Kufungwa afungwe Real Madrid kwanini mashabiki wa Man U wachukie?

Kwani man u na barc wamekutana mara ngapi na matokeo yakoje... Anaejua atujuze, japo mpira wa sasa hivi hautegemei maajabu ya historia

Huu wote ni wivu. Pole vijana wa arsenal, ila kombe linakuja traford baba
 
hilo ni dhihirisho wewe ni mmoja wa wale wenye maumivu.... Kwa mtazamo wangu man ya msimu ulio pita ilikuwa ni nzuri kuliko ya msimu huu, na barc ya msimu uliopita ilikuwa ni nzuri ilamsimu huu imekuwa bora zaidi, sasa je? endapo wakikutana man u wakohoa? tuache ushabiki embu tuutazame ukweli ulipo

Time will tel, si tusibiri tuone then tutajua nani bora.., Man U hatupendi mpira wa kuongea ongea
 
Hah! hah! hah! wenyewe wanajua ukweli ndio maana wamechukia Real kufungwa!

Hatujachukia RM kufungwa, tumechukia michezo michafu wanayofanya, kutafutia watu kadi nyekundu, maana kwa mtindo huu Vids, Scholes n Rafael possible red cards zinawasubiri...!!
 
Hakuna timu inayoweza kuizuia Barca wasichukue kombe. Narudia tena, Hakuna!
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Sasa wewe unaishi kusadikika, hata West ham ingekuwa kama unavyosadiki ingeifunga Barca.

Umeniwahi mkuu. Kama Ngeli za maneno zingekuwa for ril then Hata Tanzania tungekuwa World champion mara kadhaa..!
 
Hatujachukia RM kufungwa, tumechukia michezo michafu wanayofanya, kutafutia watu kadi nyekundu, maana kwa mtindo huu Vids, Scholes n Rafael possible red cards zinawasubiri...!!

kuliko man u??nashanga
 
Hatujachukia RM kufungwa, tumechukia michezo michafu wanayofanya, kutafutia watu kadi nyekundu, maana kwa mtindo huu Vids, Scholes n Rafael possible red cards zinawasubiri...!!
Hivi zile Red Card na Penalty zinazotolewa pale Old Trafford hasa mwishoni mwa misimu huwa ni Michezo michafu mkuu??
 
barca cjui wananini,me nashangaa,mechi ya arsenal walichakachua,ya real madrid wamechakachua,unakumbuka mwaka jana na chelsea, pia walichakachua,ni timu ya UEFA hiyo hawana lolotee!
kama na mechi ya jusi barc walichakachua nahisi ndugu yangu ww si mshabiki wa soka ila ni mfuata mkumbo; kombe la mfalme barc walifungwa na real hawakubwata nashangaa ckuona mshabiki au kiongozi yeyote yule wa barc akim2humu m2. ila kwa hili la real kufungwa mashabiki mmelivyalia njuga kama nn. inakuwaje real wakutwe na makosa matano ilihali barc wakutwe na kosa moja 2. au mnataka barc iwe inafungwa na real kila wanapokutana. 2jifunze kushabikia mpira co kufuata mkumbo. mpira unasheria zake ni lazima zifuatwe co maneno.
 
sheria za mpira ni zile zile ila kama mnahitaji zibadilishwe sawa kwani unapocheza rafu kama ile aliocheza pepe unatarajia kingetokea kitu gani kama alv angelazimisha kupiga mpira ule.
 
nakubaliana na yaliofanyika cku barc ilipocheza na arsen ila ni makosa ya refa hakuwa na sababu ya kumpa va-p kadi kwani alistaili kumuonya na c kadi.nakumbuka niliondoka kwenye ukumbi kwani ladha ya kuendelea kuangalia mpira iliniisha japo nilikua nashabikia barc. natambua machungu ya m2 kupewa kadi nyekundu ukizingatia una tafuta ushindi kwani nami nimecheza mpira.





I'm alwaiys plan 4 worse and hope 4 good
 
co yeye 2 kalishuhudia hilo huku kumetokea na ugomvi kabisa m2 na t-shet yake ya man u kampamia shabiki wa barc alipoulizwa kulikona ww wa man u kukerwa na ya real akaanza kulalamika oooh ita2wia ngumu kuchukua kombe mara barca wanapendelewa.

the best is best nothing can change it.
 
Back
Top Bottom