Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,942
- 6,860
Badala ya kufurahia na kulea uwezo wa vijana wetu kufikiria wenyewe na kufikia uamuzi wao ( hasa pale wanapotofautiana na sisi) tunawa-stifle! Kwa kufanya hivi tunageuza Chuo Kikuu kuwa glorified kindergarten/kambi ya jeshi. Hii pamoja na kutaka wanafunzi hawa wajilipie? Halafu kesho tunapokuwa na technocrats ambao wanashindwa kusimamia hoja zao pale wanapoburuzwa na walio juu yao tunashangaa! Badala ya kuangalia investment ambayo jamii imeingia kuwafikisha hawa vijana hapa, tunaendekeza vi-ego vyetu. Kwa vitendo vyao, wanaoonyesha immaturity ni viongozi wa Chuo na si wanafunzi.
Amandla......
Amandla......