Sasa huyo kocha gani anategemea wachezaji wazuri tuu,akiwa na matutusa kama wa Man u hawezi kubeba ubingwa!
Mkuu huyu jamaa naona anaendeleza mapinduzi katika mpira huko ulaya. Mengi tutayaona. Baada ya Inter Milan sasa anategemea kwenda kwenye 'mission impossible' huko LA LIGA!
Sasa huyo kocha gani anategemea wachezaji wazuri tuu,akiwa na matutusa kama wa Man u hawezi kubeba ubingwa!
Ila soka ya Mourinho haieendani kabisa na Madrid, i cant imagine C. Ronaldo awe busy kukaba.
Ila soka ya Mourinho haieendani kabisa na Madrid, i cant imagine C. Ronaldo awe busy kukaba.
Juzi juzi aliulizwa kuhusu hii tactic ya kukaba - akasema "Kama nilicheza mchezo wa kukaba mbona First Leg niliwafunga timu bingwa( Barca) 3-1, nilifikaje langoni kwao mara 3 na kuscore? na nikakosa takribani mabao 3 hivi?aahahah, kazi ipo hapo, kwa mifumo ya uchezaji ya Jose Ronaldo hana option zaidi ya kujifunza kukaba. Ila sasa itabidi Madrid wasahau entertaining football kipindi chote ambacho Jose atakuwa nao. Pia nakumbuka Fabio Capello aliwapa madrid ubingwa still akapoteza kazi Real Madrid kutokana na staili ya mpira aliokuwa akifundisha. Labda ni changamoto kwa Jose kuacha mfumo wake wa kuegesha basi golini.
ElNINO umenifurahisha sana kwa posting yako. SPECIAL ONE anaweza kuitengeneza hata TAIFA STARS