Kufaulisha? Hapana ni kuhawilisha!

Jan 4, 2012
61
23
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wengi wanapozungumzia kubadilishiwa gari wakiwa safarini wanatumia neno FAULISHA wakimaanisha kitendo cha kubadilishiwa gari walilokuwa wakisafiria awali nakupewa jingine inapotokea kwamba gari hilo limeshindwa kusafiri kwa sababu mbalimbali.

Waungwana neno muafaka na sahihi ni HAWILISHA! FAULISHA NI KITENDO CHA KUSABABISHA MTU AU JAMBO FULANI LIFAULU! HAWILISHA ina maana ya kuhamisha au kubadilisha!( To change or transfer!)

Mpo hapo?
 
tupo, asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom