Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

- --------, wote waondolewe maaana sasa kichwa chao kimeondoka mkia hauwezi kuwa tatizo!

Willie @ NYC, USA.

Nimepapenda hapa. Ikiwa hivyo madhara ni makubwa, hata wachoma nyama huenda wakakosa wateja kwani malipo yalikuwa yanafanywa na vichwa
 
Kama wapo wanaoamini kuwa Rostam kaanguka, mimi si mmoja wao. Rostam yuko very strategic na anajua anachokifanya. Inawezeka na katofautiana na mzee wa Mamvi on how to respond. Strategically yeye ameamua kuwa submissive na kukubali kuwa Gamba. Hili si jambo rahisi sana linahitaji tafakuri jadidi kuweza kulifanya. Mzee wa mamvi (tactical thinker) alikuwa ameamua kui-take-on serikali ya Kikwete moja kwa moja. Rants zake za bungeni juzi juzi kuhusu serikali kutofanya maamuzi na "clout" ya washangiliaji bungeni ilikuwa ni kufichua kucha zake. Kikwete aka-respond kwa kumuinua Sitta na kumfanya kaimu kiongozi wa serikali bungeni. Lakini Rostam ameona hiyo si approach sahihi, ameamua kujitoa, kama sehemu ya gamba!! Anajua nguvu yake ilipo na hataki kuionesha sasa hivi. Atapotea katika jicho la public na hicho ndo anachokitaka na hapo ndo ataweza kuzichanga karata zake ki-uhakika zaidi.

Nguvu ya RA ni Access aliyonayo kwa mkuu wa nchi wa sasa na hilo hataki kuli-compromise. Yuko tayari kuchukua humiliation ya kukubali kuwa Gamba ili aendelee kudhibiti mambo "behind the scenes" na hakuna kitu kitakachomuweka karibu zaidi na mkuu wa nchi kama kitendo hiki. Machoni pa mkuu wa nchi ni kuwa amekubali kubeba lawama ili kuisaidia serikali na 'blackmail' zake zitaendelea. Dowans ilimpanikisha, lakini jinsi ilivyomalizwa kirahisi imemfanya ajue kuwa kweli "POWER" ya aliyeko magogoni ni kitu muhimu mno! Hayuko tayali ku-compromise relationships zake na magogoni.

Kwa RA siasa ilikuwa ni njia ya kutafutia utajiri, lengo lake hasa si siasa bali utajiri. Pale inapoonekana kuwa siasa ni lazima basi yuko tayari kuingia siasani, ila kwake long term interrest ni utajiri. Kwa mzee wa Mamvi, long term interrest ni Ukubwa wa kisiasa. Ukwapuaji wa mali ni mbinu tu ya kumpa nguvu ya kifedha ili hatimaye kumfikisha kwenye kilele cha siasa; hapo ndo walipotofautiana kimtazamo na RA. RA ameona kuwa kutunishiana misuli na aliyeko magogoni haifai, yuko tayari kuchukua humiliation. Mzee wa mamvi pengine anaona kuwa amesha-take enough humiliation pale alipojiuzulu u PM. Kukubali kuitwa gamba itakuwa kukubali kupoteza yote anayopigania, yaani hatimaye kuwa mpangaji wa MAGOGONI
 
- Well, ni wakati wa kutoa credit when it is due na it is ok with God too!;

- Hongera sana Katibu Mwenezi wa CCM; Mheshimiwa Nape kwa kuweza kusimamia ahadi ambayo ilikuwa ni deni tayari, I mean ahadi ya kujivua magamba; leo tumejionea kwa macho kwamba sasa ni kazi hakuna mchezo!

- HOWEVER: Sasa tunaomba sana hawa magamba wakishatoka wote, waelekezwe kwenye mkono wa Sheria ndipo haki itakuwa imetendeka kwa hili taifa na hasa watoto wetu ambao ndio wanachi wa taifa letu la kesho!

- Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama Mheshimiwa Nape, ananidanganya kuhusu kujivua, basi nitarudisha kadi ya CCM na kumuomba sana ajiuzulu pia, lakini Nape you have come through kama nilivyosema kwamba kama ungejua kwamba hakuna mabadiliko usingeshika hiyo nafasi, saafi sana kazana sana ndugu yangu, tupo nyuma yako, mabadiliko lazima au tujiuzulu!

