Kufunga tumbo kwa mwanamke aliyejifungua

tzjamani

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
995
30
Wataalam,
Nimekuwa nikisikia mama fulani hajafunga tumbo baada ya kujifungua.
Naomba uzoefu.
 
Kufunga tumbo utapojifungua ni muhimu saaana, that is why because siku hizi
wengi twapuuzia unakuta wadada wengi tuna vitambi...
Ukijifungua tu kuna speacial belts au hata nguo za kawaida unafunga tumbo
hua inakua very uncomfortable but ni muhimu for at least two to three months
kwa mda wa 24/7 - haitakiwi utoe hasa unapokula maana wengi hapa ndo utushinda!
Kawaida tokana na tumbo lako kubeba mtoto kwa miezi 9 tumbo hutanuka saana.

However alojifungua kwa operation haruhusiwi kufanya hivyo ndo maana wengi wana vitambi...
 
hizi ni beliefs tu za watu wa kale...hazina umuhimu wowote,sijawahi kuona impact yake in a real sense....
 
Kufunga tumbo utapojifungua ni muhimu saaana, that is why because siku hizi
wengi twapuuzia unakuta wadada wengi tuna vitambi...
Ukijifungua tu kuna speacial belts au hata nguo za kawaida unafunga tumbo
hua inakua very uncomfortable but ni muhimu for at least two to three months
kwa mda wa 24/7 - haitakiwi utoe hasa unapokula maana wengi hapa ndo utushinda!
Kawaida tokana na tumbo lako kubeba mtoto kwa miezi 9 tumbo hutanuka saana.

However alojifungua kwa operation haruhusiwi kufanya hivyo ndo maana wengi wana vitambi...

Aliyejifungua kwa operation ndiyo anafanyeje akifunga au asipofunga?
 
tz jamani hiyo avatar yako kusema kweli haipo katika maadili ya ki ubinadamu, kiasi kwamba nashindwa hata kusoma ulichoandika kwa jinsi inavyotisha, nakuomba ubadili uweke nyingine ( ombi, sio lazima ).
 
Back
Top Bottom