Kuepuka prostate cancer

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,811
10,081
Inatakiwa kwa mwanaume kushiriki tendo mara 21 kwa mwezi..itakuweka salama na kuepukana na dhahma hii.
 
na joto hili la daslamuuuu ni kuchoshana tuu
Yaan mtu anakumiminia mijashooo ad shuka zinalowa -- apo ni raundi ya kwanza tu
 
wakati huo nayo kaswende,kisonono na gonorea inasema "natakiwa nijitangaze ndani na nje ya nchi hadi kimataifa niwavae wazinzi wote!nikikaa kizembe nitaonekana zwazwa!".
Huu ni utafiti sio blah blah za vijiwe nongwa
 
kunya kila siku kuna saidia kuongeza hamu ya chakula na ukipata kipindu pindu dalili za kukosa chakula kigumu alisikika profesa janabi
 
Back
Top Bottom