Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 102
Wakuu naomba tueleweshane vizuri kuhusu hii mambo ya mikopo ya mabenki hapa bongo!Ninakubaliana na watoa mada hapo awali ya kwamba loan officers wa mabenki hapa nchini sio trustfull. Mtu una apply mkopo loan office anakuzungushaaaaaa anataka kitu kidogo!kama kweli wewe unataka mkopo ukafanye business sidhan kama utakubali mtu akusaininshe loan ya milion 4 halafu akupatie only 3 milion.
Ila kama unahitaj kwa ajili ya matanuzi unaweza kukubali! ila kwa kusema ukweli kupata mkopo benki bongo ni headache!
Kuhusu issue ya SACCO's,sio kupanda na kuvuna kama mheshimiwa mmoja alivyosema huko juu!Saccos zinasaidia sana na watu wengi wamefaidika na Saccos,kwanza kwenye Saccos huwa hakuna bureacratic za kupata mkopo.
Vijana wakati ni huu wa kuamka na kufungua Saccos zetu wenyewe ili mabenki tuwaache na hela zao tuone watazipeleka wapi!
Siku moja nilikwenda Arusha nikakutana na mzee mmoja nikawa nabadilishana nae mawazo,akanitonya kuwa wao wana Saccos yao wameifungua akiwa na shida ya mkopo anajichukulia kiulainiiiii!niliwaza saana kama vijana wangekua na mwamko wa kuweka na kukopa!
Tusingepata taabu ya mikopo ya mabenki.