Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,790
- 41,164
Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027,
Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo.
Hata kama mpaka kufikia muda huo hili litashindikana basi TFF waangalie namna ya kupanga mechi nyingi za ligi Arusha.
Naamini kama wale wasudan watakuja kucheza ligi yetu basi makazi yao yawe huko kwa muda, kuliandaa jiji kwa pilika za kimichezo.