Makonda amtaka DC wa Nsimbo ajiuzulu kisa kuruhusu Wananchi walime shamba lenye mgogoro na kupelekea kukatwa mapanga

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,250
52,179
Mkuu mjibu kwa lugha nyepesi wengine humu wanaishi kwa Dada zao wana azima simu za Dada zao kuperuzi shemeji zao wakiwa bar wanaangalia mpira na michepuko yao unategemea mtu Kama huyo awe na akili timamu wakati usiku kucha yuko sebuleni anasikiliza miguno ya Dada yake akiliwa papuchi🤣
Usimdanganye unampotosha.Anaonesha kutokukua kiakili kama ulivyomsapoti.Ni mtoto mwenye utoto mwingi vilevile kama ulivyofurahia uzuzu.
 
Hata wewe ulijibu kitoto sana mwenye makosa ni DC labda ungegusia hoja ya kuhujumiwa kwa Mhe Rais na Watendaji wake kidogo ungekuwa sahihi lakini kuwalaumu hao wakulima waliopewa go a head na Rais wa Wilaya ulitegemea hizi mvua waache kulima wasipate chakula na ndo shughuli yao kuu ya kujitaftia rizki Kaka?
Kama shamba lina mgogoro unahakikishiwaje kulima bila upande mnaovutana kuridhia?Huoni kama unaingizwa mkenge?Unaamini maamuzi ya kisheria na haki au cheo(rais wa wilaya?laughter) cha mtu na maneno matupu?Hata kutumia busara ya JK kwamba "za kuambiwa changanya na zako" walishindwa?Unajitambua wewe?
 
uelw

Kaka jaribu kuzunguka vijiji vya Tanzania hautawalaumu mi nimeshaishi mikoa 8 Sasa huo uelewa wa Sheria kule asilimia Kubwa Watu hawana kabisa huyo mtendaji wa Kijiji anaonekana malaika sembuse DC akiwa na kamati yake ya ulinzi na Usalama au wanaposema Kuna makabila yanayoishi uko ndani ndani bado yaliamini Rais ni Nyerere Jakaya akiwa madarakani.kwa kifupi bado namuona DC km msaliti kwa mteuzi wake na ni Muuaji wa Raia
 
uelw
Kaka jaribu kuzunguka vijiji vya Tanzania hautawalaumu mi nimeshaishi mikoa 8 Sasa huo uelewa wa Sheria kule asilimia Kubwa Watu hawana kabisa huyo mtendaji wa Kijiji anaonekana malaika sembuse DC akiwa na kamati yake ya ulinzi na Usalama au wanaposema Kuna makabila yanayoishi uko ndani ndani bado yaliamini Rais na Nyerere Jakaya akiwa madarakani.kwa kifupi bado namuona DC km msaliti kwa mteuzi wake na ni Muuaji wa Raia
Sasa,huko kuzunguka kwako maeneo uliyoyataja na kukuta hawajui sheria ndiyo kigezo na kinga ya wao kuvamia mashamba yenye migogoro kwa sababu tu DC kawaambia?Tukienda kwa mtindo huo basi itakaa vizuri watugonge mapanga ya vichwa.Maana akili haitumiki kabisa.
 
1. DC ccm
2. Makonda ccm
3. Mkurugenzi ccm
4. Wote wanateuliwa na mwenyekiti ccm

Makonda analia sababu ya watu wanaowekwa na ccm, na Makonda kawekwa na Rais mwenye mamlaka juu ya hawa waonevu ambao ni ccm,

Speaking of a high level of bullshit
 
Sasa,huko kuzunguka kwako maeneo uliyoyataja na kukuta hawajui sheria ndiyo kigezo na kinga ya wao kuvamia mashamba yenye migogoro kwa sababu tu DC kawaambia?Tukienda kwa mtindo huo basi itakaa vizuri watugonge mapanga ya vichwa.Maana akili haitumiki kabisa.
Umeelewa mada kule juu au unaendelea kuropoka nikuache? Sababu naona napoteza muda ni lijitu ligumu kuelewa umeambiwa shamba lilikuwa na mgogoro Kiongozi Mkuu wa Wilaya akafika na jopo lake inamaana Kuna maelezo alipewa ila akaruhusu wakulima waendelee na shughuli zao Ina maana angesimamisha shughuli zao za kilimo wakulima wasingeendelea na kilimo kwahiyo mwenye makosa ni DC kuwahesabia hatia wale wakulima wakati walipewa go a head wakiamini yule ni mwakilishi wa Rais na wao wanahitaji kulima wapate mahitaji yao kosa lao lipi kumbuka Kama unavyotegemea kazi yako ndivyo nao wale wanategemea mashamba
 
Mwandiko huwa hauna sauti ya kuropoka.Endelea kufanya kitu kingine.Huwa hamtaki kuelimishwa.
 
Japo limekaa kimkakati hili la ziara za makonda ila hii nchi ina madudu mengi mnoooo!
Kiukweli inauma Sana but Makonda angekuwa na executive power hao Jamaa wangekoma.

Shida Ile zuio lake la USA ndio linanfanya iwe vigumu kuingia Serikalini.

Nafasi ya Biteko ilitakiwa iwe ya Makonda.
 
Hii nchi ilishaoza. Yani utadhani hakuna Serikali
Serikali ipo ila Baadhi ya wenye dhamana wanafanya mambo ya hovyo na sijui kama idara nyeti Huwa zinatimiza wajibu wao au wakitimiza wajibu mamlaka zinapuuza Kwa vile watu wa chini hawana pa kusemea.
 
Dkt Samia tulimwambia toka mwanzo anahujumiwa na watendaji wake ila bahati mbaya alizuia watu eti wasioneshe mabango, Dkt Samia ujue ulikuwa unapoteza urais kama siyo Makonda, Makonda anaponya majereha ya watu tangu Dkt Magufuli afariki
Huu ni ukweli aisee,imebainika hata Baadhi ya taarifa Watendaji wanatoa ni za uongo.

Lakini amemleta Makonda kimkakati,ikiwezekana awarudishe wale Vijana wa awamu ya 5 Kwa sababu wako Royal na wanafanya kazi.

Hawa wazee wa zamani wengi wao ni matapeli.
 
Back
Top Bottom