONIFACE MMSAI
  MTHAMINI DARAJA LA II
  1. EDGIUS KASHAGA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI
  1. JESCA SARAKIKYA
  87.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MEATU
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. BENEDICT I. SEWANDO
  MKAGUZI WA HESABU WA NDANI DARAJA LA II
  1. RENATUS P. MJEBHA
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  2. KASIKA HEZIRON MUJUBERI
  25
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  3. SALEHE BAYAN
  AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II
  4. SARAH JOHN
  5. CHALLE JOSEPH
  MHANDISI UJENZI DARAJA LA II
  6. MUSSA MIRAJI
  88.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. CHRISTINA MSOVELA
  2. LOSERIAN SOKONOI
  3. YUSUFU SHABAN
  4. PRISCILLA ALFRED
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  1. HAMZA A. SAIDI
  2. MASOLA S. JUMA
  3. MASOLWA BUTONDO
  89.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA KAHAMA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME)
  1. ZAKAYO EMMANUEL
  90.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA
  AFISA UTUMISHI
  DARAJA LA II
  1. NYAMIZI YASINI
  91.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. JOSEPHINA D. CHUWA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  1. LUSAJO JORAM
  92.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. ERICK BAZOMPORA
  2. DENIS MAPUNDA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  1. REHANI YAKOPO
  93.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO
  AFISA MICHEZO DARAJA LA II
  1. DEOGRATIUS Z. MDEMU
  AFISA UGAVI
  DARAJA LA II
  1. CANISIA EMMANUEL MLOWE
  2. ANDREA S. MWANGU
  26
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  94.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA UKEREWE
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. KATWE S. KISESA
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. EDWIN RWEGOSHORA
  95.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA
  AFISA ARDHI DARAJA LA DARAJA LA II
  1. SETH EZEKIEL
  96.
  MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. MUSHI PRISCUS
  MTHAMINI
  1. BUHUMBA LUTEJA
  97.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA
  MTHAMINI DARAJA LA DARAJA LA II
  1. CHARLES JACKSON
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. REVINA KAYANDA
  MHANDISI (MAJI) DARAJA LA II
  1. NESTO A. LWINGA
  98.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO
  MCHUMI DARAJA LA II
  1. CHARLES B. MSIMA
  AFISA BIASHARA DARAJA LA II
  1. SAID SUBIRA KIHARA
  AFIS ASHERIA DARAJA LA II
  1. DAUD MAGACHA
  AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II
  1. TITO MAGESA LULANDALA
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. JANETH WILBART
  2. NDELE MLENDA MWAPAMBA
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. MUSSA M. DANIEL
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. STANLEY NURU
  AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. LILIAN YUDA MGALLA
  2. FABIAN FAUSTINE
  27
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II
  1. DORICE N. HUNGU
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. RIMIA ATHUMAN RAMADHANI
  MHANDISI DARAJA LA II (UJENZI)
  1. CHACHA PATRICK
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  1. JUMA T. KINGOLA
  2. MAJOTO NGANDO
  3. GERVAS B. MYOVELA
  MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II
  1. UPENDO A. MINJA
  2. PASAKA DORA SAMWEL
  AFISA NYUKI DARAJA LA II
  1. MWORIA OPTATO
  99.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA
  AFISA SHERIA DARAJA LA II
  1. DELPHINA GABRIEL MUOGO
  100.
  MKURUGENZI
  MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU
  MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II
  1. CHRISTINA JAIRO
  2. MARIAM KAYOMBO
  3. ZUHURA A. RAMADHANI
  MHASIBU DARAJA LA II
  1. MATOKEO AYOUB
  2. MSHAMU NGWEMBANO
  MSAIDIZI WA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II
  1. AIDA SEBUYOYA
  2. MWAIDI PENIEL
  MHASIBU MSAIDIZI
  1. NURU MAULID SIGELA
  AFISA UGAVI DARAJA LA II
  1. JANETH WILBERT
  AFISA UGAVI MSAIDIZI
  1. ALEX MARCO MREMA
  AFISA ARDHI DARAJA LA II
  1. DANIEL NYAKIHA
  FUNDI SANIFU DARAJA LA II - UJENZI
  1. MSOLA MASOLWA
  28
  NA.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  AFISA USHIRIKA DARAJA LA II
  1. ERASTO MSAYA
  2. GEOGRE NOAH BISANU
  101.
  MKURUGENZI MTENDAJI (W)
  HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO
  AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
  1. CHARLES GODFREY
  AFISA USAFIRI DARAJA LA II
  1. FRIDAY G. MWASEBA
  MSAIDIZI WA HESABU
  1. GABRIEL SHOO
  2. MWANTITI M. AHMED
  AFISA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II
  1. FRANK MORICE
  X. M. DAUDI
  KATIBU
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 24. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #24
  Jan 5, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hisani ya Muarubaini tafadhali nenda net kaangalie maana faili ni kubwa sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 25. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #25
  Jan 5, 2013
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanx a lot MKATA KIU hapa ni kupiga kazi tu no ufisad, ofkoz nimebak tauni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 26. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #26
  Jan 5, 2013
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 12,569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 38
  Xavery daudi kazi itamshinda ile muda si mrefu
   
 27. i

  izezele New Member

  #27
  Jan 5, 2013
  Joined: Jan 2, 2013
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je jamani kunayeyote ameitwa kazini bot nafasi za control room?
   
 28. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #28
  Jan 5, 2013
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 12,569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 38
  KUMBE CIELO JINA LAKE NDIO KATWE KISESA??
  lol,hongera sana
   
 29. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #29
  Jan 5, 2013
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  namimi nimo sijui ntaaga vip huku nifanyako kazi...............................
   
 30. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #30
  Jan 5, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016

Share This Page