- Sasa huu ufagio ufike mpaka chini kwa maviongozi magoi goi wote safisha, waondoke sasa wale wote waliokuwa wanawashabikia hawa mafisadi, wote waondolewe maaana sasa kichwa chao kimeondoka mkia hauwezi kuwa tatizo!

Willie @ NYC, USA.

You are 100% right..if they dont take them to court,then the wholly idea of KUJIVUA GAMBA is rubbish..But I dont see Lowassa or Chenge resigning,so get ready to return the CCM card..
 
- Well, ni wakati wa kutoa credit when it is due na it is ok with God too!; - Hongera sana Katibu Mwenezi wa CCM; Mheshimiwa Nape kwa kuweza kusimamia ahadi ambayo ilikuwa ni deni tayari, I mean ahadi ya kujivua magamba; leo tumejionea kwa macho kwamba sasa ni kazi hakuna mchezo! - HOWEVER: Sasa tunaomba sana hawa magamba wakishatoka wote, waelekezwe kwenye mkono wa Sheria ndipo haki itakuwa imetendeka kwa hili taifa na hasa watoto wetu ambao ndio wanachi wa taifa letu la kesho! - Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama Mheshimiwa Nape, ananidanganya kuhusu kujivua, basi nitarudisha kadi ya CCM na kumuomba sana ajiuzulu pia, lakini Nape you have come through kama nilivyosema kwamba kama ungejua kwamba hakuna mabadiliko usingeshika hiyo nafasi, saafi sana kazana sana ndugu yangu, tupo nyuma yako, mabadiliko lazima au tujiuzulu!- Sasa huu ufagio ufike mpaka chini kwa maviongozi magoi goi wote safisha, waondoke sasa wale wote waliokuwa wanawashabikia hawa mafisadi, wote waondolewe maaana sasa kichwa chao kimeondoka mkia hauwezi kuwa tatizo! Willie @ NYC, USA.
Mkuu we kula Sandiwichi huko tuache na taabu zetu huku. Ukija nawe ujipimie kipande yako kama walokutangulia!! Hakuna wa kupeleka kortini RACHEL..!!
 
Kujiuzulu kwa Rostam Azizi tafsiri yake ni kwamba amekubali yeye ni fisadi na ufisadi wake umechafua CCM. Sasa, CCM kama chama kilichoshika dola wanatakiwa wachukue hatua za kesheria dhidi yake. basi!
 
Sijui kilichopo nyuma ya pazia la siasa uchwara ila nasikitika sana kujua yakuwa safari ya kuikomboa/kuinasua nchi kutoka wanyonyaji, wadhalimu bado ni ndefu coz vilio vilivyotawala jana Igunga dhidi ya fisadi kujiuzulu imenikatisha tamaa. Hivi CHADEMA hawakupita igunga kugawa elimu?
 
Nilichokiona jana kwa Rostam ni ile kauli ya Mwalimu ya kuwa huwezi kuwa kiongozi mzuri huku unatafuta MALI kwa udi na uvumba. Aliwahi kusema Mwalimu kwamba kuwa na mali ilikuwa inakuondolea sifa ya kuwa mgombea wa TANU/CCM. Wafanyabiashara wetu wote hauwezi kuwatenganisha na biashara zao hata kwa sekunde kwa kuwa nyingi kati ya biashara hizo hazifanyiki kwa uwazi na kihalali.
Hatuna maadili ya kibiashara nchi hii. Na hivi karibuni baada ya Mwalimu kuondoka madarakani tukafuta maadili ya uongozi. Matokeo yake tukaanza kuwaona wafanyabiashara wakiikamata CCM kwanza. Baada ya hatua hiyo wakawatumia viongozi wa CCM kuikamata serikali na vyombo vya DOLA. Tukampata JK kwa nguvu ya wafanyabiashara matapeli na mafisadi wa kutupa. Hapa ndipo tulipo sasa. Tutatokaje?
 
Malecela unajidanganya, well done ya Nape ya nini?
Rostam kaamua mwenyewe na wala si Nape kamtoa, Nape hana uwezo huo, yeye ni mpiga ngoma tu, ambayo mafisadi wanaamua wacheze au wasijitikize.
We unayajua magamba ya sisiem? Ngoja uyaone.
 
