Kufungwa 8-2 ugenini na bingwa kufungwa 6-1 ipi ni noma zaidi?

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,079
8,219
Jana Serengeti baridi zilikuwa zinashuka taratiiibu huku nikimshuhudia David Sylva akionyesha some worldclass kiwango! Wazee what inauma zaidi kati ya kufungwa 8-2 ugenini tena ukiwa na kikosi cha pili cha watoto na kufungwa 6-1 nyumbani,tena wewe ni bingwa and upo full nondo! Dakika ya 70 watu malianza kuondoka old trafford! MANCHESITA!!!
 
burdaaaaaaaani mpaka basi,
womanche6 walinifurahisha sana jana.
kitu ilikuwa full nondo ikachezea kichapo cha mbwa mwizi.
 
Kufungwa ni kufungwa tu hakuna cha ugenini wala wapi! Kwani ukifungwa ugenini unapata pointi au anayefunga mwenzie kwake anapata pointi za ziada?
 
Jamaa jana walilowa lile lakufutia machozi lilipo ingia wakawa wanasema mtaikumbuka man ya 1990's zinarudi zote huku wakiruka ruka.
 
Jana Serengeti baridi zilikuwa zinashuka taratiiibu huku nikimshuhudia David Sylva akionyesha some worldclass kiwango! Wazee what inauma zaidi kati ya kufungwa 8-2 ugenini tena ukiwa na kikosi cha pili cha watoto na kufungwa 6-1 nyumbani,tena wewe ni bingwa and upo full nondo! Dakika ya 70 watu malianza kuondoka old trafford! MANCHESITA!!!

Zote zinauma ila nadhani hii ya Man U inauma zaidi kwani sidhani kama mashabiki wake na hata kocha wao aliingia uwanjani akitarajia kipigo kikubwa kiasi hicho. Kimsingi waliingia wakitarajia ushindi hasa ukiangalia historia ya timu hizi mbili na matokeo yao ya kwenye ligi mpaka sasa - walikuwa hawajapoteza mechi hata moja. Arsenal kwa upande wao walitarajia kipigo, baada ya kuwa wamewauza wachezaji wao wa kutumainiwa, ila sidhani kuwa nao walitarajia kipigo cha goli nane.
 
February 25, 2001: Arsenal 1 Manchester United 6...
Better keep ya head down pal....
 
Zote zinauma ila nadhani hii ya Man U inauma zaidi kwani sidhani kama mashabiki wake na hata kocha wao aliingia uwanjani akitarajia kipigo kikubwa kiasi hicho. Kimsingi waliingia wakitarajia ushindi hasa ukiangalia historia ya timu hizi mbili na matokeo yao ya kwenye ligi mpaka sasa - walikuwa hawajapoteza mechi hata moja. Arsenal kwa upande wao walitarajia kipigo, baada ya kuwa wamewauza wachezaji wao wa kutumainiwa, ila sidhani kuwa nao walitarajia kipigo cha goli nane.
Mkuu umesema vema kuwa Arsenal hatukutalajia ushindi kwenye mechi hiyo baada ya kuwakosa wachezaji zaidi ya 9 wa kikosi cha kwanza halafu unaenda kucheza na bingwa mtetezi tena nyumbani kwake akiwa hajapoteza hata mechi moja, hakika kipigo kilikuwa lazima lakini swala ni goli ngapi hakuna alielijua hilo yote kwa yote muosha huonshwa jana MANU kaoshwa baada ya kumuosha Arsenal....Asante mungu kwa kututunzia heshima maana kwasasa mitaani na maofisini tuna heshimiana sasa kwamba lolote laweza kutokea kwenye soka...........
 
Jana Serengeti baridi zilikuwa zinashuka taratiiibu huku nikimshuhudia David Sylva akionyesha some worldclass kiwango! Wazee what inauma zaidi kati ya kufungwa 8-2 ugenini tena ukiwa na kikosi cha pili cha watoto na kufungwa 6-1 nyumbani,tena wewe ni bingwa and upo full nondo! Dakika ya 70 watu malianza kuondoka old trafford! MANCHESITA!!!

muosha siku zote huoshwa.
 
Dozi ya MANure jana imetia fola kwani kile kilikuwa ndio kikosi chao cha kwanza, pia walikuwa nyumbani na mbaya zaidi walikuwa wanacheza against mahasimu wao wakubwa.. Tofauti na arsenal ambapo wachezaji wengi karibia 7 wa kikosi cha kwanza hawakuwepo. *6-1*
 
Alex Ferguson's wife woke him this morning and said,"HONEY GET UP ITS SEVEN!...... And the poor old man screamed,"DAMN MAN CITY HAS SCORED AGAIN!"
 
Dozi ya MANure jana imetia fola kwani kile kilikuwa ndio kikosi chao cha kwanza, pia walikuwa nyumbani na mbaya zaidi walikuwa wanacheza against mahasimu wao wakubwa.. Tofauti na arsenal ambapo wachezaji wengi karibia 7 wa kikosi cha kwanza hawakuwepo. *6-1*
Mkubwa football haina ya kikosi cha kwanza wala cha pili ukifungwa lazima ukubali kipigo mwaka 2001 Arsenal alipigwa na Man 6-1 ,kikosi cha Arsenal kikiwa na kina Seaman,Cole,Henry,Pires,Wiltord,Parlor,Silvinho,Grimand sasa sijui na hiki kilikuwa kikosi cha pili
 
Kufungwa ni kufungwa tu hakuna cha ugenini wala wapi! Kwani ukifungwa ugenini unapata pointi au anayefunga mwenzie kwake anapata pointi za ziada?

sawa sawa ila heshima tu ndio itashuka ukifungwa home..
 
Mkubwa football haina ya kikosi cha kwanza wala cha pili ukifungwa lazima ukubali kipigo mwaka 2001 Arsenal alipigwa na Man 6-1 ,kikosi cha Arsenal kikiwa na kina Seaman,Cole,Henry,Pires,Wiltord,Parlor,Silvinho,Grimand sasa sijui na hiki kilikuwa kikosi cha pili

hehehe! angalia sasa belo.. unaanza kuleta matokeo ya 2001! hehehe!!!
 
Ukifungwa nyumbani inakua raha zaidi watu wakitoka uwanjani wanaonekana kirahisi!!Haa.....Haaaaa!!
 
Back
Top Bottom