Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 34
Wale mliosafiri siku za karibuni, mtujuze kama sheria ya kuchimba dawa sehemu maalum kama ilivyoelekezwa na SUMATRA inatekelezwa au ni kama ilivyokuwa kwa sheria ya mabasi yote kuwa na mikanda ya usalama (safety belts) au ile ya speed governor?