Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

Njaa mbaya jamani......Leo nilifuatilia kwa umakini sana gazeti la mtanzania,nilichogundua ni kuwa kwenye picha za mabango...inaonekana mabango yote yaliandikwa na mtu mmoja maana mwandiko kwenye mabango yote ni ule ule.Hii ya kulia,kuzilai na mabango ilikuwa planned kwani hata hao waliaji walikuwa wakiona kamera ndo wanajifanya wako busy na vitambaa vya kufutia machozi...shame on them.
 
Ccm itakuwa wakakamavu ikiwakamata na kuwafikisha mahakamani list of shame yote aliitoa dr slaa dr wa ukweli nyerere aliefufuka- iwafikishe mahakamani epa wote, tangold, meremeta, bot, mramba, chenge, mkapa, jk, lowasa, roastam, magufuli,ridhiwan, mwakapugu na wengine wote tuliowahi kuwasikia akiwataja dr slaa.
 
Nimeshangaa sana hapo awali, baadae nikaja kugundua wamelipwa!

Hata mimi kama wewe, lakini baada ya kutafakari sana mshangao ulikwisha kwa sababu: RA aliyekuwa msumbufu sana kwa serikali, mzigo mzito kwa chama na mwiba kwa makundi pinzani ndani ya chama, alihusika katika kuleta maendeleo ya Igunga almost singel handedly. Influence yake serikalini ilikuwa incomperable to any that I know. Hivyo ameweza kufanya makuu katika wilaya ya Igunga.

Muovu huyu kutoka Irani aliwafikia watu na kutatua shida zao binafsi. Zingatia kuwa alikuwa akizungumza na aliowaita wazee (presumably wa Chama Cha Majambazi) ambao walizoe kupokea vijisenti toka kwa huyu muwekezaji kutoka, sijui wapi, katika mfumo wa vi-asante asante kwa kuendelea kuwaaminisha wananchi kuwa yuko nao. Ni wale wazee wasio na upeo na vijana wa chama wanaofikiri bila RA maendeleo Igunga yatakoma. Ni wale wananchi ambao kila walipolia njaa, madawati, maji, umeme, sukari, dagaa, bila ya kushirikisha mtu au serikali, RA aliwasaidia. Hawa beneficiaries wa takrima toka kwa RA wanalia, wanazirai na kuugua kwa sababu walishazoea kuwa tegemezi na hawakufundishwa au kuzoea vinginevyo. Kwa nini wasilie na kusaga meno? Tena, wanajua fika kuwa sasa JK hatawaona kabisa sababu ataleta kilaza mwenzie agombee kwenye uchaguzi mdogo (na huyo kilaza atashidwa kwa kishido) na jimbo litaenda upinzani na fate yao inakuwa uncertain. Kwa nini wasilie na kusaga meno?

Wacha walie! Time is the master healer na siku moja watajiletea maendeleo yao wenyewe kwa sababu watawezeshwa na serikali makini ijayo.

progress.gif
Edit Post Reply Reply With Quote
 
Nachelea kusema Lowasa akifanya kama kilichofanywa na Rostam basi asahau kabisa ndoto za kuja kushika madaraka ya juu ndani ya nchi hii. Itakuwa ni doa juu ya doa.Ninaamini kamwe hawezi kufanya UAMUZI MGUMU kama aliofanya rafiki yake Rostam.
 
RA ni kama baba ambaye alikuwa akitoa matumizi yote ya nyumbani na bila kupeleka watoto shule, Mama unakuta ni mama wa nyumbani tu, na miradi anayofanya baba aifahamu au labda ameajiriwa na hivyo watoto na mama yao wote wamekuwa ni tegemezi 100%, Siku baba huyu akifa kinakuwa ni kilio kweli kwani wote walioachwa hawana cha kutegemea, hivi ndivyo ninavyo iona Igunga ILIOKUWA INATEGEMEA RA ATOE PESA YA KULA KWA WAZEE LAKINI HAKUWEKA MPANGO WAKUDUMU WA KUWASAIDIA.

Igunga Msijali CDM wanakuja na mbinu bora ya kuwasaidia mpango wakudumu.
 
Nadhani sisi wanyamwezi tuna matatizo kidogo ya akili; labda ndugu yangu sikonge atanisaidia kuliangalia kwa upande tofauti. Mimi nimewahi kufika pale Igunga mara anyingi sana na sijawahi kuona maendeleo yoyote pale ambayo yanaweza kuwafanya watu wazirai kwa kumkosa Rostam. Tatizo letu ni kupenda vya bure. Ni kweli alikuwa anagwa sana vya bure, na nadhani hivyo ndivyo vinavyoliza watu. Kama alikuwa na nia njema, basi ataendelea kuvigawa vya bure hata akiwa nje ya mjengo.
 
Sina shaka huu ni muda muafaka kwa wale walengwa ambapo RA ametimiza na kutii siku 90 za kujivua gamba kukiokoa chama na umwagaji damu kitaifa wale walionacho na wasionacho. Kwa ufupi pamoja na dondo kuwa RA alikuwa ni mmoja ya maswaiba wa JK na alitoa share kubwa ktk uchaguzi wa urais 2005 swali linakuja baada ya zoezi kufanikiwa sasa jamaa amekuwa anakwenda sehemu na kukwapu tu sasa nchi itabaki skeleton it is better ung'atuke na unabahati enzi za mchonga JK Sr ungekwenda jela na mali zako za uwizi kufilisiwa.

Sasa bado muziki umebaki kwa mapacha wawili Lowasa na Vijisenti ni lazima wacheze sindimba.