Kujiuzuli kwa Rostam hakuleti maendeleo yoyote kwa taifa hili, bado ana nafasi kubwa sana ya kufisadi hii nchi viongozi wote wa CCM wanampapatikia wanamuona yeye ndio yeye wakiongozwa na huyo kinara wao. Imagine people fainting wakati mtu anatangaza kujiuzulu, nini cha kushtua hapo kama sio kujikomba. Mtu ambaye hajawahi kuleta maendeleo yeyote katika tafa hili sana sana amewarubuni wana igunga na vijizawadi vidogo vidogo wakamchagua ili apate uwezo wa kuwarubuni watanzania wote, kwa nini ulie na kuzimia anapojiuzulu.

Kwa waliolia wote na kuanguka, mkawalilie wamama wanaofia hospital kwa kukosa huduma wakati wanajifungua, mkawalile wanafunzi wanaoketi chini kwa kukosa madawati, mkawalilie wagonjwa mahospitalini wanaokosa madawa na madaktari wa kuwahudumia wakati kina Rostam na wenzake wanaruka majuu kumuona dentist, mkawalilie wajasiriamali wanaopoteza mitaji yao na mikopo waliyokopa kwa kushindwa kufanya biashara baada ya umeme kuwa huduma adimu. Shame on all of you who shed tears on such an insignificant matter. Labda hata watoto wenu wangekufa msingelia hivyo.

Watu kama kina Rostam na wenzake wameonyesha utovu wa hofu ya adhabu,wameonyesha ujabari wao huku wakitucheka na kutudharua halafu eti kuna mtu analia anapojiuzulu? Hao wote waliloa sio Watanzania wa ukweli na iko siku sio mbali sana mtalia ukweli na sio kisanii.
 
binafsi mpaka sasa sijapata majibu leo hii wakina mama wa igunga kama wale wa galilaya walitokwa na machozi baada ya mbunge kutangaza hatua ya kujiondoa chamani swali la kwanza ni kweli sijui.pili bashe alitangulia siku kadhaa kuandaa tukio la boss wake kuna kundi la vijana lilitangulia kwa bango na kama episode flani waliingia wakiimba kua hatukbali na akina mama wakatoa machozi hadi kuzrai je walikua wanamlilia RA ama tanganyika yako na je wako tayri kwa hilo au hawakuandaliwa ililieni tanganika na kutaka kuikomboa yote kwa umoja wake pamoja na mambo aliyowafanyia wana igunga ila anayo maswali kwa wana jamii wa tanganyika je yatubibidi nasi kulia kwa kumtaka nae arejeshe chenji zetu za kagoda huenda zikapunguza hasira na machungu na akasimama kama razro na kurudisha kile alichochuka bila ya kujua ni haki ya watu wengi sana enyi igunga zililieni nfasi zenu na tanganyika yenu
Mmesahau Lowassa alipojiuzulu alipokelewa kishujaa Monduli,Chenge alipokelewa kwa msafara wa magari ambao unasadikika aliukodi mwenyewe!Kwa hiyo hakuna cha ajabu akina mama wa Igunga kulia na wengine kujifanya wamezirai!kwa sababu hawa wamama wakipewa hata elfu moja moja tu,ili wafanye hivyo ni dhahiri watafanya!
 
- Well, ni wakati wa kutoa credit when it is due na it is ok with God too!;

- Hongera sana Katibu Mwenezi wa CCM; Mheshimiwa Nape kwa kuweza kusimamia ahadi ambayo ilikuwa ni deni tayari, I mean ahadi ya kujivua magamba; leo tumejionea kwa macho kwamba sasa ni kazi hakuna mchezo!

- HOWEVER: Sasa tunaomba sana hawa magamba wakishatoka wote, waelekezwe kwenye mkono wa Sheria ndipo haki itakuwa imetendeka kwa hili taifa na hasa watoto wetu ambao ndio wanachi wa taifa letu la kesho!

- Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama Mheshimiwa Nape, ananidanganya kuhusu kujivua, basi nitarudisha kadi ya CCM na kumuomba sana ajiuzulu pia, lakini Nape you have come through kama nilivyosema kwamba kama ungejua kwamba hakuna mabadiliko usingeshika hiyo nafasi, saafi sana kazana sana ndugu yangu, tupo nyuma yako, mabadiliko lazima au tujiuzulu!

