Kuhusu posho za polisi Tanzania

huo mshahara kila mwezi,baada ya makato askari polisi anachukua kama laki na 140 hivi.posho mpaka makusanyo yatimie.
Mkuu si Kuna posho zile lak 3 kwa mwez na vinywaj ila Kuna jamaa anasem Mara haziingizw hiv ni kwelo?
 
laana kweli kweli sio masihara.
wewe fikiria mtu kama mroto na mikwara ile eti anapokea laki 7 kweli jaman!!!
Na bado wanaipambania CCM ibaki madarakani ambayo imekataa kuwaongezea mishahara

Naanza kuelewa kwa nini CCM inawaajiri waliofeli form 4 kuwa mapolisi
 
Back
Top Bottom