Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Sasa huyo kocha gani anategemea wachezaji wazuri tuu,akiwa na matutusa kama wa Man u hawezi kubeba ubingwa!
 
kwani milito ulikuwa unamjua kabla au alikuwa na jina kubwa?kina deco,calvarho,haki ya nani utakuwa asenooo,mana wengi wenu mnamchukia mou mafanikio yake :becky:
 
Mkuu huyu jamaa naona anaendeleza mapinduzi katika mpira huko ulaya. Mengi tutayaona. Baada ya Inter Milan sasa anategemea kwenda kwenye 'mission impossible' huko LA LIGA!
 
Let me start by stating categorically that I have not supported any of the teams to have been coached by this magnificent character.. I have always been on the other side of the battle with the "Special One". However I have started to like him as a person and a model.

The "Special One", currently a contracted coach of Inter is speaking to press about the future with Real Madrid, who also have a coach under contract and have not suggested that his contract will be terminated.

It is not that I am saying his style is the best but what I admire about it is his Self-Confidence, with that confidence success is guaranteed. He makes his opponents tremble in his wake, and he insipires such berief in his troops it is impossible not to succeed, temporary failures can be expected but in the end there will always be success.

Mourinho is a winner, well done
 
JOSE MOURINHO said goodbye to Inter Milan yesterday after a three-hour dinner with president Massimo Moratti.


Kwa wapenzi wa Soka la ulaya watakubaliana na mimi asilimia mia moja kwamba Jose ni kocha mwenye kipaji cha pekee, ni kocha ambaye ana kila mbinu za ushindi ndani ya miaka 10 iliyopita ajizolea misifa kibao, Ureno, Uingeleza, Italy na sasa anaelekea Uhispania kuprove worthy yake.

Baada ya kupata mafanikio na kikosi cha Porto ambacho hakikuwa na mastaa wengi - hakusita kuwaaga na kutafuta challenge mpya - ndipo akatua darajani kuikuta club ya chelsea na kuipa mafanikio makubwa sana.

Nia ya Jose ilikuwa aendelee kufundisha chelsea hadi kufikia mafanikio ya juu zaidi yaani kuipa UEFA cup - mbio hizi zilishindikana baada ya kutoelewana na Mmiliki wa club namna ya uchezaji na mbinu zake.

Jose anashutumiwa kutosheza mpira wa kuvutia ingawa yeye amekuwa akikanusha jambo hili.

Anakwenda Madrid kwa nia ya kuifufua timu hii ili irudi kwenye ulimwengu wa soka - wapenzi wa soka mtakuwa mnakumbuka jinsi Madrid ilivyokuwa enzi za akina Zizu na akina Claude Makalele- Swali Je Jose ataweza kuirudisha hadi hapo ilipokuwa nyakati hizo?

Kuna mastaa wengi tu atakuwakuta hapo, C. Ronaldo, Allonso, Rahul, Kaka na wengineo - nachomsifia Jose ni kwamba anajua to get quality out of players yaani kocha mwingine hawezi kujua jinsi ya kumtumia kaka na C Ronald kuweka combination nzuri - lakini Jose huyu ana kipaji hicho.

Namtakia Mafanikio mema Jose hapo maadrid lakini akumbuke kwamba kila timu inajizatiti vilivyo msimu ujao, Chelsea, Man U, Liver, Arsenal, Inter milan, Inter na Barca hawatakubali kirahisi madrid awe mfalme wa soka kirahisi tu eti Jose kaenda kule.

Sisi wapenzi wa soka tunaomba msimu ufike mapema ili tuanze kuona tena new challenge ya Jose " The Special One" kocha bora wa dunia kama anavyojiita kwa sasa - akitangaza mafanikio mengine huko uhispania.



Read more: Jose Mourinho says goodbye to Inter Milan | The Sun |Sport|Football
 
Ila soka ya Mourinho haieendani kabisa na Madrid, i cant imagine C. Ronaldo awe busy kukaba.
 
Jose plays football to win na kwenye tornaments what matters most is the trophy of which this year he has three. Ni habari njema kwa mashabiki wa Madrid. Ni kocha mzuri hata kama analaumiwa kwa kufundisha nchezo wa jihad na si ule wa kupaka rangi. Santiago kutabanana dunia nzima.
 