- Sasa huu ufagio ufike mpaka chini kwa maviongozi magoi goi wote safisha, waondoke sasa wale wote waliokuwa wanawashabikia hawa mafisadi, wote waondolewe maaana sasa kichwa chao kimeondoka mkia hauwezi kuwa tatizo!

Willie @ NYC, USA.

Mzee wa NYC, You always fail to connect the dots. Not including Jk in this saga "Kujivua gamba" is like chasing the blowing wind. I am sure you know that the chief master minder of all these is JK. In fact, it is because he wanted to be a president all these malicius, dubius and surbotage actions happened. It is because of him all these scandals happened. Jk and his crue, "mtandao", although some are now called magamba need to be punished for making Tanzania to be as bad as it is now. It is worthnoting that what CCM calls magamaba are just hands that implemented the UHUJUMU uchumi that has long taken place in this land. I think these three magambas must go before the public and tell all how jk was invloved instead of admiting false sacrifice. Ni lazima wafe na JK, wasife peke yao. Jk ni gamba kubwa kuliko hata Lowasa na Chenge. JK anajua EPA ilimsaidia kufika alipo, jk anajua Kagoda ni ya nani, na yupi alishiriki. Anajua hata waliorudisha fedha hizo. Jk anajua waliotafuna hela ya rada, becasue he was involved. Jk anajua Richmond from A to Z.

Nakushangaa baada ya kuuliza hizi fedha za walalahoi wa tanzania zilivyoliwa zitarudije, wewe unamsifia mnafiki nape. Nape anatumiwa na jk kujisafisha. Hata hivyo najua kuna siku watahukumiwa tu hata kama watazima hii hoja leo. Nape si ccm, nape ni ccj, sawa na sitta, mwakyembe et al (2009-2010).

Mwisho natamani kuona katiba mpya itakayoshughulika na kurudisha hizi hela za watanzania zilizopotea kifisadi. Ni lazima katiba mpya ilete namna nzuri ya waliohusika wote kushtakiwa na kurudisha huu ukwasi wetu ulioibiwa na watu wachache.

God Bless This Land
 
Sijui kilichopo nyuma ya pazia la siasa uchwara ila nasikitika sana kujua yakuwa safari ya kuikomboa/kuinasua nchi kutoka wanyonyaji, wadhalimu bado ni ndefu coz vilio vilivyotawala jana Igunga dhidi ya fisadi kujiuzulu imenikatisha tamaa. Hivi CHADEMA hawakupita igunga kugawa elimu?
Ndugu yangu Willegamba,hao waliokuwa wanalia elewa lengo lao kwamba walilia kwamba hawatapata tena kofia na fulana za kijani!pia kuna kitu nyuma ya pazia kuwa wale kina mama walipewa chao ili waigize walichoigiza!
 
- Well, ni wakati wa kutoa credit when it is due na it is ok with God too!;

- Hongera sana Katibu Mwenezi wa CCM; Mheshimiwa Nape kwa kuweza kusimamia ahadi ambayo ilikuwa ni deni tayari, I mean ahadi ya kujivua magamba; leo tumejionea kwa macho kwamba sasa ni kazi hakuna mchezo!

- HOWEVER: Sasa tunaomba sana hawa magamba wakishatoka wote, waelekezwe kwenye mkono wa Sheria ndipo haki itakuwa imetendeka kwa hili taifa na hasa watoto wetu ambao ndio wanachi wa taifa letu la kesho!

- Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama Mheshimiwa Nape, ananidanganya kuhusu kujivua, basi nitarudisha kadi ya CCM na kumuomba sana ajiuzulu pia, lakini Nape you have come through kama nilivyosema kwamba kama ungejua kwamba hakuna mabadiliko usingeshika hiyo nafasi, saafi sana kazana sana ndugu yangu, tupo nyuma yako, mabadiliko lazima au tujiuzulu!

- Sasa huu ufagio ufike mpaka chini kwa maviongozi magoi goi wote safisha, waondoke sasa wale wote waliokuwa wanawashabikia hawa mafisadi, wote waondolewe maaana sasa kichwa chao kimeondoka mkia hauwezi kuwa tatizo!

