Kubadilisha fedha(renew) kunamaanisha kukua kwa uchumi?

mukandala

Member
Aug 23, 2014
5
0
Tunashuhudia Mara nyingi tuu nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania zikibadilisha aina ya fedha zao yaani noti to coin, coin to coin na noti kwenda noti mpya
Je hii inamaanisha uchumi umepanda au umeshuka? Pia zoezi hilo linaigharimu seriKali kivipi na lina faida gan?
 
Kunahaja ya waziri husika kuja kutoa ufafanuzi kwa wananchi, maana serikari inawajibu wakutoa ufafanuzi huo kwa wananchi wake! wengi wetu bado hatujuwi ni sababu gani? zimepelekea serikari kubadilisha noti ya shiring miatano kuwa sarafu! wakati huohuo hili swala huwa linagharimu fedha nyingi sana ambayo ni kodi kutoka kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom