Kufanya mapenzi au kutembea (having an affair) na mke au mume wa mtu ni kosa kisheria?

Sasa hiyo IVF alifanyiwa by force au?
Vyovyote vile, ni kwamba yule mgoni wako anakua amejiondoa, kwani yeye kazi yake iliishia kumwaga tu zile manii kwenye kichupa na kumpa mkeo aende nazo hospitali na kumdunga nazo, either kalipwa au kazigawa bure manii zake that is irrelevant, point is anakuwa amejitoa hatiani, kwahiyo mtiti unabaki kwenu wanandoa.
 
Kwa Tanzania ni kosa, lakini si la jinai bali la madai tu. Unakiri unalipa yanaisha.
 
Ikiwa nimezifuma jumbe kwenye simu ya mke/mume wangu zikithibitisha walifanya ugoni, je sio ushahidi huo?
Huo sio ushahidi Mkuu. Ushahidi unaokubalika Mahakamani ni RED HANDED tena kwa macho yako (sio ya kuambiwa wala video records). Najua utastaajabu lakini huo ndo ukweli
 
Unless umewafumania wanagededana live na ushahidi upo, haya mambo huwa magumu sana na unaweza kushauriwa tu ukafile kuomba divorce. No wonder watu hujichukulia sheria mkononi na kuwa.lawiti wagoni wao.
Na je uliemlawiti anaweza kwenda kukufungulia mashotaka kua umemlawiti?
 
Sio kosa, ila cha kushangaza Mtu akikufuma na Mkewe anakudhulumu kinyume na maumbile.
 
Back
Top Bottom