Willie @ NYC, USA.

Mkuu kumpa Nape credit si sahihi .Ulitakiwa kwanza kuwapa Chadema na hasa Slaa credit na list of shame haya yote aliyasema zamani mno mno .Then sijaona kwa nini Nape maana Rostam hajapewa barua ya CCM wala Lowasa na Chenge hawana barua .Now credit za nini mkuu niweke sawa hapa.Mie nasema Viva Chadema Go go Slaa.
 
You are 100% right..if they dont take them to court,then the wholly idea of KUJIVUA GAMBA is rubbish..But I dont see Lowassa or Chenge resigning,so get ready to return the CCM card..
Rostam mwenyewe hajasema anajivua gamba bali alichosema amechoshwa na siasa uchwara ndani ya chama chake!kwa hiyo hajaondoka kwa nia nzuri bali hakubaliani na siasa za kupakana matope ndani ya chama chake!kwa hiyo hili hatuwezi kuita eti kajivua gamba!
 
Angalau na kadola ka marekani kameanza kushuka! maana kalianza kuukwea mnazi
 
- Well, ni wakati wa kutoa credit when it is due na it is ok with God too!;

- Hongera sana Katibu Mwenezi wa CCM; Mheshimiwa Nape kwa kuweza kusimamia ahadi ambayo ilikuwa ni deni tayari, I mean ahadi ya kujivua magamba; leo tumejionea kwa macho kwamba sasa ni kazi hakuna mchezo!

- HOWEVER: Sasa tunaomba sana hawa magamba wakishatoka wote, waelekezwe kwenye mkono wa Sheria ndipo haki itakuwa imetendeka kwa hili taifa na hasa watoto wetu ambao ndio wanachi wa taifa letu la kesho!

- Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama Mheshimiwa Nape, ananidanganya kuhusu kujivua, basi nitarudisha kadi ya CCM na kumuomba sana ajiuzulu pia, lakini Nape you have come through kama nilivyosema kwamba kama ungejua kwamba hakuna mabadiliko usingeshika hiyo nafasi, saafi sana kazana sana ndugu yangu, tupo nyuma yako, mabadiliko lazima au tujiuzulu!

- Sasa huu ufagio ufike mpaka chini kwa maviongozi magoi goi wote safisha, waondoke sasa wale wote waliokuwa wanawashabikia hawa mafisadi, wote waondolewe maaana sasa kichwa chao kimeondoka mkia hauwezi kuwa tatizo!

Willie @ NYC, USA.

Vipi malecela nae anajivua lini gamba?! Mshauri mzee mwambie asisubir operesheni Sangara, afanye maamuz magumu
 
Leo nimepata nafasi ya kutazama na kuisikiliza HOTUBA ya aliyekuwa mbunge wa Igunga Rostam Aziz. Imenipa nafasi ya kutafakari na kufikiria mbali zaidi ya hapa tunapopaona. Hebu tujiulizeni maswali haya ya msingi kabisa,1. Baada ya kuambiwa kuwa makundi ndani ya CCM yalikuwa yamezikwa, sasa naona yanazidi kuongezeka na tena uhasama kati yao ukizidi kuwa mkubwa kuliko ilivyokuwa awali 2. Katika haya makundi yaliyopo sasa lipi hasa lina lengo la kuibomoa CCM? 3. Je huu unaweza kuwa mwanzo wa kujua ukweli juu ya mambo mbalimbali ambayo yamekuwa yakikosa majibu sahihi kwa kulinda chama? (ugomvi wa panzi) 4. Nani anaweza kuikoa CCM sasa (Nyerere hayupo tena) 5. Vita hii inalipeleka wapi taifa?

Rostam mwenyewe hajasema anajivua gamba bali alichosema amechoshwa na siasa uchwara ndani ya chama chake!kwa hiyo hajaondoka kwa nia nzuri bali hakubaliani na siasa za kupakana matope ndani ya chama chake!kwa hiyo hili hatuwezi kuita eti kajivua gamba!

haache kutuzingua kwani siku zote alikuwa wapi au hizo siasa uchwara zimeanza jana? yeye aseme dhuruba za kisiasa mwaka huu zinatisha baaaaaaasi...
 
Back
Top Bottom