Kuhusu PayPal

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
394
162
Naomba yeyote anayetumia huduma ya kifedha ya PayPal anipe ABCs kuhusu huduma hiyo ili na mimi nijiunge nayo. Je ni salama?!! Hawawezi kudraw - kuiba pesa zangu - zote?!! And much more what does it take to join or start using the service?!!

Thanks!!


"...even a fool is regarded wise when he keeps silence"
 
Hii topic imeshajadiliwa...jaribu kufanya searching kwenye serarch box. Type paypal and then search.
 
Paypal kaka!!! mimi naitumia sana hiyo nikiwa nanunua vitu online, kama vile e-bay au sehemu zingine nyingi tu! Hiyo sio kitu ya kuwa na wasiwasi nayo bali ni system inayokulinda wewe kama mteja na muuzaji once registered!! Hii inasaidia secure kwamba unapolipia kitu online muuzaji anapewa taarifa kwamba umelipa atume mzigo, kwasababu wengi hawatumi mzigo kama hujalipia kwa sababu hujui nani anaagiza na kama utakamata mshiko kweli ama la!na unapolipa pesa zinakuwa zinavutwa kutoka account yako na kuwa on standby for a seller to recieve, the same for you unalipia lakini hujui nani unamlipa inaweza kuwa mbinde hapo katikati kama mzigo haujatumwa. kwa hiyo inakulinda kwa mtindo huo ukipokea mzigo unasaini ukienda kuuchukua na hapo muuzaji anavuta chake through paypal.! wonderfull system!! i hope nimekuelimisha angalau kidogo.
 
I am a great user of Paypal. I can recommend it to anybody. Nanunua sana vitu kutoka ebay kwa kutumia Paypal ila sijuhi hukiwa bongo inakuwaje.
 
Kama ni mnunuzi tuu, usiwe na shaka huweziibiwa pesa yako chakufanya kabla ya kununua/kutuma pesa hakikisha kuna https://www.paypal.com kwenye browser.

Hapa nitazungumzia wauzaji wasio waaminifu.
Kama utanunua tangible/physical products na haukuupata mzigo wako basi unaweza pata refund kwasababu paypal watamuuliza muuzaji, risiti ya kutuma mzigo kama hata weza kuonyesha baada ya muda fulani Paypal wata-reverse transaction. Lakini kama utanunua intangible (digital product - software) ambayo inatumwa online paypal hawana policy yeyote kwa hiyo uwe makini unapotaka kununua digital product, hapa hata ukilalamika Paypal huwa wanakaa upande wa muuzaji. Wakati ni mwingine ni bora kutumia credit card kwababu unaweza kufanya charge back na hasa kama transaction ni kubwa ($1000).
 
Back
Top Bottom