Wakuu,
Nasikitika kutangaza kufungwa kwa Jukwaa la Dini.
Malalamiko dhidi ya jukwaa hili yamekuwa mengi na moderators hawataweza kuvumilia kero zinazotokana na malalamiko haya.
Ukweli ni kwamba malalamiko yote yako sahihi na pia LILIKUWA NA MATATIZO ambayo dawa yake ni kulipitia upya na kuchukua hatua muhimu kwa manufaa ya wote wanaolitumia.
Izingatiwe kuwa, sheria zitazingatiwa katika kulipitia upya na lugha yoyote itakayoonekana kuwa CHAFU ama kejeli zisizo za lazima zitafutiliwa mbali na wahusika watafahamishwa.
Baada ya kulipitia jukwaa hili, litakuwa public na litakuwa chini ya uangalizi wangu na moderators wengine wawili wapya watakaotambulishwa kwenu.
Nasikitika kwa usumbufu utakaojitokeza kwa YEYOTE. Ni hatua ambayo kwa sasa haikwepeki na ni LAZIMA iwe ilivyo sasa.
Ahsanteni

Maoni na maombi yangu kwako ni kuwa uheshimu maoni na matokeo ya kura hizo, vinginevyo useme kuwa kura nyingi zilipendekeza kuwa ufunge Jukwaa la Dini (ikiwa matokea yalibadilika baada ya mchana wa jana).

Invisible, kwa kweli sidhani kama umetenda haki; hii ni kwa kuwa uliendesha kura ya maoni kuhusu mapendekezo ya kufunga Jukwaa la Dini na hadi jana mchana Wana JF asilimia 60 walipenddkeza kuwa lisifungwe! Sasa unaposema umelifunga, kwa nini basi uliendesha kura kutaka maoni, Je, kwa nini hukuzingatia matokeo/kura kufikia uamuzi wa kulifunga Jukwaa la Dini? Umeshindwa kuheshishimu matokeo ya kura za Wana JF na huo Mkuu, ni Udikteta!Kama umeamua kufuta Jukwaa la Dini basi utakuwa hujatenda haki kuliacha Jukwaa la Mambo ya Kikubwa maana hilo ndilo haribifu sana kwa watu wanaotembelea huko, linashawishi ufanyaji wa ngono kinyume na maadali na hivyo linahusika kwa sehemu na uchocheaji wa ngono na uenezaji wa Ukimwi, na tena kuna picha za watu wanaoingiliana kinyume cha maumbile kitu ambacho ni aibu kubwa na kinachochea uharibifu mkubwa wa maadilia na huenda kwa kuona picha hizo baadhi ya wanaJF wamejiingiza kwenye vitendo hivyo vya aibu!

Labda nirudie kauli hii ambayo niliitoa nadhani mwaka jana.Ukianza kufunga-funga majukwaa ati kwa malalamiko ya watu utajikuta unafunga yote. Wana-JF wanatakiwa wajifunze kuwa kila mtu ana mtizamo tofauti na na kwa hiyo haki kuongelea kitu kwa mtizamo wake. Na ni katika kuruhusu haya ndiyo watu wengi wanafunguka macho na kujua kipi ni kipi. Acha na watu ambao hawawezi kuvumilia ya wenzao, wakitaka yao tu. Hiyo siyo maendeleo hata kidogo.
Labda nirudie kauli hii ambayo niliitoa nadhani mwaka jana.
NDIYO!
Tutafunga kila sehemu itakapobidi... Soon Jukwaa la Siasa nalo litapitiwa post baada ya post kwa ajili ya kurekebisha makosa.
Mkuu, si rahisi kukubaliana hata katika hili.
OMBI: Red/Yellow/grey etc inked fonts zitumike mara chache (inapolazimu tu).
Invisible, kwa kweli sidhani kama umetenda haki; hii ni kwa kuwa uliendesha kura ya maoni kuhusu mapendekezo ya kufunga Jukwaa la Dini na hadi jana mchana Wana JF asilimia 60 walipenddkeza kuwa lisifungwe! Sasa unaposema umelifunga, kwa nini basi uliendesha kura kutaka maoni, Je, kwa nini hukuzingatia matokeo/kura kufikia uamuzi wa kulifunga Jukwaa la Dini? Umeshindwa kuheshishimu matokeo ya kura za Wana JF na huo Mkuu, ni Udikteta!Kama umeamua kufuta Jukwaa la Dini basi utakuwa hujatenda haki kuliacha Jukwaa la Mambo ya Kikubwa maana hilo ndilo haribifu sana kwa watu wanaotembelea huko, linashawishi ufanyaji wa ngono kinyume na maadali na hivyo linahusika kwa sehemu na uchocheaji wa ngono na uenezaji wa Ukimwi, na tena kuna picha za watu wanaoingiliana kinyume cha maumbile kitu ambacho ni aibu kubwa na kinachochea uharibifu mkubwa wa maadilia na huenda kwa kuona picha hizo baadhi ya wanaJF wamejiingiza kwenye vitendo hivyo vya aibu!
Maoni na maombi yangu kwako ni kuwa uheshimu maoni na matokeo ya kura hizo, vinginevyo useme kuwa kura nyingi zilipendekeza kuwa ufunge Jukwaa la Dini (ikiwa matokea yalibadilika baada ya mchana wa jana).
.Hatuwezi kubadili mtizamo kwa sasa, kinachotakiwa tushirikiane kuhakikisha linaporejea likawa public basi tuheshimu imani za wenzetu na kujadiliana bila kudhalilishana
Mkuu hapa naona umenajisi kabisi Demokrasia!Demokrasia najua imebakwa katika hili :
Mkuu Next Level,Robot usingeitisha kura kwa wadau kabisa au usingeweka choice ile ya kwanza! kwa ubabe huo hujatenda haki kabisa kwa wadau
Mkuu hapa naona umenajisi kabisi Demokrasia!
Vipi MkuluYou can't be serious Mr. Invisible....yaani MaxShimba unamweka kuwa modereta wa jukwaa la dini?
Mkuu Robot yalikuwa ni maoni tu.....usitususie sasa jukwaa hilo, tena mimi binafsi huko huwa napitapita tu.....lkn huwa siweki michango but I like it! We malizia tu kazi ulioianza!Napendekeza wewe na jamaa flani hivi muwe Mods wa jukwaa hilo likirejea, litakuwa public na mweke masharti mnayoona mtaeleweka kuwa hamjainajisi Demokrasia.
Kama nilivyosema kwenye post ya awali, mambo ya dini kila yatakapojadiliwa na watu wa imani tofauti lazima kutokee mhadhara wa kufa mtu, kwa sababu kila mmoja atavutia kwake (kny imani yake)Kuna wakati flani ubabe hutumika kwa manufaa ya wengi... Kuitisha kura kule ni kutekeleza wajibu lakini just imagine ndani ya kura yenyewe ukaingia mhadhara!
Mkuu Robot yalikuwa ni maoni tu.....usitususie sasa jukwaa hilo, tena mimi binafsi huko huwa napitapita tu.....lkn huwa siweki michango but I like it! We malizia tu kazi ulioianza
Halafu nadhani baadae tutaangalia uwezekano wa kuwa na sub-categories ili kuepusha mwingiliano uliojitokeza awali.
Najua kuwa mlikuwa mnafahamu lakini nashukuru kuwa hatimaye mmeamua (mods) kuchukua hatua ambazo zinaonekana kuwa muafaka katika hili. Lakini, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi, hii haitakuwa mara ya kwanza kwa jukwa hili kuwekwa kwenye darubini. Naomba mtakapokuwa mnafanya mapitio, muweke mwele ukweli kuwa suala la dini linagusa imani za watu. Kwa wengine, imani hizi zimejenga kuwa misingi inayoongoza maisha yao - kwao hawa, kujaribu kuchezea imani hizi ni kuchezea maisha yao.
Lakini, mabadiliko yatakayofanyika, na hatimaye jukwaa likawa public, inabidi kutambua kuwa pamoja na 'seriousness' ya baadhi ya watu katika masuala ya dini, bado wapo ambao wanapenda kuleta mizaha (kwa nia njema tu ya kufurahisha jukwaa) lakini kuna mzaha mwingine, unaweza kutafsiriwa vibaya na mtu mwenye msimamo mkali katika masuala ya imani.
Tukumbuke pia kuwa tofauti hizi za imani ni kama lila na fila, kamwe havitengamani. Mungu ni mmoja, lakini kuna njia kadhaa wa kadhaa za kuamini message yake. Tukichukulia kwenye mzizi tu kwua Mungu ni mmoja, tukashindwa kuzingatia njia mbalimbali za kuamini ukweli huo, tutakuwa tunarudi palepale pa kuamini kuwa jukwaa linaweza kuwa daraja la kuunganisha imani tofauti wakati ukweli ni kwua hilo haliwezekani (kwa kutumia medium hii).