CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,920
Wakuu nilikuwa na mpango wa Kuagiza mashine kutoka China na nisha pata hadi Proformal Invoice, Ila baada ya kuwasiliana na Ma agent walinipigia ghalama za kufa mtu ikiwemo kodi, Ikabidi nifuatilie TRA makao mamkuu, na wlicho nijibu ni kwamba hazilipiwi Kodi, so kumbe ni usanii wa Ma agent kutaka cha juu, so kuweni makini sana na ma agent wa Bongo wizi mwingi sana