Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

Kwa tuhuma hizi nzito nilitarajia kusikia watu fulani wamesimamishwa au teuzi zao zimetenguliwa ila cha ajabu bado wako ofisini alafu tunaambiwa tumempata Sokoine!!!

Salary Slip mbona unaongea kama umeachishwa kunyonya jana? CAG ameliibua, kamati ya Bunge inafuatilia ukweli wake kufahamu mkataba unasema nini hasa, nini kimekosewa nini kimepatiwa na nani wahusika. Sasa wewe mbona unataka kuvuka mto kabla haujaufikia. Punguza ashki za chuki na subiri kila mamlaka ifanye kazi yake, huo ndio uawala wa sheria, huwezi kuingilia jambo linaloshughulikiwa na Bunge. Bunge litatoa mapendekezo kama ilivyofanyika kwa Richmond na Escrow. Kama tunataka tukosoe kwa weledi basi angalau tuzifahamu taratibu zinasemaje na tusitake yatokee yanayotokana na ashki zetu.
 
achen blah blah nyinyi wafa maji. Mmeshikwa pabaya
 
Hii kampuni juzi kuna sehemu nilipita,nilikuta watu wanaidiscuss,aisee jamaa hawana pa kutokea na mwenye kampuni inasemekana ana pesa chafu alizopiga kupitia lugumi.watu wanamjua nje ndani,sema tusubiri tuone maana raisi kakabidi bunge lifanye yake
 
Kwa tuhuma hizi nzito nilitarajia kusikia watu fulani wamesimamishwa au teuzi zao zimetenguliwa ila cha ajabu bado wako ofisini alafu tunaambiwa tumempata Sokoine!!!
JPM and his company hawakurupuki, issue bado ipo kwa Kamati ya Bunge, and kwa taarifa yako huwa anachunguza kwanza kabla ya kuamua, give him time.
 
Hivi kunamwana ccm asiye tapeli wa kisiasa tulijuwa ikulu haina meno baada ya mlinda meta za kupia mafuta kumtaja mhongo lakini waziri mkuu na magufuli wote wakakauka ugomvi wa nguoni kati ya Ras na mkuu wa mkoa wa Mwanza akafukuzwa Ras halafu kumpa ukuu wa mkoa makonda mwenye rekodi ya kupiga viongozi wa nchi baada ya hapo unajuwa tu wote ni wale wale hili la lugumi escrow MV Dar inaonyesha ikulu inatumbuwa majipu ya wale wasoendana naye Mungu mwema wizara ya msiri wake Kitwanga inakaidi bunge kanyamaza
 
JPM and his company hawakurupuki, issue bado ipo kwa Kamati ya Bunge, and kwa taarifa yako huwa anachunguza kwanza kabla ya kuamua, give him time.

Taarifa ya CAG bungeni 2016 ilisema kuwa pana ubadhirifu mkubwa sana wizara ya ujenzi, je waziri wake alikuwa nani? Meli ya samaki waziri gani aliikamata? na baada ya hapo serikali ilipa fidia baada ya kushindwa kesi. Hv ni nani asojuma utajiri wa JOHN! Ndo mana imeandikwa kwanza boriti jichoni mwako harafu kibanzi kwa mwenzio pia Mungu hamfichi mnaki na bado madudu mengi ya jamaa.
 
.. na uuzwaji wa nyumba za serikali ulisimamiwa na nani??? Ha ha ha! CCM ni ile ile.....
 
Vua miwani ya mbao uone, mana mwenyezi Mungu hamfichi mnafiki
Hapo hakuna hata miwani ya mbao, Magufuli and his team siyo watu wa kubadiri gia angani, anafanya kazi kwa data, the matter still on Bunge's, naamini na yeye anachunguza - give him time.
 
Huna hoja, unakimbilia ku personalize issues, mi naongelea kuzifahamu taratibu kama hazieleweki kwako itakuwa vigumu kukusaidia. Unajidai 'nyinyi nyinyi' kama vile tunafahamiana. Jibu hoja acha vituko kama kweli kichwani uko timamu
wewee ishu ni LUGUMI tuu haponi mtu hapa. Period!!
 
Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatika malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.

Tumeaminishwa haangali sura,hana chama,anasimamia haki,hamuogopi mtu, n.k na zaidi tumuombe kwa mungu.

Hata hivyo,limeibuka jambo ambalo litawasaidi wengi kama si wote kujua ukweli halisi kuhusu mtu huyu na kama kweli anafanya mambo yanayostahili yeye kuombewa.

Mungu aliona asisubiri sana maana watu wake wanazidi kupotea.

NB: Kupitia mungu huyo huyo,vice versa is also true.

Tusubiri.

Unaweza tueleza hapa huo mkataba ulisainiwa lini? je unfahamu uchunguzi unaoendelea umefikia wapi?

Unalinganisha la mama Kilango unasahau mama Kilango JPM kabla ya kuchukua hatua alituma vijana wake kuthibitisha juu ya ukweli wa kutokuwepo kwa watumishi hewa? au unajifanya hufuatilii kwa kina maeneo yote aliyochukua hatua alifanya hivyo baada ya kujiridhisha na taarifa za kiuchunguzi?

Kama unabisha kwanini husemi kuhusu Dr DAU pamoja na tuhuma zote kwanini hajafikishwa mahakamani?

Jiongeze sana kabla ya kuleta hoja. TATIZO NI CHUKI ZAKO DHIDI YA JPM hilo liko wazi tu wala haishangazwi

Ndio nyie mnaoponda hatua zinazochukiwa za kuwawajibisha watendaji wa serikali wanaotumia vibaya ofisi zao

Lakini haishangazi kwani AGENDA zenu zishajulikana vizuri

Jipangeni upya
 
Back
Top Bottom