Kuelekea 2015 CHADEMA ipangue upya BAVICHA!

promi demana

JF-Expert Member
Oct 9, 2012
309
82
Habar wanaJF!
Napenda kutoa maoni yangu haya kwa faida ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),
ni ukweli kwamba baraza la vijana (BAVICHA) limeshindwa kufanya vizuri kuwainfluence vijana wengi wa nchini hasa wa kijijni na badala yake limekuwa ni jiko lenye moto hafifu lenye kuwapika na kuwajenga watu wachache kisiasa hasa John Heche tu, pia ni kama vile vijana hawa wameshindwa kujua obligations zao ambapo lengo haswa ni kwa vijana wote nchini kuanzia sekondari, boda boda, vyuoni etc, na mara nyingi kazi za BAVICHA zimekuwa sawa na zile za wakina Mnyika na Slaa (mahubiri ya ufisadi tu).
Leo hii Heche na Juliana Shonza ni kama mbingu na ardhi kimahusiano yani ni vigumu kutofautisha BAVICHA na UVCCM.

My outlook:
mwakani vijana wote wenye uwezo jitokezeni kugombea nafasi ili tupate BAVICHA mpya itakayokuwa decentralized na sio centralized kama ilivyo sasa.

VIVA CHADEMA.
 
John Heche Suguta ndio M/kiti wa Bavicha hadi uchaguzi ujao. Kamanda anapambana kukijenga chama
Nyie wengine ukiwamo mleta thread ungana nae kujenga CDM km una mapenzi mema na Tanzania.Acha kukaa nyuma ya keyboard na kuanzisha porojo
 
bdala ya panga pangua naona ni bora tuakatafuta watu kama heche watakao specialize vijijini tu.....
 
mi nafikiri tukitoka na ukweli bila kuteteana hapa mimi sioni sababu ya mtu kusema heche amepwaya saana labda wale vijana mliozoea siasa za DARUSO na wale mlioshindwa na heche hao hata akifika kwenu mtamsema vibaya tu lakini ushauri wangu kwa ujumla ni kwamba tangu nimtazame huyu kijana anaanza harakati za chadema amejitahidi saana kuipambanua BAVICHA kama taasisi muhimu na yenye nguvu ndani ya chama na ni kijana asiyehongeka kwa ujumla kama inawezekana sioni sababu ya panga pangua ndani ya chama ni bora mumpe nguvu aendeleze mapambano zaidi kama kweli mnapenda mafanikio ya vijana kamakuna malengo hayajatekelezwa bado muda wa BAVICHA hawa walipewa nafasi mwaka mmoja tu uliopita
swala la boda boda haikuwa agenda yao ila washauri kama ni muhimu
swala la huyu shonza mshaurini pia aache kucheza nje ya laini ya mpango wa chama shibuda si bavicha
ushauri wangu vijana tusiwe wepesi wa kupotoshana tushiriki inapobidi HECHE ANAONEKANA KUWA FIT KABISA TUMUUNGE MKONO
 
Habar wanaJF!
Napenda kutoa maoni yangu haya kwa faida ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),
ni ukweli kwamba baraza la vijana (BAVICHA) limeshindwa kufanya vizuri kuwainfluence vijana wengi wa nchini hasa wa kijijni na badala yake limekuwa ni jiko lenye moto hafifu lenye kuwapika na kuwajenga watu wachache kisiasa hasa John Heche tu, pia ni kama vile vijana hawa wameshindwa kujua obligations zao ambapo lengo haswa ni kwa vijana wote nchini kuanzia sekondari, boda boda, vyuoni etc, na mara nyingi kazi za BAVICHA zimekuwa sawa na zile za wakina Mnyika na Slaa (mahubiri ya ufisadi tu).
Leo hii Heche na Juliana Shonza ni kama mbingu na ardhi kimahusiano yani ni vigumu kutofautisha BAVICHA na UVCCM.

My outlook:
mwakani vijana wote wenye uwezo jitokezeni kugombea nafasi ili tupate BAVICHA mpya itakayokuwa decentralized na sio centralized kama ilivyo sasa.

VIVA CHADEMA.

View attachment 69810View attachment 69811 hapa hii mikutano kumbe ni ya mjini? hebu acheni ghiliba za kushindwa uchaguzi rudini mjenge chama jamani
 
Tatizo heche ana pupa!Anaweza kumtuhumu hata KADA mpambanaji kuwa ni Gamba!Anajiona ana haki ndani ya CDM kuliko vijana wengine wasio viongozi ndani ya chama!Haiwezekani vjana wote wakawa viongozi ndani ya cdm lkn huko walipo jaribu kuwa karibu nao na ukubali mawazo na ushauri wao!Huo ndio uongozi mdogo wangu Heche!
 
Heche amefanya kazi kubwa sana mpaka sasa, wasiwasi wangu ni nafasi ya ukatibu. Binafsi naona katibu bado hajavaa viatu vyake sawasawa, tuwape moyo na ushirikiano watimize malengo yao.
 
Heche amefanya kazi kubwa sana mpaka sasa, wasiwasi wangu ni nafasi ya ukatibu. Binafsi naona katibu bado hajavaa viatu vyake sawasawa, tuwape moyo na ushirikiano watimize malengo yao.

mkuu ahsante kwa kuelewa hoja yangu!
Ni kweli Heche anafaa na anaweza but ktk nafasi ya makamu wake( Shonza) bado hatuelewi, pia katibu wake ndo kabisa......
 
Ni muda wa ku- focus katika ujenzi wa chama bila kufikiria uenyekiti ama Urais

Process za election zipo ndani ya chama

-kama kuna mtu mwenye mapendekezo bora zaidi kuishauri BAVICHA kuna thread ipo na watu walichangia.
 
Chadema washajiishia hawana singo mpya zote wanazokopi na kupesti zimeshtukiwa.
 
Ni muda wa ku- focus katika ujenzi wa chama bila kufikiria uenyekiti ama Urais

Process za election zipo ndani ya chama

-kama kuna mtu mwenye mapendekezo bora zaidi kuishauri BAVICHA kuna thread ipo na watu walichangia.

ni vyema wanaCDM msitoe hoja nyepesi kuzima maoni ya sisi wapiga kura wenu so ni vyema mjitahidi kukiimarisha chama hasa kwa kutumia maoni yetu haya.
 
Heche amefanya kazi kubwa sana mpaka sasa, wasiwasi wangu ni nafasi ya ukatibu. Binafsi naona katibu bado hajavaa viatu vyake sawasawa, tuwape moyo na ushirikiano watimize malengo yao.

You couldn't have said it better. Hata hivyo nadhan twende mbali zaidi ili BAVICHA iwe na program ya maendeleo ya vijana, isiwe siasa za jukwaan tu
 
Back
Top Bottom