LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 574
Tatizo lingine kipindi hiki hamu ndio huwa inazidi
Hata kwa mwanamke inazidi? Na wale wanaoumwa kabisa hadi analala siku zote kama mgonjwa wa Malaria kabisa.
Wanaume bwana?
Tatizo lingine kipindi hiki hamu ndio huwa inazidi
Unaweza kucheza mpira kwenye matope??? Jibu hilo halafu nitarudi
Unaweza kucheza mpira kwenye matope??? Jibu hilo halafu nitarudi
Unaweza kucheza mpira kwenye matope??? Jibu hilo halafu nitarudi
Unaweza kucheza mpira kwenye matope??? Jibu hilo halafu nitarudi
Pamoja na Imani na Dini na kila kitu, hata kama mtu atasema hana Imani na Mungu yoyote yule, nakubaliana na MziziMkavu kwamba mwanamke akiingiliwa wakati wa hedhi hana furaha/raha katika hilo, kwa hiyo inaweza mjejengea hali ya kuichukia hio kitu.
Kwa kuwa hata mimi sijui vizuri nitafurahi nikipata elimu zaidi juu ya hilo hata kutoka kwa wanawake wenyewe.
LD, wala hakuna haja ya kusubiri watu wakupe elimu, jaribu kutafuta majibu ya hilo swali hapo juu!
Kuna sababu kubwa 3 za kuogopa tendo la ndoa wakati wa hedhi nazo ni medical (uwezekano wa kuambukizwa magonjwa kama VVU, hepatitis B.. n.k), ethical (kimaadili zaidi..ndo maana mwanamke atahisi kudhalilishwa) na aethetical (katika mtazamo wa hali ya mazingira yenyewe..uchafu, kinyaa n.k). Kama bado kuna watu wanatamani kwenda huko wakati wa mafuriko ya msimbazi basi matatizo waliyo nayo ni makubwa kuliko wanavyojielewa!
Babu DC
Asante babu DC, ubarikiwe mpaka ushangae, sasa nimeelewa na ninachukua hatua ya kuwafundisha hadi vitukuu vyako. Sijui unatumia kinywaji gani, au ukaribie chai babu yangu.
DAH~.LORD HAVE MERCY!.Hivi kwanza wanajuaga what pain most women go through those days?.ila :focus: chukua ushauri wa LD,DC,na wengine.
Mungu alijua na ndo maana akatoa siku za mapumziko ili wote mke na mme wapumzike
Gari yenyewe inaenda service sembuse binadamu.
Hivi ni lazima wanaume wafanye mapenzi kuanzia tarehe 1 january mpaka tarehe 31 decemba,
bila kupitiliza siku hata moja?? Yani siku zote 3651/4 lazima mkutane na hiyo kitu??