MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Yaani, kama hedhi haikuwa due, lakini damu ikatoka maana yake ni nini ? by 'premature' nilitaka kusema imetoka kabla ya muda wake!

Niko naive na haya mambo mazee, I thought its hormonal regulated?
 
Kyela wagombea wako wengi sana kaka! Ntaanzia udiwani lol, uko poa lakini?


Niko poa kabisa mkuu, habari zinazochuruzika ni kwamba kule viongozi wa kata ya Kyela mjini wameswekwa lupango na wenziwe wa wilaya kwa 'kuvunja' ofisi. So u can see hata udiwani tu wenyewe kasheshe! dah (sorry off topic....:D)
 
i thought its hormonal regulated?

You are very right:)! Buts stress also affects the hormones. Many women find that if they are worried about something, it can influence menstruation.
 
You are very right:)! Buts stress also affects the hormones. Many women find that if they are worried about something, it can influence menstruation.

Point taken! I will stress my Mzenj na scared her with something horror and see the effects....tupo pamoja!
 
Ha haaaaaaaaaa msee sio mie huyo. Ni jamaa yangu ndo aombaye msaada ila we ushabariki kuwa ni mtarajiwa wangu. Lol mkuu ondoa hiyo kuwa ni mtarajiwa wangu!

Usihofu bana mambo ya kawaida haya bana, twashauriana bana si wajua ya "Mficha Uchi?"....Masa nae kama mie bana na yapo kwa kila mwanaume na kila mwanamke thats why binti hakuwa tayari kusema ukweli kuwa yupo "kwenye Mwezi Mchungu" wakati alipoguswa. Mambo magumu haya bana, yamekaa pabaya!...Pamodja!..Get more in here:

http://answers.yahoo.com/question/index?qid=20090817114646AAKXYvb

http://sawaal.ibibo.com/teenagers/harm-sex-during-periods-801414.html
 
Uchafu tu atapata - anaweza kunywa maji mengi lita 6 hadi 7 kwa siku for two days kusafisha then its ok
akiacha anaweza kupata maumivu ya mgongo - ila si sana.
si vizuri tabia hiyo ni mbaya mbaya aachane nayo asiwe mroho mroho.
 
Thats disgusting and an absurd thing to do kumkosea heshima mwanamke kabisa.
Mwambie aache hiyo tabia haraka anawezaje kwanza eeeeeuwwww!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thats disgusting and an absurd thing to do kumkosea heshima mwanamke kabisa.
Mwambie aache hiyo tabia haraka anawezaje kwanza eeeeeuwwww!!!!!!!!!!!!!!!!

Mwanamke yule anayekosewa heshima hapa?..ye kaamua kumpa "mai darl" wake jambo jema hilo bana, heshima ya nini kwenye "matuthi"?
 
Siku nyingine msingoje mpaka mpate moja moto moja baridi ndio mfanyane...kwani ndo mara ya kwanza kutokea hivyo ukaogelea kwenye damu au ......
 
Nadhani mzee hukupata kazi ya ziada ya kulainisha kwani automatic kuliwa wet...ila next time subir day 3-5 hiyo ndio inanoga zaidi....
 
Asanteni wote kwa ushauri mliotoa hapa. Nitamfikishia jamaa matokeo ya swali langu. Mbarikiwe sana.
 
Nini kifanyike wakati mume anataka tendo wakati mkewe yuko mwezini? Nimesikia mtu akisema hiyo ni nafasi ya kuvinjari nje.na kuna madhara yoyote tukikutana kimwili wakati wa hedhi?
 
Hivi ni lazima wanaume wafanye mapenzi kuanzia tarehe 1 january mpaka tarehe 31 decemba,
bila kupitiliza siku hata moja?? Yani siku zote 3651/4 lazima mkutane na hiyo kitu??
 
Hivi ni lazima wanaume wafanye mapenzi kuanzia tarehe 1 january mpaka tarehe 31 decemba,
bila kupitiliza siku hata moja?? Yani siku zote 3651/4 lazima mkutane na hiyo kitu??
Swali lako zuri na linahitaji jibu.Nadhani mapumziko ya siku nne zile ni nzuri kwa wote wawili.
 
Mapenzi sio lazima ngono na isitoshe ngono sio msosi ambao mwanaume atauhitaji kila sekunde, anaweza akajizua asifanye mapenzi hata miaka kadhaa.

So mwanamke anaweza akaendelea kukuonyesha mapenzi ya dhati pasipo kushiriki ngono
 
Hivi kufanya mapenzi ni lazima kuwe na intercourse? Kama ni lazima sana kwa kipindi hicho, labda jaribuni njia nyingine (eg oral,kama hana kinyaa!)
 
Hiyo sasa imezidi kwani hedhi wanawake wanaenda miezi? huko kwa kujivinjari nje ukikuta nae yuko hedhi?
 
Back
Top Bottom