Kuelewa Mikataba ya Nafsi: Makubaliano Tuliyofanya Kabla ya Kuja Duniani

Nisamehewe nipo nje ya mada.

Mkuu nimejaribu kuku-pm nikuulize issue ya PVC window kama unaendelea nayo kuna sehemu nilikusoma ukisema unazo,bado zipo?
 
Umewahi kusikia juu ya mikataba ya kiroho? Inachukua sehemu kubwa katika kuamua jinsi tunavyojiumba kama watu tukiwa hapa Duniani.

Kabla ya kila kuzaliwa kwetu duniani, tumepewa chaguo. Ni chaguo la kuchagua kusudi la maisha yetu ya kiroho; tunaulizwa ni somo gani tungependa kujifunza wakati huu na jibu tunalotoa huamua maisha yetu hapa duniani.

Na mikataba ya nafsi hufanywa kulingana na somo tulilochagua. Tukiamua kujifunza subira, hatutazungukwa na watawa na wenye Hekima, bali na ndugu au jamaa ambao watatuudhi na kutukera hadi kufa.

Ikiwa tunataka kujifunza upendo, tutaona chuki kwenye kila pito letu, na ikiwa tunataka kupata hali ya kujiamini, basi mafarakano yatakuja na kutukanyaga kila mahali. Haijalishi ni somo gani tunataka kujifunza, tutapewa kinyume chake…daima!

Katika uwanna mkubwa wa miunganisho ya wanadamu, mahusiano fulani yanajitokeza, yakitoa ishara ambazo ni vigumu kuvunja.

Zinavuta hisia zetu kwa njia ambazo hatuwezi kueleza, zikiibua hisia ngeni sana, zenye mvuto ama msukumo wa aina yake, na kututikisa hisia zetu za ndani.

Hebu fikiria unakutana na mtu kwa mara ya kwanza na kuhisi mvuto wa ajabu. Au, kwa upande mwingine, chuki ya papo hapo na isiyoelezeka. Je hizi ishara zina uhusiano wowote na mikataba yetu ya kiroho kabla ya kuzaliwa?

Ni kama wimbo ambao mashairi yake huwezi kuyakumbuka kabisa, lakini wimbo huo ala na midundo yake vinakusisimua kwa namba ya pekee sana ndani yako. Haya hayatokei kwa bahati mbaya ni mwangwi wa maisha ya zamani yanayojirudia katika maisha yako ya sasa.

Karibu kwenye ulimwengu unaovutia na mara nyingi wenye misukosuko wa miunganisho ya kiroho. Katika safari hii ya kuelimishana, tutafunua kiini cha vifungo vya maisha ya kiroho, kuchunguza kile kinachosema nasi ndani mwetu, ishara na matokeo yake na kutambua ishara za mahusiano ya kiroho. Je, uko tayari kutafakari
Ngoja nimalize kazi zangu nitarudi?
 
Yani mwandishi nipo halafu unauliza chanzo cha habari? Tena unasema kabisa hakijulikani?
Je unajua nini juu ya DNA!?
Je unajua nini juu ya umbilical cord !?
Je unajua nini juu ya vizazi?
Vipi kuhusu realm of eternity?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sijasema chanzo “hakijulikani”
Soma vizuri swali langu lipo wazi

Mimi nataka kujua UMEJUAJE KUWA TUNAINGIA MIKATABA YA KIROHO kabla hatujazaliwa?
 
Umewahi kusikia juu ya mikataba ya kiroho? Inachukua sehemu kubwa katika kuamua jinsi tunavyojiumba kama watu tukiwa hapa Duniani.

Kabla ya kila kuzaliwa kwetu duniani, tumepewa chaguo. Ni chaguo la kuchagua kusudi la maisha yetu ya kiroho; tunaulizwa ni somo gani tungependa kujifunza wakati huu na jibu tunalotoa huamua maisha yetu hapa duniani.

Na mikataba ya nafsi hufanywa kulingana na somo tulilochagua. Tukiamua kujifunza subira, hatutazungukwa na watawa na wenye Hekima, bali na ndugu au jamaa ambao watatuudhi na kutukera hadi kufa.

Ikiwa tunataka kujifunza upendo, tutaona chuki kwenye kila pito letu, na ikiwa tunataka kupata hali ya kujiamini, basi mafarakano yatakuja na kutukanyaga kila mahali. Haijalishi ni somo gani tunataka kujifunza, tutapewa kinyume chake…daima!

Katika uwanna mkubwa wa miunganisho ya wanadamu, mahusiano fulani yanajitokeza, yakitoa ishara ambazo ni vigumu kuvunja.

Zinavuta hisia zetu kwa njia ambazo hatuwezi kueleza, zikiibua hisia ngeni sana, zenye mvuto ama msukumo wa aina yake, na kututikisa hisia zetu za ndani.

Hebu fikiria unakutana na mtu kwa mara ya kwanza na kuhisi mvuto wa ajabu. Au, kwa upande mwingine, chuki ya papo hapo na isiyoelezeka. Je hizi ishara zina uhusiano wowote na mikataba yetu ya kiroho kabla ya kuzaliwa?

Ni kama wimbo ambao mashairi yake huwezi kuyakumbuka kabisa, lakini wimbo huo ala na midundo yake vinakusisimua kwa namba ya pekee sana ndani yako. Haya hayatokei kwa bahati mbaya ni mwangwi wa maisha ya zamani yanayojirudia katika maisha yako ya sasa.

Karibu kwenye ulimwengu unaovutia na mara nyingi wenye misukosuko wa miunganisho ya kiroho. Katika safari hii ya kuelimishana, tutafunua kiini cha vifungo vya maisha ya kiroho, kuchunguza kile kinachosema nasi ndani mwetu, ishara na matokeo yake na kutambua ishara za mahusiano ya kiroho. Je, uko tayari kutafakari
Nakuelewa
 
Umewahi kusikia juu ya mikataba ya kiroho? Inachukua sehemu kubwa katika kuamua jinsi tunavyojiumba kama watu tukiwa hapa Duniani.

Kabla ya kila kuzaliwa kwetu duniani, tumepewa chaguo. Ni chaguo la kuchagua kusudi la maisha yetu ya kiroho;
Mi nafikiri vizazi vyetu hivi hata vya miaka mingi huko nyuma ndiyo watekelezaji au sehemu ya utelekelezaji wa hiyo mikataba ya kiroho kwa kufuata mtiririko wa DNA zetu ila hao mababu zetu ambao hata hatuwajui kwa sura pengine hata kwa majina yao ndiyo walikuwa na hizo.chaguzi
 
Katika hili nimekuelewa ndugu yang Mshana ....lakin kwa akil ya matukio ya udaku mtandaon......ni ngum sana kuelewa
 
Back
Top Bottom