Ku download movies kwenye mtanadao

CLONEY

Senior Member
Apr 3, 2012
104
29
Wana Jf naomba mnisaidie namna ya kudownload movie kwani nakosa uhondo kwa kusubiri ziletwe kwenye maduka yetu na wengine hushindwa kabisa kuleta ukizingatia wengine tuko mkiani mwa tanzania kwahiyo hata ukumbi wa kuonyeshea hakuna zaidi ya yale mabanda ya uswahilini na movie zilizotafasiriwa na dj.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom