Kuhusu hotuba ya Raisi wa JMT

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Mk.wer.e anahutubia taifa kama anaongea na wanawe au familia yake,it is disgusting!, sijui kama wenzangu mnamuelewa!
 
Anasema serikali ni mmoja kati ya watuhumiwa kati ya orodha ya watuhumiwa katika jaribio la kumuua ulimboka.
Sasa ni je nani mwingine ambaye katuhumiwa?
 
Mkuu ukweli huwa haufichiki kamwe!!? anajua jinsi wa Tz walivyolichukulia hili! shame on him
 
Simwelewi nona kama hajiamin anachoongea,. Atwambie huyo mtu wa ikulu ni nani?
 
Hataweza kuongea sana,dhambi ya uuaji inammaliza
 
Nilitegemea akanushe kuwa yeye ni dhaifu hakukanusha, kwa hiyo anajikubali kuwa ni dhaifu
 
Eti anasema kama kuna mtu wa serikali amehusika kumtendea hivyo Dr. Ulimboka basi yeye hakumtuma na atakuwa amefanya hivyo kwa maslahi yake binafsi.
 
Mk.wer.e anahutubia taifa kama anaongea na wanawe au familia yake,it is disgusting!, sijui kama wenzangu mnamuelewa!

Kinachonishangaza ni kuongelea kwa kirefu juu ya suala la mgomo wa madaktari ambalo liko mahakani.Au yeye ndiyo mahakama kama sikosei hata wabunge wamekuwa wakikatazwa kulizungumzia hilo!
 
imekula kwenu..jk si dhaifu.. kasha waambia kama mmeshindwa fanya kazi serikali muache kazi nende kwa mwajiri mwingine anayeweza walipa salary m3.5.... . na kaongea kwa kujiamini kwa sababu hamna sehemu ya kukimbilia ninyi ...yani mnatutumia si wagonjwa maskini tufe kwa migome yenu ili mpate madai yenu.. big up jkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
 
Ametosha vizuri kwenye kiti chake ingawa hakikuwepo,kwani hata pilato aliwaambia wayahudi...............
............kisha akanawa mikono yake.
 
Kinachonishangaza ni kuongelea kwa kirefu juu ya suala la mgomo wa madaktari ambalo liko mahakani.Au yeye ndiyo mahakama kama sikosei hata wabunge wamekuwa wakikatazwa kulizungumzia hilo!

Rais wa bwaga moyo na vitongoji vyake, TZ haiwezi
 
Anasema serikali ni mmoja kati ya watuhumiwa kati ya orodha ya watuhumiwa katika jaribio la kumuua ulimboka.
Sasa ni je nani mwingine ambaye katuhumiwa?
Mwingine atakuwa ni serikali, pili ni wale wafuasi wake, tatu wanaojipendekeza kwa serikali, nne, wanaomlindia heshima... duuh!!
 
Kinachonishangaza ni kuongelea kwa kirefu juu ya suala la mgomo wa madaktari ambalo liko mahakani.Au yeye ndiyo mahakama kama sikosei hata wabunge wamekuwa wakikatazwa kulizungumzia hilo!

sijui kwanini mahakama haijalalamika kwa serikali(mlalamikaji) kuendelea kutotii hukumu ya mahakama. BTW؛‎ nadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi wa nchi kuomba radhi
 
Acheni uongo nani hajamuelewa kasema sh 7.7m halipwi Dr
Ndio mwajiri, lazima aabgalie watumishi wote, mipaka yetu ipo hatarini Kenya mabomu Kanisani je kuna Dr au Mwanaharakati au Mbunge atazuia TNT kwa sindano au Bango la barabarani?
Haya
 
kwani kuna TNT inayoweza kutibu TB???magamba bwana......
 
Back
Top Bottom