Kudharau mahakama!

Mulama

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
3,018
1,791
Hivi karibuni nilisikia kuwa Mahakama imetoa amri ya kukamatwa Askofu, baada ya kukiuka amri ya kusitisha ku ordain Askofu wa Jimbo la Arusha. Kimsingi kesi iliyotolewa interim order hiyo ni kesi ya madai.
Swali lililonijia ni kumbe mahakama ina uwezo wa kusimamia kesi zake bila kujali kama ni jinai au madai?!, hata hivyo hapa Dar ndugu yangu aliyepeleka kesi kwenye mahakama ya ardhi na kupewa amri ya mahakama ili kusitisha hatua zilizochukuliwa na mdaiwa wake, amri hiyo haijatekelezwa mpaka sasa ni mwezi wanne tangia itolewe!, na mahaka imemwambia mdai afungue kesi ndani ya kesi dhidi ya mdaiwa wake (Court Contempt ) eti ndio mahakama iweze kumchukulia hatua mdaiwa kwa kukiuka amri yake!. Wadau wa sheria tusaidieni hii imekaa vipi?
 
Mimi siyo mwanasheria. Lakini nijuavyo kesi dhidi ya Askofu Mokiwa na mwenzake siyo ya madai. Ni civil case tofauti na criminal case. Sidhani kuwa civil cases zote ni za madai. Kwa mfano, mtu akimshitaki mwingine kwa kumkashifu hayo ni madai? Kuhusu taratibu za ku-enforce amri za mahakama hapo wanasheria watusaidie.
 
Kweli ndugu yangu Ruge wewe sio mwanasheria! ebu tusubiri wanasheria watusaidie na hili uliloongeza la kutojua kama civil ndio madai! Hata hivyo katika jf inasikitisha kuona kwamba mara nyingi jukkwaa hili halipati wachangiaji wengi sijui tatizo ni nini!
 
Back
Top Bottom