Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,176
HA ha ha ha, yale makapu ya plastik au ya ukili?
Na atashambuliwa kweli
Imagine watoto home wana makontena ya shule, na baba una kapu lako?
Na atashambuliwa kweli
Imagine watoto home wana makontena ya shule, na baba una kapu lako?
umegusa eneo la watu rafiki utashambuliwa mpaka ha ha ha
kama ofisi fulani mtu amebeba kapu lina hotpot tatu viazi vya kuchemsha vya chai, kisamvu na ugali wa mchana akimaliza vyote anapiga usingizi kidogo ha ha ha ha ha ha.