Kudadeki Sebene lishamchanganya GF wangu!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
hili sebene linalopigwa kwenye bar ya jiran na maeneo ninapoishi linaniboa. Linampa wazimu my girlfriend kila ajapo gheto, imefikia hatua hatujadili mambo yetu wala kufanya mambo mengine ya faragha pindi lipigwapo. Yan anapenda kulicheza kupita kiasi then ananiboa sana! Hapa sijui nifanyeje na siwezi kuhama mtaa kwa sasa coz nshalipa ankara ya mwaka mzima tayari, kweli huyu mwanamke ananichanganya akili!
 
Halafu ndio nzuri maake hakuna kwenda disco wala club,..........
 
Kuna vituko huku duniani, kwani lazima aje hapo kwako kila siku. Badili mazingara.
 
Sina mbuvu.....aahhahahahahahahahahah Nunua CD Za hizo Sebene ndugu kisha mwekee mcheze wote....karaa unaigeuza kuwa furaha.
 
malalamiko mengine kwa kweli yanachekesha.kwa nini usimwambie?maybe sebene kwake ni starehe yake no.1 kuliko wewe,pengine akija hapo kwako hufuata hilo sebene na hakufuati wewe.kama anakupenda,atakuelewa.mfahamishe,mapenzi ni kueleweshana.au mara moja moja,mridhishe na yeye mcheze wote
 
wanawake wa aina hii huwa wasumbufu sana, na umwacha atakutangaza daima na always utakua ni mtu wa kulalamikiwa!
 
napenda sebene kishenzi kwan unakaa maendeo gani nami nije nipange huko mana huku masaki mambo hayo hamna kabisa
 
sanola sanola eeekisanola... mi ningekua namtoa some of wkend twende pande za mango au makumbusho,we vip?
 
Gagurito bwana wewe acha ushamba, mwenzio ndio alikuwa anakuchezea kama stripers si wanaume wanapendaga sana hii unamchezea huku unamvulia nguo unamtupia yeye kalala tu kitandani?Angalia angalia tv na movie kidogo bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom