zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,832
- 8,623
Kuhudhuria Misiba, Mazishi, vipaimaira, Harusi, Ngoma, Majando, Kutembelea wagonjwa na mambo yasiyo na tija Mkwe.re anayapenda sana.
nasikia alishawahi kualikwa kwenye kitchen part watu wakamshtua kuwa wanaume hawaendi huko, looh!