Ila soka ya Mourinho haieendani kabisa na Madrid, i cant imagine C. Ronaldo awe busy kukaba.


aahahah, kazi ipo hapo, kwa mifumo ya uchezaji ya Jose Ronaldo hana option zaidi ya kujifunza kukaba. Ila sasa itabidi Madrid wasahau entertaining football kipindi chote ambacho Jose atakuwa nao. Pia nakumbuka Fabio Capello aliwapa madrid ubingwa still akapoteza kazi Real Madrid kutokana na staili ya mpira aliokuwa akifundisha. Labda ni changamoto kwa Jose kuacha mfumo wake wa kuegesha basi golini.
 
Ila soka ya Mourinho haieendani kabisa na Madrid, i cant imagine C. Ronaldo awe busy kukaba.

Umenifurahisha sana kaka, ni kweli - angalia Smweli Etto alivyochezeswa pale Inter, hili ndiyo tatizo la Jose, ingawa yeye analipinga kabisa kabisa, kuna kipindi akiwa Chelsea alichamuwakia John Cole na kumwambia if you can't defend - do don't have chance in my first 11.
 
Nampa msimu mmoja atatimuliwa, madrid sio klabu nzuri kwa makocha, capelo alichukua kombe na kazi atatimuliwa, jose angeenda chalse
 
aahahah, kazi ipo hapo, kwa mifumo ya uchezaji ya Jose Ronaldo hana option zaidi ya kujifunza kukaba. Ila sasa itabidi Madrid wasahau entertaining football kipindi chote ambacho Jose atakuwa nao. Pia nakumbuka Fabio Capello aliwapa madrid ubingwa still akapoteza kazi Real Madrid kutokana na staili ya mpira aliokuwa akifundisha. Labda ni changamoto kwa Jose kuacha mfumo wake wa kuegesha basi golini.
Juzi juzi aliulizwa kuhusu hii tactic ya kukaba - akasema "Kama nilicheza mchezo wa kukaba mbona First Leg niliwafunga timu bingwa( Barca) 3-1, nilifikaje langoni kwao mara 3 na kuscore? na nikakosa takribani mabao 3 hivi?
Na je mlitegemea nicheze formation gani 2 leg wakati mchezaji wangu kiungo wa kutumainiwa ametolewa dk ya 30 tu ya mchezo? kama nimeweza kucheza defensive game dk 60 tukiwa pungufu tena mbele ya timu bora inayocheza attacking football basi nasitahili sifa kubwa - sisi ni timu ya kwanza kuwaonyesha barca na dunia nzima kwamba its not only attacking football but also defensive football". Jamaa ana kichwa kigumu na majibu ya fasta ya kuchekesha na kuudhi kwa wengine.
 
ElNINO umenifurahisha sana kwa posting yako. SPECIAL ONE anaweza kuitengeneza hata TAIFA STARS

Safi mkuu inawezekana ila tatizo mshikaji anapenda mshiko mnene - Ila cha muhimu na sisi tukubali kwamba Ngassa, Tegete na Mgosi wawe wakabaji.
 
The special one ametusaidia kuona kuwa football is not only attacking but also defending...huwezi kushinda kama huwezi kuzuia kufungwa...na hicho ndicho aliwafanyia Barca....Mourinho anataka 100% total football katika defending kitu ambacho CR kitamsumbua bse of his arrogance tofauti na Etoo..

Nimependa comment ya Jose pale aliposema Inter should make sure that they keep Zanetti na Etoo..

Tusubiri tuone....
 


...ni kilio tu!
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona mapinduzi yenyewe ni kwamba, sasa timu huenda zikawa zinanunua makocha na kuwalipa hela nyingi kuliko wachezaji. Kwa sababu anataka kuonyesha kuwa kwa kuwa na kocha mzuri, uwezekano wa kushinda vikombe unakuwa mkubwa. Si makocha kama Arsene wenger anayepima mafanikio yake kwa kutazama balance sheet ya club!
 
Back
Top Bottom