mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,493
- 767
huwa nakerwa sana na hii tabia ya wazee hadi vijana kubeba lunch boxes kutokea majumbani mwao.......mchakula wa jana jioni unapashwa moto saa 7 mchana unaliwa ofisini..kila mtu na bakuli lake harufu yake ndani hakukaliki........wengi watakuja na sababu zao,,but i thought lunch time ulikua ni wakati mzuri zaidi wa watu kusocialize,kunyoosha miguu,kukutana na department zingine,na ofkoz kupata some fresh food!!