Substantiate the above with a functional link please.
Hapa Arusha hupati chumba sasa vyote viko booked! Nina uhakika Moi atakuja Ngurdoto kama kawaidaIli kujua Kenya ni ya watu weusi Wahindi wameshaanza kuondoka
God forbid!tuwaombee jamani kwani nasi tunalo lakwetu....muda sio mrefu na hili linalo endelea chini chini...
Wakirudia safari Ndio nitaamini wakenya wamerogwa.....na huku kwetu wasi je kabisa maana wanaendekeza ujinga na ukabila hizo mapanga zanini sasa?
Wewe Jammu Africa, hebu jaribu kuandika kwa kutumia Kiswahili fasaha. Sasa "uchanguzi" ndio nini?Hiyo ni yako,,,,utastuka sana,,ndugu kwani wa Kenya wako mbele hata kuliko vile
mawazo yako mabovo yanavyo kupotosha.
Ni nani anae weza dhubutu kufikiria habari za vita saile iko watu ambao
wamefikishwa katika makorti ya kimataifa kwa hili shtaka.
Iko kitu ambacho kinajulikana kama common sense,,yaani yako
mambo mengine mwana damamu afai kuelezwa kama ana akili
timamu.
Ndugu,,nikama kwamba haufuatilii mambo ya Kenya kimakini
na lako ni uzushii usio na mbele wala nyuma na ni na kuakikishia
yakwamba tuko pamoja baada ya uchanguzi hapa Kenya,,kwenye
hii forums na ku kudhibitishia yakwamba yako ilikua ndoto tuu,,
yaanii,,a useless nightmare,, na kama ungekua Kenya,,ungelishikwa
na kudhibitisha hii nightmare,,,,yako.
Mimi ni mpiga kura na kesho tuko,,,,kama tunavyo sema Kenya,,,
Debeni.
Hatuitaji maombi kutoka kwa mtu yeyote kwani sisi Kenya
si wangojwa.
Hiyo ni yako,,,,utastuka sana,,ndugu kwani wa Kenya wako mbele hata kuliko vile