Kuanzia leo Ismail Aden Rage namtunuku rasmi 'Honorary Doctorate Degree' kwa Kuzijua vyema Sheria za Soka za FIFA na CAS

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda....

"Nawashauri Yanga SC waachane na kutaka Kukata Rufaa huko CAS kwani wanapoteza tu muda wao na Pesa kwani hawatoshinda kutokana na Ushahidi toshelezi kutoka kwa Kamati ya Rufaa ya TFF ambayo kwa Haki kabisa imemuidhinisha Mchezaji Bernard Morrison kuwa Mchezaji halali wa Simba SC" alisema Ismail Aden Rage.

Leo mtanikoma hakyanani mvumilie tu!!
 
Rage ni mtu wa kujikweza tu, ni mtu mwenye mbwembwe nyingi (extremely pompancy) nakumbuka katika CV yake katika tovuti ya bunge aliandika eti ana Masters in Business Administration- MBA wakati ni uwongo huyu jamaa alivyomaliza A level miaka ya sabini alijiunga pale SHY-COM kuchukua cheti cha NABOCE . Baada ya hapo akaendelea na ujanja ujanja wake huo wakujifanya anajua sheria bila kusomea sheria.

Rage kazijulia sheria za FIFA wapi hajawahi kuwa mjumbe wa kamati yoyote katika chombo hicho sasa sheria kazijulia wapi? Rage ni mwongo na kujifanya mjuwaji na specialty wa lobbing basi
 
Si tulikuabaliana kuwa Viongozi wa Yanga hasa Mwakalebela wanatudanganya sisi mashabiki na Wanachama wa Yanga kuwa hakuna kesi yoyote CAS,sasa leo hii hukumu imetoka pande zipi?
 
Haya manara(kwetu huko ni mateke Tena yasiyona mpangilio ,manara mateke mateke
 
Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda...
But kumbuka morrison atalipa yanga 69m na yanga watamlipa 12m?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Rage ni mtu wa kujikweza tu, ni mtu mwenye mbwembwe nyingi (extremely pompancy) nakumbuka katika CV yake katika tovuti ya bunge aliandika eti ana Masters in Business Administration...
Ungem prove wrong kwa kauli yake juu ya rufaa ya uto huko CAS ingeleta maana,lakini hapa ni kama ulishikwa na tumbo la kuhara na ndiyo umekuja kuharishia humu. Pole,usisahau kuchamba tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Si tulikuabaliana kuwa Viongozi wa Yanga hasa Mwakalebela wanatudanganya sisi mashabiki na Wanachama wa Yanga kuwa hakuna kesi yoyote CAS,sasa leo hii hukumu imetoka pande zipi?
Aibu yenu nyani wa pori la Utopolo

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Rage ni mtu wa kujikweza tu, ni mtu mwenye mbwembwe nyingi (extremely pompancy) nakumbuka katika CV yake katika tovuti ya bunge aliandika eti ana Masters in Business Administration...
Watanzania tutafika mbinguni tumechoka kweli kweli hoiii8 bin taaaban 😀😀😀
 
Jitahidi usiwe Mpumbavu na uwe unafuatilia Mambo na kuyaelewa vyema sawa?

Hiyo Pesa unayoona Bernard Morrison anatakiwa Kuilipa Yanga SC alishawarejeshea zamani sana.

Kwa sasa Yanga SC ndiyo wanatakiwa Wao Kumlipa kama Gharama ya Kuiendesha hiyo Kesi.
Alilipa lini iyo pesa ebu tuonyeshe iyo slip, unamuita mwenzako mpumbavu kumbe wewe ndo kubwa la wapumbavu, Kama alilipa kwanini wamwambie ailipe iyo pesa? Au alikuletea wewe nyumbani kwako?
 
Ubongo wako una Usaha usinipotezee muda tafadhali sawa? Nasisitiza tena nikijiamini 100% kabisa kuwa Mchezaji Bernard Morrison alishawarejeshea Yanga SC hiyo Pesa yao Kitambo tu na Hukumu ya Jana ni ya Yanga SC Kumlipa Yeye ( Morrison ) hiyo Tsh Milioni 12 kama Gharama za uendeshaji hiyo Kesi...
Nyani watabaki kuwa nyani tu hata wavalishwe suti ya vipande vitatu. Luc alikuwa sahihi kabisa.

IMG-20191111-WA0001.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jitahidi usiwe Mpumbavu na uwe unafuatilia Mambo na kuyaelewa vyema sawa?

Hiyo Pesa unayoona Bernard Morrison anatakiwa Kuilipa Yanga SC alishawarejeshea zamani sana.

Kwa sasa Yanga SC ndiyo wanatakiwa Wao Kumlipa kama Gharama ya Kuiendesha hiyo Kesi.
Alilipa lini iyo pesa ebu tuonyeshe iyo slip, unamuita mwenzako mpumbavu kumbe wewe ndo kubwa la wapumbavu, Kama alilipa kwanini wamwambie ailipe iyo pesa? Au alikuletea wewe nyumbani kwako?
Ubongo wako una Usaha usinipotezee muda tafadhali sawa? Nasisitiza tena nikijiamini 100% kabisa kuwa Mchezaji Bernard Morrison alishawarejeshea Yanga SC hiyo Pesa yao Kitambo tu na Hukumu ya Jana ni ya Yanga SC Kumlipa Yeye ( Morrison ) hiyo Tsh Milioni 12 kama Gharama za uendeshaji hiyo Kesi...
Wewe acha umbuzi wako kwaiyo magazeti ndo account yanga eti, magazeti ndo wahasibu wa yanga? Ayo magazeti yamekupa slip yoyote inayoonyesha Morrison aliilipa yanga iyo pesa?

Uwa unajifanya unajua kila kitu kumbe ni bendera fata upepo tu, ukiileta iyo slip apa ndo nitajua akili unazo usifikili kila mtu apa jf ni mjinga bro, tunakuchora tu unavyopuyanga na propaganda za kitoto izo
 
Back
Top Bottom