Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

umsema sawa isipokuwa hapo kwenye bold tu ndio umechemka. after all asingefanya makubwa sana hata kama angetaka kuwaangammiza kabisa kina lowasa. kumbuka uspika wake kaupata kwa kadi ya ccm, wakichukua kadi yao, angelegea kama jibwa chakavu lisilo na meno. huyu mzee alitakiwa kupumzika. siasa za bongo haziwezi. we rejea historia yake anakosana na kila rais, nyerere alikosana naye akamweka bench, mwinyi alimjaribu alipomuona mzigo akamweka pembeni, mkappa ndo kaabisa alimwogopa kama ukoma, kikwete kalogwa akkamwingiza kwenye mtandao wakampa uspika, cheki alivyochemka, kazidiwa hata na mwanamke makinda! 6 ni mchemfu daima , amezeeka sasa akapumzike alee wajukuu. mwambie achukue na mkewe aende naye. period!


Hakika umenena BRAVO
 
Makosa yameshafanyika lakini ni vyema kuangalia ni wapi Mh Sitta alifanya makosa. Inaonekana wazi kabisa CCM walimweka kwenye target huyu mkuu na yeye bila kuwa makini akaingia kwenye mtego.

Sitta alifikia sehemu akawa the strongest person kwenye chama chake, huwa tunasema akakiweka chama mkononi mwake, badala ya kusonga mbele akakubali kurudi nyuma, this was a major, major mistake. Sitta alitakiwa awe destructive as much as he could, yeye aliruhusu maamngamizo ya Lowasa na wengine yet badala la kuhakikisha wamekwisha kabisa kisiasa akawaacha. Nini alitakiwa afanye Sitta?

Sita alitakiwa asimamie kuangamizwa kwa CCM kwa njia tofauto tofauti. Kwanza Alitakiwa kuruhusu hoja kali kabisa ikiwemo kuwafilisi mali zao zote kina Lowasa na system nzima maana wabunge walikuwa kitu kimoja wakati ule. Aidha angeruhusu serikali kutiwa hatiani kwa makosa yote na hapo angepata public support zaidi na zaidi. Kama angeendelea kubaki CCM bila kufukuzwa angechukua fomu kugombea kuteuliwa kugombea uraisi, wangemnyima angetimkia CHADEMA naamini wangemwachia agombee na nina uhakika CCM ingeangamia tu.

Sasa ona mafisadi wanavyomsulubu mzee wa watu, dah pole sana,

unasema mafisadi wamemsulubu?how?. Unasema angetimkia chadema na chadema wangempa nafasi ya kugombea urais?! Chadema ipi? Au ulitaka aanzishe chadema akademia?, kwa siasa za tz nadhani bado hujazisoma vizuri: kumbuka kuwa kuna ubinafsi, ukanda na chuki binafsi. Sita hawezi kukubalika mahali popote bcos ana ubinafsi wa hali ya juu na ubabe usiopimika.
 
Haiwezekani wakakubaliana mambo ya msingi ila mambo yasiyokuwa ya msingi wanaweza kukubaliana
 
sitta ni kafisadi kwanini ajenge ofisi ya spika kwake , huu ni uzezeta kabisa . si bure aibu yake
 
unafiki na uzandiki wa kidini mliouanzisha wakati wa kampeni, nshangaa mnauleta mpaka huku. Ni ufinyu wa mawazo kuwa dini inaweza ongoza nchi hii. Nafasi zilikuwa nyingi kwenu wakati nchii hii ikiendeshwa kiimla na mwl nyerere na mkadhani ni hatimiliki yenu nyie. Muamke na kujua, hao muwaonao ni wa dini yenu na wa dini yetu ndio wanaoingia kula pesa zitokanazo na rushwa na vilevi na kamari. Siasa za dunia hazina usafi, na ni kwa mantiki hii kigezo cha dini hakitumiki katika nchi hii. Kimeshindwa 2010 na kitaendelea kushindwa kwani sio Turufu ni Garasa. Jipange kwa hoja sio Udini. NATOA HOJA

Bora we umejua hilo ingawa inaonekana tongotongo za udini bado zipo. Mwl. Nyerere hakuwa mdini na aliwapa nafasi sawa waislmu kwa wakristo. Hivi angekuwa anavaa kibalaghashia na ndevu zinazofika kifuani angetaifisha shule za misikiti ili nafasi iwepo kwa watanzania wote kusoma? Bila shaka hawezi kuthubutu na angetubutu angetishiwa albadhru au mwalila sijui.
Tatizo lenu mtu akivaa kibalaghashia akawaimbia allah wakbar basi mnacheka!! mkifikiri ni kiongozi bora kumbe mnaoumia ni nyie make sisi tushatangulia. Mnampa kura zote kumbe mmeumia.
Sikubaliani na aliyefaninisha CC na KAMATI YA HIJA lakini pia ntafurahi ikiwa we ni miongoni mwa wachache kwenu wanochagua kiongozi bila Kuangalia ka ni Muislamu au Mkristo.
 
kumbe na wewe ndio mmoja wao?? duh nilikuwa sijui mpo hata humu
umsema sawa isipokuwa hapo kwenye bold tu ndio umechemka. after all asingefanya makubwa sana hata kama angetaka kuwaangammiza kabisa kina lowasa. kumbuka uspika wake kaupata kwa kadi ya ccm, wakichukua kadi yao, angelegea kama jibwa chakavu lisilo na meno. huyu mzee alitakiwa kupumzika. siasa za bongo haziwezi. we rejea historia yake anakosana na kila rais, nyerere alikosana naye akamweka bench, mwinyi alimjaribu alipomuona mzigo akamweka pembeni, mkappa ndo kaabisa alimwogopa kama ukoma, kikwete kalogwa akkamwingiza kwenye mtandao wakampa uspika, cheki alivyochemka, kazidiwa hata na mwanamke makinda! 6 ni mchemfu daima , amezeeka sasa akapumzike alee wajukuu. mwambie achukue na mkewe aende naye. period!
 
Ukiangalia hao wooote ni maslahi kwanza, mkwere ndio zero plus sasa SITTA angeokoka vipi katika bwawa lenye mamba wengi hivo?!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom