Avatar yako inanikumbusha zama zile, jamaa alipoingia tu magogoni na kumteua jamaa yake kuwa PM, watu wa magazeti walipomwita jamaa na Edward kuwa "boys to men". Basi akafanya juu chini akapiga picha na waimbaji wa Boyz II Men. I do read alot from that picture.dU! INASIKITISHA
Maskini Mwakyembe 2nakuombea
Watashindwa wote kwa jina la yesu
Dr Slaa wasahau walijaribu wakashindwa hatataweza tena,makanisa yote yako mbele yake wamalizen wakristo ndo muende kwa x padri we2
Hv unajua cheo cha padri na mafunzo wanayopata co hvyo iz ufikirivo
HATUTISHIKI
MUNGU YU MBELE YA DR SLAA,MWAKYEMBE,MEMBE,MWANDOSYA,NA KILANGO AFU ZEY A OL CHRISTIAN
DAMU YA YESU ILIYOMWAGIKA MSALABAN ITAWAONGOZA
Na pepo la kuwaua litashinda kwa jina la Yesu
Glory b 2ze father,n 2ze son n 2ze holy spirity
B blecd.
Mkuu yale aliyoyaacha ndiyo yali save JK'S skin.Angeyaweka yote wazi,basi JK angekuwa directly implicated...Someone had to go,he allied himself with the president...Ndo wakam scapegoat EL.Mwakyembe ni Mnafiki na malaya wa kisiasa, hana tofauti na Samwel Sita!
Ha ha ha!Sheick Yahya wa JF bado yuko hai?Ama ni yule yule anazungumza from the grave?Maana naona huyu anafuatilia mambo ya vitandani zaidi teh teh teh teh!Kwanza Padre Slaa atubie kwa kuvunja amri ya kuoa na kuiba mke wa mtu...tena hatujasikia harusi na yule bi mkubwa tayari ni mja mzito...duuh!
alamsiki kaka, kilichokufanya ukaficha madudu ya serikali wakati unailipua richmond ndo matokeo yake haya kumbuka wenzio walisema 'hatukukutana barabarani' we kaa na uzalendo wako wa kinafki na huo ndio mshahara wake, alamsiki mkuu mie nawahi zangu sokoni kupeleka ndizi zangu....
Mimi nashangazwa lakini,kama hawa watu walikuja na wakaenda kwa mganga huko Selous,Mwakyembe yeye alitaka apewe ulinzi wa aina gani?Nataka tu tuwekana sawa humu jamani.Ama alitaka apewe ulinzi wenye nguvu kubwa zaidi ya za huyo mganga?Maana sijapata picha halisi ya ulinzi aliouomba Mwakyembe based on the nature of the threats.Kutokana na maelezo haya ambayo ni ya muda kidogo, Mwakyembe alichoomba hakupata ulinzi na uchunguzi wa kina kuhusu njama hizi!!!hata hayo yanayomkuta kwa sasa ni njama za kummaliza tu maskini. Tz sijui tunaelekea siasa chafu kama hizi ufisadi wa hali ya juu wanasahau kuwa hawataishi milele na wakifa hizo mali na mipesa na majumba and all the might that they have hawatazikwa navyo wataenda kama walivyozaliwa...Pole Mwakyembe Mungu akujalie afya urudi nyumbani ukiwa umepona tuendeleze vita vya mageuzi
Mimi nashangazwa lakini,kama hawa watu walikuja na wakaenda kwa mganga huko Selous,Mwakyembe yeye alitaka apewe ulinzi wa aina gani?Nataka tu tuwekana sawa humu jamani.Ama alitaka apewe ulinzi wenye nguvu kubwa zaidi ya za huyo mganga?Maana sijapata picha halisi ya ulinzi aliouomba Mwakyembe based on the nature of the threats.
mkuu sio ngumu kuisoma wewe ndo mvivu wa kusoma.ina tatizo gani.?mbona inasomeka vizuri.?kama unaona ngumu kuisoma just itengenezee paragraph mwenye.alafu unasema eti "hii inakua ngumu sana kuisoma mpaka mwisho"ndo nyie mnakuja kukurupuka na kuandika upupu simply because hamjasoma mpaka mwisho kwa ajili ya uvivu wenu.mkuu tulia read btn the line,huku ukitafakari unachosoma sio kwenda kwenda tu ka bendera.kama ukipoteza the meaning the word above while unasoma at the end of the story hutaelewa .any way unawakilisha watanzania wengine ambao ni wavivu kusoma hata walichoandikiwa.
Ha ha ha!Sheick Yahya wa JF bado yuko hai?Ama ni yule yule anazungumza from the grave?Maana naona huyu anafuatilia mambo ya vitandani zaidi teh teh teh teh!
ahahahahaha! dah! shekhe!Nimeona huyu Mwa Kiwembe amenitaja sana! hivyo nimeamua nitoke live.:lol:
Mkuu yale aliyoyaacha ndiyo yali save JK'S skin.Angeyaweka yote wazi,basi JK angekuwa directly implicated...Someone had to go,he allied himself with the president...Ndo wakam scapegoat EL.Mnataka kusema nje ya ile ripoti kuna lililoachwa?
Mkuu hapo kwenye bold ndilo tatizo letu kubwa sisi miafrika!Tunataka tuona manufaa ya yale tunayoyapigania right here right now!Hivi kweli ni lazima upate sapoti kubwa unaposimamia ukweli?Na hiyo mentality ni mbaya.Wenzetu hapo ndipo walipoztuzidi.Kwasababu wanaplay part yao huku wakiweka maanani vizazi vijavyo.Wanajuwa someone will take over.Hatakama siyo right here right now.Mkuu, mimi naamini tatizo ni lako wewe na Watanzania walio wengi sana ambao wanaamini kuwa wajibu wa kuanzisha na kumalizia kampeni dhidi ya ufisadi nchini ni wa akina Mwakyembe, Sitta, Slaa n.k. ila sisi wengine tubaki tukipenyeza hoja za kejeli na vijembe vya rejareja kwenye JF.
Walipotufikisha akina Mwakyembe kwa ujasiri mkubwa sana katika mapambano haya, panatosha sana na sisi tuendeleze kwa ujasiri uleule. Ni haohao akina Sitta, Mwakyembe ambao wameonyesha ujasiri wa hali ya juu kukataa malipo kwa Dowans pamoja na kwamba wako serikalini na suala hilo likabadilika mwelekeo!
Mimi naamini leo hii akina Dk. Mwakyembe wakiulizwa ni nini walikiweka kiporo katika suala la Richmond/Dowans, nina uhakika wanaume hao wataweka hadharani. Naamini hawaoni haja kufanya hivyo kwa kuwa hatuko serious; hatuko focussed na hatuna msukumo wa dhati wa kulimalizia suala hilo!
Nakumbuka mwaka jana, mwanafunzi wa sheria wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alinieleza kuwa walikuwa na Dk. Mwakyembe kwenye mhadhara maalumu wa somo la Katiba ambapo Dk. Mwakyembe aliwaelezea wanafunzi sababu zilizomfanya yeye na wenzake akina Selelii wasiseme yote.
Alisema Watanzania kwa ujumla wao ni watu waoga sana ambao kujitoa kwao kwa mapambano yoyote yale ni kwa bahati nasibu nasibu hivi. Ni rahisi sana kukuacha peke yako kwenye mataa halafu nwakakufuatilia kwa umakini kupitia MwanaHalisi au Raia Mwema! Hivyo Dk. Mwakyembe akasema mpambanaji yeyote makini lazima ajiwekee bima mwenyewe; ajitengenezee ulinzi wake mwenyewe ili mambo yakimgeukia na Watanzania wote wameangalia kwingine, ajinusuru kwa kuliweka lililobaki hadharani!
Hebu Human Rights Centre, Vyuo Vikuu, Vyama vya Wanasheria n.k. waiteni akina Mwakyembe watufafanulie haya! Msiseme watakataa, waliwahi kukataa lini? Mipango ya kuwaua hawa jamaa ipo kwa kuwa wanabeba siri nzito. Badala ya kuwa-engage intellectually, tunawakejeli huku tumevaa kanga kiunoni! Acheni vimbwanga hivyo jamani, havitufai watu wazima!