BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,141
- 10,874
Inapokuja ishu ya pesa hakuna anayestahili kuaminiwa roho yangu inaniuma sana tena sana kwa mtu ambaye niliweka trust kwake kunipiga pesa ambayo kimsingi nilistahili kuipata kwa kuzingatia energy na time niliyowekeza katika kuhakikisha kila kitu kipo undercontrol.
Kuna roho inaniambia nikae kimya nimuachie Mungu lakini roho nyingine inaniambia huo ni Ujinga kila nikifikiria amount aliyonipiga natamani kulia.
Wakuu najua hayawahusu ila nimeona niandike hata humu atleast nipate relief nipo namuandalia waraka hata kama hatonipa hiyo pesa hajue nimeumia sana tena sana.