Thanks gamba but 90 days were too long for the nation I think the best way was to pick the JK Sr rules whereby eviction do not go beyond 1 day and jail and freezing of properties follows suit but not JK Jr methodology not worth at all.
 
nina mashaka na majaliwa ya maswahiba wawili waliosalitiana. hotuna ndefu ya mwarabu igunga hakuna hata mahala pamoja alipotamka neno "Mheshimiwa" kila alipolitaja jina la mtu wa bagamoyo. je hii ni kusema ni typing error au alikuwa anajua anachokifanya?
 
Tusijidanganye

the entire system is rigged, be it wanasiasa wa upinzani au walioko madarakani. 99% of them wameingia pale kwa pesa na sasa wanatufanya wajinga.

at the end of the day we all know wanasiasa wetu care less about mtu ambaye hana umeme let alone mwenye internet connection. the are so detached from our daily struggles...be it urasimu wa kupata dawa au basic services or simple things kama vile kumilikishwa ardhi na watu husika.


Zamani they used to care about JF lakini not anymore.

At the end of the day our society is becoming more and more of the haves...kuanzia wana siasa mpaka wenye kupata haki mbele sheria.
thats my view.


Couldn't summarize it better. You are absolutely correct. Just to add, its not in politics, its everywhere in our daily life.
 
kama tatizo lililopelekea Rostam ni kwa sababu ya wizi wa fedha ambazo zinasemekana zillihusika na kujenga miundombinu ya chama cha mapinduzi na kumuwezesha mgombea wa chama hicho kuchukua urais wa jamhuri ya Tanzania , sasa je kujiuzulu kwake kutapelekea kutaja wazi wazi jinsi alivyoshiriki katika masakata haya na watu wengine wanaotakiwa kufuata katika mlolongo huu, ikiwemo rais wa nchi hii kwani kama fedha zilihusika na kumpeleka mgombea wa CCM madarakani basi Haiwezekani yeye kutoshiriki katika sakata hili.
 
Sio typing error, anajua anachokifanya, naamini huyo mwarabu kaona jamaa hastahili kuitwa mheshimiwa.
 
Nashangaa jf kuitwa home of great thinkers, kama kuna ma gt basi hawafiki hata asilimia 5! Wachangiaji wengi humu ndani ni vigeugeu,wakurupukaji and wamejaa uchademanism wa kipumbavu! Leo utasikia wanamsifia samuel sita then kesho ni adui yao,leo wanamsifia ane kilango kesho adui! I can see many people wanaochangia humu uelewa wao ni mdogo and wanacomment za kitandale! Angalia mijadala inayomuhusu rostam leo inavyojadiliwa kinafiki,kibaguzi,kihuni,kivuta bangi, chadema style! Nimekuwa najiuliza kama jk ndio angekuwa ameiba mke wa mtu, narudia mke wa mtu jf isingekalika!! Haya nape kaweza kuling'oa gamba kuu kuliko lolote hapa tanzania, mliokuwa mnasema hawezi mbona mpo kimya??mpeni japo conglats za kinafiki kama ulivyo unafiki wenu! Hongera nape kwa kampeni yako ngumu na ya kutisha na kuweza kumng'oa the biggest man in politics and bussines in tz! Acha kusikiliza porojo za wanafik wa jf ambao wao ndo mafisadi wakubwa, we mtu the whole day upo online jf unafanya kazi saa ngapi? Halafu wajinga wengine wanatumia kompyuta na mitandao ya maofisi kuchat jf,unafiki mkubwa
 
hivi hamuoni jinsi jamaa anavyojitahidi kusafiri nje ya nchi? nadhani anakimbia hii kitimtim
 
Nashangaa jf kuitwa home of great thinkers, kama kuna ma gt basi hawafiki hata asilimia 5! Wachangiaji wengi humu ndani ni vigeugeu,wakurupukaji and wamejaa uchademanism wa kipumbavu! Leo utasikia wanamsifia samuel sita then kesho ni adui yao,leo wanamsifia ane kilango kesho adui! I can see many people wanaochangia humu uelewa wao ni mdogo and wanacomment za kitandale! Angalia mijadala inayomuhusu rostam leo inavyojadiliwa kinafiki,kibaguzi,kihuni,kivuta bangi, chadema style! Nimekuwa najiuliza kama jk ndio angekuwa ameiba mke wa mtu, narudia mke wa mtu jf isingekalika!! Haya nape kaweza kuling'oa gamba kuu kuliko lolote hapa tanzania, mliokuwa mnasema hawezi mbona mpo kimya??mpeni japo conglats za kinafiki kama ulivyo unafiki wenu! Hongera nape kwa kampeni yako ngumu na ya kutisha na kuweza kumng'oa the biggest man in politics and bussines in tz! Acha kusikiliza porojo za wanafik wa jf ambao wao ndo mafisadi wakubwa, we mtu the whole day upo online jf unafanya kazi saa ngapi? Halafu wajinga wengine wanatumia kompyuta na mitandao ya maofisi kuchat jf,unafiki mkubwa
Hapo nilipokuwekea RED yaani tukitafuta Top 10 ya watu mazuzu na majuha hapa JF wewe utaibuka kidedea, hivi inawezekana vipi ukajuwa mtu kama yupo online muda mrefu kama na wewe utumii muda huo huo sawa na huyo unaemshutumu?

Hizi ndio akili zenu zenu za magamba ambazo mnafikiri kwa kutumia makalio, maana hata wabunge wenu utasikia anaunga mkono hoja kwa 100% halafu anaanza kutaja mlolongo wa matatizo ya jimbo lake. shame on you.
Kwangu mimi ni bora unitukane tusi lolote kuliko kuniita mfuasi wa ccm, hili ni tusi kubwa sana kuliko yote kwenye kamusi yangu. maana ccm = makondoo, misukule, mazezeta, majuha, na machangudoa wa kisiasa.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom