Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,421
- 2,889
Maisha yangu yachuo vitini vyangu vinahesabika haijawahi zidi elf kumi Hadi namaliza chuoHela ya stationery na Copy haizidi laki 2, unapewa mara moja kwa mwaka.
Sasa nashangaa nyie mnatoa copy unajaza madude yasio na kazi,kwani huwezi summerize?