Kudhulumiwa na mtu unayemuheshimu

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,053
10,501
Inapokuja ishu ya pesa hakuna anayestahili kuaminiwa roho yangu inaniuma sana tena sana kwa mtu ambaye niliweka trust kwake kunipiga pesa ambayo kimsingi nilistahili kuipata kwa kuzingatia energy na time niliyowekeza katika kuhakikisha kila kitu kipo undercontrol.

Kuna roho inaniambia nikae kimya nimuachie Mungu lakini roho nyingine inaniambia huo ni Ujinga kila nikifikiria amount aliyonipiga natamani kulia.

Wakuu najua hayawahusu ila nimeona niandike hata humu atleast nipate relief nipo namuandalia waraka hata kama hatonipa hiyo pesa hajue nimeumia sana tena sana.
 
Ishu nilimuachia afanye negotiation na watoa huduma fulani afu mimi ni focus na kazi sasa amount aliyokuja kuniambia mimi nikakubali sasa katika kuuliza na kutaka kujua ile huduma ina cost kiasi gani nimegundua jamaa kaninyoosha pakubwa sana.
Aisee pole sana mkuu Mungu akutie nguvu. Nakumbuka kama uliwahi kuleta Uzi kama huu hapa ndio ishu hiyo bado umeshindwa ku move on au ni ishu nyingine?
 
Inapokuja ishu ya pesa hakuna anayestahili kuaminiwa. roho yangu inaniuma sana tena sana kwa mtu ambaye niliweka trust kwake kunipiga pesa ambayo kimsingi nilistahili kuipata kwa kuzingatia energy na time niliyowekeza katika kuhakikisha kila kitu kipo undercontrol.

Kuna roho inaniambia nikae kimya nimuachie mungu lakini roho nyingine inaniambia huo ni Ujinga kila nikifikiria amount aliyonipiga natamani kulia.

Wakuu najua hayawahusu ila nimeona niandike hata humu atleast nipate relief nipo namuandalia waraka hata kama hatonipa hiyo pesa hajue nimeumia sana tena sana.
Pole sana Mkuu!
Umesema unamuandalia waraka.
Sina haja kujua huo waraka ni nini, lakini kama waraka huo una involve kuchomoa maisha ya huyo mtu wako basi nashauri potezea kwani haisaidii kitu kwani hiyo pesa hutoipata kwa kufanya hivyo.
Binafsi nilishapigwa sana na wengine ni ndugu. Nilitulia na kuanza upya na maisha yanakwenda vizuri tu.
 
Nashauri kama una roho ngumu sana kama yangu tafuta sumu mvizie kwenye kinywaji hasa kama amekufanyia kusudi hii iwe Siri Yako never involve any person iwe ni wewe tu.

Note: Haishauriwi kama haja dhulumu kilicho cha haki yako 💯, dharau na dhuluma ni mwiko
 
Back
Top Bottom